Wanaopenda kufanya ngono kinyume na maumbile

Wanaopenda kufanya ngono kinyume na maumbile

Mimi nipende kuwauliza maswali haya machache

1.Mnapata raha gani?

2.Hamjui ya kuwa ni sehemu ya kutolea uchafu

3.Hivi mnapofanya hivyo si ni sawa na kula kinyesi cha huyo mwenzio?

4.Hiyo tendo si sawa na kubaka wanyama?

5.Ni dini gani inayohalalisha hilo tendo?

6.Hamuoni kama ni uchafu??

7,Unafanya tendo hilo kwa lengo gani?

8.Unapofanya hivyo je unadhani ni sahihi??

9.mnaopenda huo mchezo, je ukijasikia mtoto wako anafanya huo mchezo, je utajisikiaje? Je utampiga?


Ni hayo tu wadau

Nguruwe Wewe karibu tu utaleta mrejesho humu tuache tuzibue choo Sie we yanakuhusu nini mamayo
 
Baadhi ya maswali uliyouliza ndo huwafanya wafanye practical.
 
Ukisoma kwenye biblia imesema vizuri kabisa kuwa Wafuraji, hawataurithi ufalme wa Mbingu

1 Wakorintho 6:9

Mbona kuna walevi, wevi (wezi), wazinzi etc. nadhani watu wote hawataurithi ufalme wa MUNGU lol
 
Ngoja nikawaite....

Afu haya maswali pia wayajibu wanaopenda kuingia chumvini na kunyonya koni.... mdomo huohuo ndo wanasalia au wanasalia tundu ka kumwaga kinyesi??

Hahahahha.... Kaka Asprin..
 
Ok nimekuelewa na excuse kwa kukukwaza but sijataja maeneo hayo kwa vile kuna Uislam sana ila nimetaja kwa kuwa maeneo hayo hivyo vitendo vinafanyika sana pia ndo sababu sijataja Tanga,Mtwara,Lindi,Pwani,Tabora nk..hata Ulaya vipo sana hasa USA but it is open

Hata hapo unapoishi vipo sana tu ila mumezowea kunyooshea miji fulani vidole angalia hivyo vidole vyako vinne vilivyobaki vinakuelekea mwenyeo. Au ndo nyani haoni.......malizia tu
 
usipanic is just a media

Sijapanic wala nn ila wanaboa, km alivyojiskia kuandika na ss tumejiskia kumjibu.. (na shost yangu farkhina kanifurahisha ...lol)
Hilo ni ovu km au kuzidi maovu mengine haitegemei mji wala dini ni ushenzi wa mtu binafsi ...
 
Last edited by a moderator:
Sijapanic wala nn ila wanaboa, km alivyojiskia kuandika na ss tumejiskia kumjibu.. (na shost yangu farkhina kanifurahisha ...lol)
Hilo ni ovu km au kuzidi maovu mengine haitegemei mji wala dini ni ushenzi wa mtu binafsi ...

Okey mummy take it easy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom