Wewe umeshafunga ndoa??Unakuta mtu hamjawasiliana hata miaka mitano lakini ikikaribia harusi yake unashangaa kuona simu zake akiomba mchango. mambo kama hayo yanahitaji ujasiri. Ni vyema kujitahidi kukumbuka watu nyakati zote. Mwingine tuliachana form VI, baada ya miaka mitano ananitafuta anataka mchango.
mtu unafurahi kwamba jamaa kakukumbuka halafu unashangaa anaingizia mchango, inakata sana stimu.
Harusi yako kuna watu walikuchangia?ndiyo. mtoto wa kwanza yupo Std 6.
Basi na wewe changia wale wanaokuhusu...ndiyo, harusi za zamani walikuwa wanaochanga sana ni ndugu, watu wa kitaa na watu wa karibu. zamani unakuta kwenye harusi karibu watu wote mnafahamiana.
Usishangae, achana nao. Hauwezi kuibeba dunia ndugu...Nataka kufanya hivyo ila nashangaa wasionihusu wananiomba mchango!
Unakuta mtu hamjawasiliana hata miaka mitano lakini ikikaribia harusi yake unashangaa kuona simu zake akiomba mchango. mambo kama hayo yanahitaji ujasiri. Ni vyema kujitahidi kukumbuka watu nyakati zote. Mwingine tuliachana form VI, baada ya miaka mitano ananitafuta anataka mchango.
mtu unafurahi kwamba jamaa kakukumbuka halafu unashangaa anaingizia mchango, inakata sana stimu.
Unamajibu kama ya nabiiBasi na wewe changia wale wanaokuhusu...
Hivi bado kuna watu wanachangia hii michango?
Mi nishasahau mara ya mwisho nilichanga lini!Zaidi ya miaka 3 sasa.... Sijachangia kitu ya namna hii....