Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Teh teh kuna mahali jamaa aliandika mwanamke akisoma hadi papuchi yake inaelimika!!!

Hahahaaaaa!! Hamna lolote uoga wenu tu, mwanaume ana nguvu sn kwa mwanamke, ukiwa legelege mpaka unalalamika mwanamke cjui kakupanda kichwani ujue umepoteza sifa ya kuwa mwanaume.
 
Hahahaaaaa!! Hamna lolote uoga wenu tu, mwanaume ana nguvu sn kwa mwanamke, ukiwa legelege mpaka unalalamika mwanamke cjui kakupanda kichwani ujue umepoteza sifa ya kuwa mwanaume.

Sista na ww bana! mi simaanishi hii bana, hii si nimekopi tu ya mtu, soma yangu original pale #1126
 
unajua shida inaanzia hapaaaaa.
mwanaume kuwa na inferiority complex wewe mwenyewe unaanza kujiangalia kinyonge utanaka uangaliwaje?mimi niliolewa mume wangu akiwa std 7 liva na mimi graduate,ila nilimwambia umaridadi unaficha ufukara tena urafiki utaepusha mtu watatu kuja kutuvuruga hivyo alipoanza kuwaza mauzauza nilimwambia nina degree na wala sina plate.number pia huna na wala huna plate.number hivyo hakuna mtu mgeni atauliza hali yako ya shule.sasa zaidi ya miaka mitano ndoani alifanya qt,2 years,certificate 1yr,diploma 2 year,degree sasa hivyo kuoa mwanamke aliekuzidi sio ishu ukimpenda atakuheshimu.
jiulize kinachokufanya uwaze darsa la 7 na form 4?ili umtukana kwamba hana akili au shule tatizo?hiyo nimoja ya inferiority complex behavior
 

Baambie
 
Usiogope elimu za siku hizi hizi za BRN unaogopa kweli
 
Mbona hiyo ya 1126 ni ya noel siyo yako?? Au kwangu namba ziko tofauti?

Nadhani huko kwako mpangilio ni tofauti, ila hii hapa naipesti, ikikugusa kumoyo shauri yako usinilaumu!!

Tatizo ni approach mnayotumia mkuu, mi naamini wanawake karibia wote (la saba sijui digrii) wana mitazamo mingi inayofanana, wana tabia nyingi zinazofafana, na pia wana priorities nyingi zinazofanana wakiwa ktk mapenzi ya kawaida au wakiwa ndoani, sasa ni jukumu la mwanamume kum-mold mke wako awe vile unavyotaka, sasa ukiona umefeli badili approach au ongeza approach juu ya approach nyingine. Sometinmes diplomasia peke yake haiendi. Wasomi wengi wanalewa shule, so kwa diplomasia peke yake unaweza kukwama. Kama jambo ni la muhimu ktk ustawi wa ndoa yetu au familia yenu, lazima kama mwanaume ulilazimishe lifanyike au lisifanyike.

Mwanamke ukimsikiliza asilimia 100 mambo hayaendi mkuu, yakienda ujue mtaangukia mtaroni!! Mungu hakukosea alivyosema sisi ndo tuwaongoze, sema tatizo sisi wenyewe hewa tupu!!
 

Hapo kweli ulinena haswaaaa!! Ni kweli kabisaaaa, hao wanaotaka sijui drs la saba ni ili tu wawaonee, i hv a frnd married to std 7 aisee anajuta hatari, haya mambo hata hayana formula, mie hao degree holders nawaona wengi tu wameolewa, waweza oa huyo drs la saba wako akakupasua kichwa vilevile.
 

Exactly sista
 
Asante shosti. Sasa kama mwanaume amekaa hapo anashangaa na hataki kuongoza maisha na mie ninyooshe miguu tushangae wote? Anyways, mwana ke mwenye akili nae anatamani mwanaume mwenye akili kumzidi, sio ubabe usiokuwa na maana

Thank you for your comment.LAKINI MIMI SIO SHOSTI
 

Khe khe khe dah...
 
I guess wewe ni darasa la saba. Msomi hawezi kuandika utumbo huu
 
Wanawake wenye ajira serkalini 98% na wenye DEGREE 99% lao ni moja tu.

NDOA NI ZA DRS 7 NA F4,
WENYE DGRII WANA VIBURI UTAFIKIRI WANA IC KWENYE IC, WANAOLEWA NA DGRI ZAO!

MIFANO IPO MINGI TU!
 

nimecheka sn mkuu
 

Mkuu kumbe hujaoa?! basi sawa haina shida.omba sana Mungu usipate mwanamke kimeo.utarudi hapa kubadili msimamo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…