Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Jamani kwenye degree wapi baadhi waliofundwa vizuri, wakapata wenza Wema wakaelewana na familia inakuwaje paradiso ndogo. Kama Mimi na shemj yenu.
 
Jamani kwenye degree wapi baadhi waliofundwa vizuri, wakapata wenza Wema wakaelewana na familia inakuwaje paradiso ndogo. Kama Mimi na shemj yenu.

Sasa hivi kuna kufundwa,hhahaa huyo wa degree akubali kufundwa?
 
Jamani embu punguzeni kulaumu wanawake wasomi kama uhuni ni tabia tu ya mtu na si wanawake wote , mbona mm nimesoma lkn nimeolewa na niko happy na ndoa yangu! Sometimes men ndio vikwazo .So kusoma au kutosoma ni situation tu ktk maisha ya bonaadamu havihusiani na ndoa pia kama wapo wanawake wasomi ambao ni stubborn basi sio wote
 
Sisi(wanaume ) tumesoma kwa hela za nani? Wewe ni mmoja wao wa mazezeta wanaozungumziwa kwenye thread hii.Kwa mtindo huu hamtakaa muolewe aisee
 
Huyo mumeo yeye alisomeshwa na mama yako??
 
aise ni kweli, mimi nipo chuo 2nd yr, lakin shemej yenu form 4 aliyefail ,ni mchapakaz,ana kila sifa,anajua wajibu wake, ila hawa WENYE DEGREE WATAOLEWA NA DEGREE ZAO
 
mwanaume lazima ujue mshahara was mkeo na uakikishe unatumika ktk namna inayoeleweka. at a kama anawapa sapoti ya kila mwezi wazazi wake uelewe na unaobaki uwe ktk program yenu. tofauti pesa zake zikiwa huru zikaongezeka ktk benk anajenga tabia nyingine ya dharau kwani were zitakuwa zinapungua. mfano unapata mshahara wa milioni moja. mkeo anapata laki NNE. utaki kujua pesa ya make baada ya miaka 3.utasikia mke kabadilika kumbe tatizo anapima nguvu yeye ndio anakeshi nyingi.ukikopa nae anakopa anaendelea kuongoza!. pesa inabadili tabia za wanawake wengi. ataanza kuwa na Serengeti boy,au anamtu anae mtoa. anapata wapambe was like anaanza kuwambia mimi ndio security ya familia.tena ukiona ataki ujue pesa zake zinafanya nini anzisha mziki adi kwao waingilie.wazazi wenye busala watamkanya ili kulinda ndoa yenu.
 
Degree zenyewe za BRN hizi, hupaswi ogopa hata akiwa na Masters naona bado tu ni kama Form Four maana hata ukimpa swali la alichosoma hawezi jibu. Zaidi anabeba title tu ya Masters na Degree
 
haa haaa haaa huyo bintie ataishia kuzalishwa tu halafu mwanaume atatafuta msomi aoe ili awe ma familia bora
Nani kakauambia ukioa msomi utakuwa na familia bora? ww mke unatoka nae asubuhi mnarudi ucku kila kukicha semina na vikao hao watoto watapata wapi malezi ya mama ambayo ni bora kabisa na ndio yanafanya wengi leo hii tupo smartest
 
MO11

hujui kitu kuhusu wanawake wewe ngoja nisopoteze energy mie.......

Ww kwa harakaharaka ni single mother hili ni kama jiwe. limerushwa gizani tunackia kelele tu kwa liliempata ..Ujuaji wako na elimu unakufanya uone boys tunazingua kuwa mpole na fata maandiko utapata tu mume ukijitia ww sugu utaishia kuwa mchepuko for ever
 
Last edited by a moderator:

Kama ni baba yako unaona alijipinda basi acha pia kutafuta heshima ya ndoa,kaa kwenu,mnapenda kubadilisha maandiko na uhalisia wa mke aweje kwa mume,ndo mana wanaume wengine wanakua na michepuko,wanawake wanaoleta usomi kwenye ndoa tunao maofisini na wanaishiaga kulalamika tu kila kukicha bila kujua tatizo ni lao wenyewe na ujuaji wa kijinga,na MUNGU ni mwema alijua kivumbi cha miaka ya leo akawafanya muwe wengi ili ukileta tu maujinga yako unapigwa chini na mtu anachukua kifaa kingine,wimbi hili MUNGU alilijua na bado mpaka andiko litimie la wanawake sita watamwendea mume m1 na kusema tutajilisha na kujivisha ilimladi tu tuitwe kwa jina lako! MWANAUME NI UTUKUFU WA MUNGU
 
mke mfanyakazi lazima uchangie kwasababu hata mume kuna huduma nyingi anazikosa kutokana na wewe kuto shinda nyumbani na hata mambo ya usiku kwa mke mfanyakazi mara nyingi huwa hayana raha, mfano unakuta wife katoka kuwakiwa na bosi lake mchana kutwa yaan hata akirudi home akili yake haijatulia au unakuta kashapata loss anasubiri mwisho wa mwezi akatwe mshahara hapo ndio hata hamu na wewe hana, tena usiombee ukute na ana mapruducts ya allovera ni full kiguru na njia yaan hamuonani na hata ukuwa nae full masimu kutafuta watu wa kuwaunga
 
Hao wenye degree ndoa wataisikia tu,watabadilisha wanaume mpaka waote sugu na degree zao!
 
Degree zenyewe za BRN hizi, hupaswi ogopa hata akiwa na Masters naona bado tu ni kama Form Four maana hata ukimpa swali la alichosoma hawezi jibu. Zaidi anabeba title tu ya Masters na Degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…