Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Halafu hela yako wapeleka wapi vile, maana mmeshakuwa mwili m1. Wakorintho 7 yasemaje vile tukumbushane vile.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Aisee daah!!!
 
acha hizo ww .... Ulitaka tusuport uozo wenu? Kilichoongelewa kwenye hii thread ni ukweli mtupu,,
wanawake wenye digree wamejaa dharau na majivuno na ukicheche hawafai kuwa wake.....
Kama huamin fanya uchunguz utone masingle mom wengi ni magraduate

mkuu naona umeamua kuwatolea uvivu kabisaaa! Nina imani wanaoangalia mambo kwa jicho la pili watajifunza kitu kupita hizi comments zako, uchunguzi wako una asilimia nyingi mno za ukweli
 
hajapitia huku

sipati picha akisoma hizi comments zako mkuu, manake wewe na Mgirik mmeongea vitu vya maana sana kwa wadada wasomi, ni kweli wengi wao siyo, ingawa ukimulika na tochi unaweza bahatisha ambaye hajaathiriwa na elimu yake
 
Last edited by a moderator:

Hivi unajua mpaka sasa nimetukanwa mpaka nimekoma kwa mada hii
 
Last edited by a moderator:

mke wangu anamasters lakini tunaishi vema sana haijawahi kutokea.
 
umeongea point sana mkuu, mie mpenzi wangu ana degree, lakn ananiheshimu vizuri na wala elimu yake haijamuondolea uanamke wake!!
 
mkuu naona umeamua kuwatolea uvivu kabisaaa! Nina imani wanaoangalia mambo kwa jicho la pili watajifunza kitu kupita hizi comments zako, uchunguzi wako una asilimia nyingi mno za ukweli

japo wanakataa lakn hao ndio wanaongoza kwa uchafu toka wakiwa huko mavyuon mpaka wanapoingia kutafuta ajira mpaka ndan ya ajira yaan n kugawa tu.
Wanafikia hadi kujirekod wakifanya uchafu wao halafu leo wanaringa eti wamesoma wana elimu?!!.
Kama wale wa udom mwanaume ----- gan atathubutu kuwaoa kama si kufunua na kufunika?
 
mke wangu anamasters lakini tunaishi vema sana haijawahi kutokea.

mkuu sio wote ila wengi wao ni matakataka tu.
Kuna baadhi ni wanawake wazur na wanajielewa
 
mke wangu anamasters lakini tunaishi vema sana haijawahi kutokea.
Mkuu unabahati sana, endelea kumuomba Mungu asibadilike., ktk kizaz cha sasa haki kwa hawa viumbe na elimu wanayoyoipata wanataka kuwa sawa! Unapangiwa mpaka(-) ukimlazimisha anasema umembaka,kesho yake anakimbilia kwenye media kutangaza,..
 
mkuu sio wote ila wengi wao ni matakataka tu.
Kuna baadhi ni wanawake wazur na wanajielewa
mkuu Mgirik jamaa ana bahati sana,ndo maana nilisema niwachache sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unabahati sana, endelea kumuomba Mungu asibadilike., ktk kizaz cha sasa haki kwa hawa viumbe na elimu wanayoyoipata wanataka kuwa sawa! Unapangiwa mpaka(-) ukimlazimisha anasema umembaka,kesho yake anakimbilia kwenye media kutangaza,..
Mkuu Ls man gsu ana bahati,ila wengi hawana hilo bahati,ila asilimia kubwa ya wanawake wasomi hawajielewi
 
Last edited by a moderator:
Kweli tupu, mwanamke unafanya kazi unarudi umechoka , bado majukumu ya nyumbani yanakusubiri ,dume unakuta limekaa tu kwenye tivii linasubiri kila kitu lifanyiwe na ukipanda tu kitandani linataka mzigo, ukifanya tofauti unaambiwa eti hujui majukumu yako, nichoke na kazi, nirudi nihudumie familia, na bado nikuhudumie wewe chakula cha usiku , nisipotoa chakula cha usiku vizuri kutokana na kuchoka utaniambia sijui mapenz, moyo huo utatoka wapi ikiwa wewe umekaa tu yaani hujitambui wala kujigeuza kwa lolote na bado unilaumu ,kwani ukinisaidia kazi utakufa, khaa nyie kwani wanawake maroboti? Mkiambiwa ukweli eti mwanamke msomi au mwenye kazi ni jeuri , kiukweli hamjitambui achaneni na mfumo dume wa kijinga!
 
huo mzigo nani alikuchosha huko kazini mpaka ukilala na mmewe hutaki kuutoa
 
Niliwahi kumsikia mama mmoja akimwambia binti yake mbele yangu kwamba kazi ndio iwe mume wake namba moja, yule binti sasa ana umri wa 40 hajaolewa na yule mama yake yupo hai ipo siku nitamkumbusha kauli aliyomfunda binti yake matokeo yake amedoda aolewe na kazi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…