Hivi na wale wanaoinamishwa na wauza magenge, wapaka kucha rangi, mahse boys na gate keepers Wauza samaki mtaani wakati waume zao wako maofisini mchana wana madegree mangapi vile?
wanawake wasomi kweli ni tatizo.. Wanathamin kaz kuliko ndoa
unajitetea eti teheeee teheeee acha danganya jf wewe tangu lini mke wenye elimu akawa mtiifu
Wewe wasemasema mkeo usiwachanganye wote..humu wanaume wa ukweli kibao wake zao wasomi na wanaheshimiana
Ntakufanyia suprise ya kukununulia nyumba....
kiukwel mkuu tangu uanzishe huu uzi nimefanya karisechi changu cha kizushi kuanzia majiran zangu mpaka makazn huku, nimeona kuna kaukweli bwana. wasomi imekuwa tabu kidogo kwny mambo ya ndoa,ndoa zao adimu kama kibogoyo kula indi la kuchoma.
Ila pesa zao zinapendwa na wanaume suruali! Majukumu mnagawana na mwanaume sawa kwa sawa au pengine mwanamke anatoa pesa home zaidi. Ataacha kuthamini hiyo kazi inayowaweka mjini awahi home kukukanda na machicha ya nazi?! Inahusu?! Halafu ada na rent mtalipa na nini kama sio hela za waifu?!
Mwanaume ana hitaji kuheshimiwa..
Heshima in which context? Kila mwanaume ana "heshima" anayopenda apewe ukiachilia zile basics. Most of hizo heshima zinazodaiwa in reality ni services wanataka. Ukiwa umechelewa kazini usipompelekea maji ya kuoga bafuni basi hujamheshimu. Hujamfulia pichu hujamheshimu. Umetenga chakula akichelewa kurudi aka microwave ale hujamheshimu. Mwanamke anayekwenda kazini mwenye a demanding job like yours au kuzidi hawezi services zote kukufanyia lazima zitapungua tu. Sasa kwa kuwa mnakula na pesa zake vumilieni tu vitu vingine mjifanyie wenyewe, kwani mikono ya mwanaume imekatika?! You cant have your cake and eat it. Kama wote ni wafanyanazi u wd probably be living a fast paced life so inabidi mwanaume ajiongeze tu kama vipi...
Hahahaaa mapenzi sio nyie kukatika mikono bwana na kutujembesha, kazini tuende turudi tuwe kama hao wa darasa la saba. Its not humanly possible. Mapenzi ni both ways, wewe umfanyie kitu mwenzio na yeye akufanyie. Mapenzi ya kibongo bongo ni nyie kushika remote ta tv na kupumzisha makalio hamnyanyui hata kijiko. Ndo maana na inferiority complex zenu mnahitaji darasa la saba. Anayekuabudu, asoweza kuku challenge. Kama vipi usimsomeshe mwanao wa kike au sio ili asiachike hahahaa mbuuuuuuraaaaa!Ndio maana hamuolewi na mkiolewa mnaachika mapema... Ujue wanaume wanatafuata mapenzi na wala siyo hiyo kazi yako au pesa zako..
Hahahaaa mapenzi sio nyie kukatika mikono bwana na kutujembesha, kazini tuende turudi tuwe kama hao wa darasa la saba. Its not humanly possible. Mapenzi ni both ways, wewe umfanyie kitu mwenzio na yeye akufanyie. Mapenzi ya kibongo bongo ni nyie kushika remote ta tv na kupumzisha makalio hamnyanyui hata kijiko. Ndo maana na inferiority complex zenu mnahitaji darasa la saba. Anayekuabudu, asoweza kuku challenge. Kama vipi usimsomeshe mwanao wa kike au sio ili asiachike hahahaa mbuuuuuuraaaaa!
Hahahaaa mapenzi sio nyie kukatika mikono bwana na kutujembesha, kazini tuende turudi tuwe kama hao wa darasa la saba. Its not humanly possible. Mapenzi ni both ways, wewe umfanyie kitu mwenzio na yeye akufanyie. Mapenzi ya kibongo bongo ni nyie kushika remote ta tv na kupumzisha makalio hamnyanyui hata kijiko. Ndo maana na inferiority complex zenu mnahitaji darasa la saba. Anayekuabudu, asoweza kuku challenge. Kama vipi usimsomeshe mwanao wa kike au sio ili asiachike hahahaa mbuuuuuuraaaaa!
Heshima in which context? Kila mwanaume ana "heshima" anayopenda apewe ukiachilia zile basics. Most of hizo heshima zinazodaiwa in reality ni services wanataka. Ukiwa umechelewa kazini usipompelekea maji ya kuoga bafuni basi hujamheshimu. Hujamfulia pichu hujamheshimu. Umetenga chakula akichelewa kurudi aka microwave ale hujamheshimu. Mwanamke anayekwenda kazini mwenye a demanding job like yours au kuzidi hawezi services zote kukufanyia lazima zitapungua tu. Sasa kwa kuwa mnakula na pesa zake vumilieni tu vitu vingine mjifanyie wenyewe, kwani mikono ya mwanaume imekatika?! You cant have your cake and eat it. Kama wote ni wafanyanazi u wd probably be living a fast paced life so inabidi mwanaume ajiongeze tu kama vipi...
nipe andiko linalosema mwanamke akiolewa atelekeze wazazi wake
ona sasa hayo uliyoandika hapo yote yanafanywa na mahg.
Yaan pamoja na kusaidiwa na mahouse girl lakn bado mmeshindwa kuwahandle mabwana zenu. Dharau kibur na kejer ndio vmewajaa kisa mnavielim mlivyovipata kwa kutoa rushwa za ngono kwa lecture wenu
Hahaahaaa kwa hiyo wanawake wote walosoma wametoa rushwa ya ngoni kwa ma lecturer?! Poor urgument, jiamini mwanaume degree or not wewe kama ni mwanaume wa kweli utaiendesha familia yako vizuri poa tu sio mpaka uchukue mzigo wa darasa la saba. Ila kama vipi zama huko na washauri ndugu zako wote wanawake wasisome ili wadumu na mume eeee... teheee