naomba ukarudie maandiko yanasemaje, maana mm nijuavyo ni mwanaume ndiye anayeacha wazazi wake na si mwanamke. Pls Pls katizame vizuri maandiko.mwanamke atawaacha wazazi wake na tazama sio wawili bali wamekuwa mwili mmoja
hayo ndio maandiko au uko kinyume na maandiko ?
naomba ukarudie maandiko yanasemaje, maana mm nijuavyo ni mwanaume ndiye anayeacha wazazi wake na si mwanamke. Pls Pls katizame vizuri maandiko.
hivi kumbe ukweli unauma hivi ?
ha ha ha ha ha ha ha
wanaume wenyewe unawatukana mtakuwa michepuko yetu ya kudumu kwa kuwa sisi ndio tunaoa haina shida
shenzyyy kabisa wanawake wenye degree zao
naomba ukarudie maandiko yanasemaje, maana mm nijuavyo ni mwanaume ndiye anayeacha wazazi wake na si mwanamke. Pls Pls katizame vizuri maandiko.
Hii mada ina kaukweli aisee.. wanawake wenye degree ni pasua kichwa sana., Wanajifanya wajuaji sana., muda wote facebook, sijui ig.
hahahahaaaa,,, huo mstari wa mwisho nmecheka sana...
Tena watakoma kweli. Kwasababu ss ndio tunaochagua
Soma hapa! Mwanzo 2;21-24
-Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
22--na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
23--Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
24--Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
[/COLOR][/SIZE]
Nashukuru kwa hayo maandiko nilipopataka mm ni hapo kwenye Red nafikiri anatakiwa MO11 apaone.
Unapotamka Mwanaume, haiwezi kukamilika Mpaka mwanamke awepo, hvyo amri ya kuwaacha wazazi haikuwa kwa mwanaume tu ila na mwanamke, Ndiyo maana wanakuwa mwIli Mmoja baada ya(tendo la NDoa) ndan ya NDOA..[/COLOR][/SIZE]
Nashukuru kwa hayo maandiko nilipopataka mm ni hapo kwenye Red nafikiri anatakiwa MO11 apaone.
[/COLOR][/SIZE]
Nashukuru kwa hayo maandiko nilipopataka mm ni hapo kwenye Red nafikiri anatakiwa MO11 apaone.
Wanaume wanaosuport hii thread ni walala hoi wasio na mbele wala nyuma.kama wamesoma sana wana diploma.wanatamani wake wenye degree sema wana inferior complex.wanajihisi wenyewe hawana hadhi.poleniiiiii.mtabaki kuona wanawake wakichukua viti maofisin tuu.na bado mtalia sanaaaa

Wewe mo11 kajiendeleze.kasomeee uache kampeni za kijinga.maana hii kampeni mnayofanya hapa inaashiria jinsi gani hamjiamini..mwanaume kuogopa mke msomi ni kutojiamini..as know as dume koko
Wewe mo11 kajiendeleze.kasomeee uache kampeni za kijinga.maana hii kampeni mnayofanya hapa inaashiria jinsi gani hamjiamini..mwanaume kuogopa mke msomi ni kutojiamini..as know as dume koko
Ana bahati wapi kakamatwa na mkewe balaa tu huyo kila kitu anachosema jamaa litakuwa linaitikia tu "sawa mama Kabanga!''mkuu, bahati yako ni njema kupata mwanamke wa design hiyo!!!
Wewe mo11 kajiendeleze.kasomeee uache kampeni za kijinga.maana hii kampeni mnayofanya hapa inaashiria jinsi gani hamjiamini..mwanaume kuogopa mke msomi ni kutojiamini..as know as dume koko