Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

yaani huyo ni box eti hadi nauli ya kwenda kazini kwako nikupe mimi?
kwa nini asibaki nyumbani kulea watoto ??
shenzzzyyyy

We nishakujua roho mbaya tu inakusumbua...hutaki kuona mkeo ana pesa yake...bhaaaas....
 
sielewi kwanini huyu mdada ana matusi sana
Mkuu umeona eee! na ukiona hivyo ujue ni mhanga wa matukio.lkn anatakiwa kujua ni jf tu itamfungua macho ili asiwe mhanga tena.
 
na ukiwachunguza waliokwenda beijing wote...utaona jinsi shule zinavyoharibu hii taasisi ya ndoa kwa wanawake...
umeongea point mkuu,beijing inawatoa wanawake kwenye misingi ya wajibu wao kwa waume
 
yaani huyo ni box eti hadi nauli ya kwenda kazini kwako nikupe mimi?
kwa nini asibaki nyumbani kulea watoto ??
shenzzzyyyy

Mwanamke mfanyakaz pesa zake hautaziona kamwe
 
Wanaoongoza kwa michepuko ni wale wanaotafuta wanaume wanaoona ndio wa level yao.

there is nothing wrong with looking for a partner of a certain class...the problem comes when ur beauty doesnt much the class u aspire to date.
 
mwanamke atawaacha wazazi wake na tazama sio wawili bali wamekuwa mwili mmoja
hayo ndio maandiko au uko kinyume na maandiko ?

hyo ilikuwa zaman lakn hawa wa siku hizi?? Hamna lolote
 
kwa kuwa nyie ndio mnaongoza kwa kututegeshea mimba ndio maana wengi wenu single moms

like kubwaa,, bora limbwata inatibika lakn hawa na degree holders kubambikiza mimba wanaongoza, dharau ndani ya nyumba na mpaka kuzaa na mwanaume wa nje wakat yuko kwenye ndoa, kuchomoa mimba wanaongoza.... Aaghhrrr yaan mpaka kichefuchefu
 
Haswaa na mimi waifu wangu elimu ya kawaida tu. sasa yule wa bachelor aliniletea mapozi meengi ooh mi nataka nyumba nzuri , ooh iwe na jiko lakisasa anaongelea vitu vya kifahaari wakati hata kwao wameezeka nyumba makuti karne hii ya 21 kweli wanawake wa chuo kuoa inataka moyo sana nilimwacha leo ananisumbua mtu nimejituliza na wangu na kazi anafanya maisha yanakwenda
 
majuto ni mjukuu,hakujua hilo mkuu,nawashangaa wanawake wanaodharau wanaume wasio na mali ingali wao wenyewe hawana mbele wala nyuma
 

hongera mkuu hawa nakusihi waendelee tu kuwa michepuko
 
kwan mwanaume ndio anahitaji kunyenyekewa peke yake? jaman hili swala la ndoa karne hii ni shida na sio tatizo la kulaumu upande mmoja, tukae chini kwapamoja tuone tunaanzia wap kurekebisha hili.
 
Magogo kitandani ni kweli kabisa....ila kucheza dancehall clubs ni hatareeee..
 

Ndo maana mimi kigezo cha elimu sijui kazi nilivifutaga zamaniiii
 
Topic nimeipenda ! asilimia kubwa ya wanawake walioolewa ni 7&4x4, ivyo wanawake wenye Degree na n.k ni wachache wanao olewa na kukaa ndani ya ndoa
 

elimu zenyew sijui znawasaidia nn! Wanaringia elimu zao halafu ndio wanakuwa wa kwanza kuinamishwa maofisin na mabosi et watapewa vitengo vizr bila hata haya.
Kiukweli hawa wanawake graduate sio wa kuoa hao ni kwaajili ya michepuko tu.
Bora kuoa ka 4m4 kako unakafungulia biashara au kanasimamia miradi yako maisha yanaenda lakn sio unabeba jitu linajifanya lina elimu huku ndio linaongoza kwa ufuska maofisin, kubambikia watu mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…