kwani wake wanatoa pesa zao?huwa zinaisha kwe urembo wa saloon,yaani hela zenu hata haina faida kwenye familia
Comments kama hizi huwa zinanipa raha sana...te te te...
Pressure inasoma ngapi sasa hivi?
Mnalo hilo...ukute wewe ni yule subordinate wangu...
Hasira za kuongozwa na KE...te te te...
Ukija ofisini heshima...dharau kwa huyo STD 7 wako te te te
Kama una hasira andika barua ya ku resign ule jeuri yako...te te te
Comments kama hizi huwa zinanipa raha sana...te te te...
Pressure inasoma ngapi sasa hivi?
Mnalo hilo...ukute wewe ni yule subordinate wangu...
Hasira za kuongozwa na KE...te te te...
Ukija ofisini heshima...dharau kwa huyo STD 7 wako te te te
Kama una hasira andika barua ya ku resign ule jeuri yako...te te te
sasa kama unajua haina faida mbona mnaiongelea?waache wanawake wa watu wawahudumie wazazi wao kwani wewe mwanaume inamaanisha ukioa hauta hudumia ndugu zako?
hata chuo chenyewe hujasoma ya chuoni utayajuaje? hao walimu na maboss wa chuo watatembea na wanawafunzi wote wa chuo watawamaliza? tatizo lenu hata kuoa hamjaoa na wala hiyo elimu hamna mnakazi ya kuongelea maisha ya watu ambayo hata hamyajui.Kama wewe hutaki msomi sawa oa asiye na elimu maana ndio umeona atakufaa.
utata.
kila nikisoma hoja za mlioleta hii mada na mnaoisapot nabaki kucheka tu!
hiv bado dunia hii kuna watu wanawaza hiv?
dah!
kwa nini nioe mwanamke mfanyakazi ?
Kumbe muda wote huu tuna discuss na bachelor...
Haya kaka endelea ku theorize..
Ukimaliza nenda ka practice...
Hoja yako ni nzuri. Ila naungana na mtoa mada kuwa asilimia kubwa ya wanwake wasomi (sio wote ) ni jeuri ukilinganisha na wenzao wasiosoma (japo nao sio wote lakini asilmia kubwa wanajua kujishusha kwa mumewe)
sio kweli kabisa.Kushindwa kulea familia ni tabia tu ya mtu mimi ushahidi ninao nimelelewa na wazazi wasomi tena wamenilea vizuri mpaka na mimi nikasoma na kupata hiyo degree na sasa nina maisha yangu.
Hata wanawake waliosoma wanajua kujishusha mkuu, sema hujakutana nao labda. Tatizo wanaume kuna wakati tunapenda kutumia mfumo dume hata pasipo kuwa na sababu. Wale wanawake wanaojishusha hata kama wewe mwanaume unakosa ni kwa sababu they are economically dependent. Haya mambo tulikuwa tunayaona hata kwa walezi wetu, unaona kabisa hapa mwanamke kaonewa lakini kwa sababu mwanaume ndio kila ndio kila kitu basi mwanamke ananywea.
Kuna mfano mdogo tu ninao, juzi juzi kuna ndugu yangu ambaye ni mdada kaja kunilalamikia, anasema bwana ake anamwambia asiende kanisani siku ya katikati ya wiki, awe anaenda jumapili tu, sababu hatoi. Cha kushangaza huyu mdada anayemwambia amempita elimu mbali sana, sasa unategemea nini siku akija react unatasema elimu imememfanya areact, mwanamke yupo commited na dini,wewe bila kumpa moyo unamkandamiza.
Nyingine ni mke na mume, ndoa ya juzi tu hapa. Mwanamke analalamika mumewe anashinda baa mpaka saa 7 usiku kila siku. Akitoka kazini anafikia baa, na huyu pia mkewe ni msomi mzuri tu kumzidi yeye. Akija kureact baadae utasema kwa ajili ya usomi wake.
Ninachosema hivi upu.....mba.......vu wa binadamu awe mwanamke au mwanaume hauna uhusiano na elimu. Mimi naishi uswahilini nawaona wake za majamaa walisoma na huku wake zao wakiwa hawana elimu, wake zao wanaburuzwa tena kweupe hadi kwenye magari tena mita 120 toka wanapoishi na mumewe. Tena wanaburuzwa vijana ambao ni jobless forever, anasubiri baba yake amuwekee pesa kwenye meza.
"Mafahari wawili kamwe hawawezi kukaa zizi moja."
Kuishi na mwanamke mwenye kaelimu kadogo "yataka moyo."
Umesema vizuri. Ila angalia tena, believe or not, elimu ina mchango katika behaviour ya mtu. Maana shida ni kuwa elimu yetu inafundisha mind tu tunasahau ubinadam unakamilishwa na vitu vitatu vinavyotegemeana - mind, body and soul. Mada hii inajaribu kujustify kuwa wenye elimu wengi hawaolewi kutokana na elimu yao hiyo hiyo maana mifano iliyo kinyume na uliyotoa pia ipo. Jirani yangu ameoa mwanamke mwenye kidegree kimoja tu na yeye ni fundi mjenzi nadhani ni form 4 au 6. Hiki kidegree amini usiamini jamaa ni full bushoke. Mke safari na vikao haviishi. Mume mda mwingi yuko na watoto na dada wa kazi. Bora hayo, dhihaka na kejeli na kusemeshwa english ya kwenye dictionary jamaa anakuwa disturbed sana. Kifupi hana control tena maana mke alijiendeleza kutoka certificate wakati anaolewa na akagraduate ndipo dharau zilipoanza. Hivyo kuna element za ukweli katika mada hii.
navuta picha ukutane na mwanamke wa kihaya halafu mwanasheriaumesema vema sana halafu bado matumizi mengi ya hela yakawa bado kwa mwanaume kwa kigezo cha kusomeshwa na wazazi
Sitokuja kuoa mfanya kazi ni pasua kichwa huko nichoke na yeye aje anichoshe
ni kweli wakuu japo kwa kundi ulilolilenga kamwe hawatakubali wala ila hiyo ndo hari harisi,mwanamke si degree na hili ni jambo muhimu kuliko yote kama kweli unataka kuoa 'mke' na kufurahia ndoa yako,ukiwaona wengi wanatamani kuolewa lakini hata dating hawaijuhi,badala ya kumfanya kijana avutiwe kumuoa kwa kujistiri wao ndo kwanza wanavalia kana kwamba anaenda bilicanas ...wanaume tujitume kutafuta pesa kumhudumia mkeo ila ukitaka 'eti' wa digrii ili upate unafuhu wa maisha umejiroga,hawafugiki kwa kila kumi yuko1 ama 2 tu wengine ni sumu kama cobra
wanawakd wasomi wana nafasi zaidi y kuolewa kuliko wasio soma lakini maajabu n kuwa ndoa nyingi ni za wasio na shule,wanajua kuheshimu,wanajua kulinda mapenzi,hawa wasomi huwez hata kusikia wanapanga la maana zaidi ya mitoko,aibu yenu
navuta picha ukutane na mwanamke wa kihaya halafu mwanasheria