Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Husband: I am head of the family.

Wife: I am the neck of the family, and neck turns the head exactly the way it wants. 😛😛😛
 

kwani we mtoa mada umeshaoa au unawasemea wenzako?
 
kama ninachopanga hataki tufanyaje?
naoa 4m4 kisha anakaa nyumbani na mahitaji yake yote nitatimiza sio asubuhi tuamke wote mwisho wa mwezi maumivu kwa mmoja hiyo no big NO

kwa hicho kimshahara cha laki 2 unachokitegemea lazima ukimbilie wa form 4
 
hii mada ni muhimu sana kwa akina dada wa kileo hasa wale waliobahatika kufika madarasa ya juu. Wengi wao ni jeuri kupindukia kwa waume zao. haya mambo ya kutafuta haki kupindukia yanawaharibu dada zetu. Ni afadhali wangeishia tu kudai haki zao kama kupendwa, mume kumjali na kumsikiliza lakini siku hizi wamepitiliza wanataka uhuru kupindukia wasiulizwe waendapo au watokapo kazini au matembezi, vikaoni, kichen party, n.k. halafu wao wanataka full control kwa waume zao, ni wakali wasiotaka ushauri na majibu ya hovyo. Nadhani talaka zitazidi sana kwa hawa wasomi wetu kadri siku zinavyoenda.
 

Hoja yako ni nzuri. Ila naungana na mtoa mada kuwa asilimia kubwa ya wanwake wasomi (sio wote ) ni jeuri ukilinganisha na wenzao wasiosoma (japo nao sio wote lakini asilmia kubwa wanajua kujishusha kwa mumewe)
 
sasa na wewe si ulete fact kukanusha ninayosema

mi mpaka sasa harusi zote za mtaani na maeneo mbalimbali nilizohudhuria wenye degree ndio wameolewa hao darasa la 7 na form 4 bado sijaona wakiolewa labda kijijini.
 
Tupo wenye masters zetu tumeolewa na tuna watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…