Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

kweli kwa kuwa hadhi yako ni mchepuko

Jidanganye mchepuko mwenzio umri bado nkijiskia kuolewa hata leo kwan wanaojigongagonga ni weng tu ila si mabodaboda ka weye
 
Jidanganye mchepuko mwenzio umri bado nkijiskia kuolewa hata leo kwan wanaojigongagonga ni weng tu ila si mabodaboda ka weye
2354uyil;liuy6543qyukljghgfrewrstdjh.k/,nkjh
 
Jidanganye mchepuko mwenzio umri bado nkijiskia kuolewa hata leo kwan wanaojigongagonga ni weng tu ila si mabodaboda ka weye

wanajigongagonga au wanataka mbunye warudi kwa wake zao ha ha ha ha
 
Kuna watu wana roho mbaya jamani...yani kusoma nisome mie, stress za boom nipate mie, Sup nipambane nazo mie, Carry over niepuke mie, Discontinuity niiepuke mie....degree yangu mwenyewe halafu wivu uone wewe....
Si majanga hayo....

Halafu ili kunifanya niwe down unakuja na maneno yako....eti oooh wenye degree hawaolewi....!
Tutaolewa sana na degree zetu....tena tutaolewa na wanaume wanaojiamini sio kama wewe mwanaume ndevuuu.....

"Mwanamke mzuri bila elimu sawa na kipini kwenye pua ya nguruwe" by Bonta....
 
Si ndo ukamtafute LY standard seven wako wasije wakaisha.
 
Kwa comment hii nimekubali kuwa wanawake wengi hamjitambui.Yan unajamini kabisa kwakusema kuwa hata leo ukiamua unaolewa eti kisa wanajigongagonga!Kwa akili hii ni halali kwenu kutumiwa na hatimae kuzeekea nyumban
Jidanganye mchepuko mwenzio umri bado nkijiskia kuolewa hata leo kwan wanaojigongagonga ni weng tu ila si mabodaboda ka weye
 
Kwa comment hii nimekubali kuwa wanawake wengi hamjitambui.Yan unajamini kabisa kwakusema kuwa hata leo ukiamua unaolewa eti kisa wanajigongagonga!Kwa akili hii ni halali kwenu kutumiwa na hatimae kuzeekea nyumban

We na ww naona makalio yameamia kichwan kwako.....nyie ndio mnaosifika mtaani kwa kuiba vi house girl vya watu nyambafuu weee
 
Duh!Maskin heshima yangu,najuta kuwa mchangiaji ktk uzi huu
We na ww naona makalio yameamia kichwan kwako.....nyie ndio mnaosifika mtaani kwa kuiba vi house girl vya watu nyambafuu weee
 
kuolewa sio ishu...mwanamke mwenye degree ya kweli anajivunia kufuel the ambitions of his husband.
 
Mke mwema hutoka kwa Mungu whether ni Prof au std 7. Hao std na form iv ndio level yako wewe yaani uwezo wako kiakili ni kwa hili .
Wapo wanaume wameoa wasomi wanaishi kwa amani na wako mbali kinaisha na quality ya watoto ni nzuri sana
. Wako waliooa std 7 na wako nyuma kimaiisha na quality ya watoto ni disaster! Watoto huwezi amini baba yao ni msomi!
 
Punguzeni kutoa tigo kwani hatuwajui bhana huku mitaani na degree zenu mmejaa tele maarufu kwa kutoa tigo au tutajaneeeee
 
Ingekuwa ni hivyo ndoa za watu wanaoishi vijijini zingekuwa salama, maana asilimia kubwa wanaoolewa vijijini ni la saba na wengine hawajaenda shule kabisa, lakini utakuta mwanaume anatafuta mwanamke mwingine kisa wameshindwana na huyo mke wa ujana.
Hivyo tatizo sio degree, wala IV,la VII tatizo ni wote wawili na haswa mwanaume kumfanya mtoto wa mwanaume mwenzio kama sio binadamu, kila siku unamuimbia wimbo ooh unajua mimi nikichwa cha familia,ni kweli wewe ni kichwa anajua ndio maana kaolewa na wewe kwani hajaolewa na mwanamke.Huko ni kutojiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…