Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,793
Habarini Wadau,
Ni kwanini watu wengi inawatokea hali ya kuogopa vitundu vingi vikiwapo mahali pamoja? Wazungu wanaita Trypophobia au fear of the holes. Uogopaji wa vitundu au vishimo.
Ni nini hasa kinasababisha Watu wengi bila kujali makazi au asili yao kujikuta wanaogopa na wengine wanasema wanavikinai hivi vitundu?