Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
 
tusiunge mkono alichokifanya gadner.

Ila udhalilishaji umetokea pande zote gadner amedhalilishwa na jide amedhalilishwa pia.

Udhalilishaji upo na wengi tunafanya.Mara ngapi tumewashika wanawake sehem zisizo sahihi bila ridhaa yao au wao pia kutuambia maneno ya kutudhalilisha na kutushika sehem zisizo stahili bila ridhaa yetu.

Tunaweza kuacha unafiki na kuweka mfano kwa kupunguza kudhalilishana hapa hapa JF.

Lakini sana sana mwisho wa siku hio ni their private life kuingilia sisi sana haituhusu hatujui kinachoendelea nyuma ya speaker baina ya watu hawa.
 
Wanawake wote ambao hawana watoto.

Wanawake wote walioachika na wanaume wao.

Wanawake wote wenye stress.

Wanawake wapenda mipasho.

Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa.

Wanaume wenye wivu wakike.

Wanaume wasiopenda maendeleo.

Wanaume ambao wanatamani wangekuwa wao.
Fanya utafiti, usiongee tu! Test your hypotheses hapo juu. Simple: Muulize mama yako mzazi/dada yako/shangazi na BABA YAKO MAZI/kaka yako/mjomba wako kuwa Gadna amemwambia hivi mtalaka wake, Je ni sawa? Then rudi hapa utupe matokeo ya data uliyokusanya ukilinganisha na hypotheses
 
Wanawake wote ambao hawana watoto.

Wanawake wote walioachika na wanaume wao.

Wanawake wote wenye stress.

Wanawake wapenda mipasho.

Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa.

Wanaume wenye wivu wakike.

Wanaume wasiopenda maendeleo.

Wanaume ambao wanatamani wangekuwa wao.

Isikute kipindi unaandika hapa unanyonya lollypop?
Akili ikahama kwa utamu wa pipi.
 
Mbona gadna hajamtaja mtu jina....mbona bi Dada alikuwa anaongea gadna alikaa kimya tu.....je kwan ajakojozwa...na mwanamke gan asiyependa kukojozwa? Si mnapigaga kelele...oooh wanaume hawatukojoz sasa mwenzine anakojozwa mnalia au wivu wa Dada?
 
ivi hukuzaliwa na mwanamke wewe? angekua Dada yako au mzazi wako ameambiwa hayo maneno aliyo yasema yule Mzulufu tena mbele ya jamii ugejisikiaje ukiwa kama binadamu anaejitambua?
Kwani amemwambia nini cha ajabu? mbona Jay Dee miaka yote anamrushia mipasho Gadner kupitia nyimbo na hamjawahi kusema? Binadamu tuna kawaida ya kunyamaza mwanaume 'akionewa' na mwanamke, lakini ni wepesi wa kushambulia tunapohisi mwanamke anaonewa na mwanaume, kama inavyoonekana kwenye video hii.
 
tusiunge mkono alichokifanya gadner.

Ila udhalilishaji umetokea pande zote gadner amedhalilishwa na jide amedhalilishwa pia.

Udhalilishaji upo na wengi tunafanya.Mara ngapi tumewashika wanawake sehem zisizo sahihi bila ridhaa yao au wao pia kutuambia maneno ya kutudhalilisha na kutushika sehem zisizo stahili bila ridhaa yetu.

Tunaweza kuacha unafiki na kuweka mfano kwa kupunguza kudhalilishana hapa hapa JF.

Lakini sana sana mwisho wa siku hio ni their private life kuingilia sisi sana haituhusu hatujui kinachoendelea nyuma ya speaker baina ya watu hawa.

...wanaume kama mabinti..
 
Wanawake wote ambao hawana watoto.

Wanawake wote walioachika na wanaume wao.

Wanawake wote wenye stress.

Wanawake wapenda mipasho.

Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa.

Wanaume wenye wivu wakike.

Wanaume wasiopenda maendeleo.

Wanaume ambao wanatamani wangekuwa wao.

Daktari Kigangwala muweke namba sita hapo...kakurupuka mno
 
Kwani amemwambia nini cha ajabu? mbona Jay Dee miaka yote anamrushia mipasho Gadner kupitia nyimbo na hamjawahi kusema? Binadamu tuna kawaida ya kunyamaza mwanaume 'akionewa' na mwanamke, lakini ni wepesi wa kushambulia tunapohisi mwanamke anaonewa na mwanaume, kama inavyoonekana kwenye video hii.

Hii ni isolated incidence
 
wanawake buana, wanaona wao ndo wanaonewa tu duniani, kuna waliokuwa wanashangilia ilivyotoka ndindindi, leo wanalialia, muwege hata na kumbukumbu basi jamani
 
Mbona gadna hajamtaja mtu jina....mbona bi Dada alikuwa anaongea gadna alikaa kimya tu.....je kwan ajakojozwa...na mwanamke gan asiyependa kukojozwa? Si mnapigaga kelele...oooh wanaume hawatukojoz sasa mwenzine anakojozwa mnalia au wivu wa Dada?
Think of this if it were your father telling your mother, would you be happy?
 
Back
Top Bottom