Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
We nguruwe pori kiji gani hicho,kwani unadhani mpango ukianza vijiji vyote vinapata umeme siku moja mengi kawaharibu ndiyo basi tena.Vijiji gani webpweza? Mbona vijiji vyetu watu wanatumia solar . Embu toeni ulafa wenu hapa. Hii pesa najua ni nyingi sana mliyoiiba na ndio maana mmeshapeana mgao huko mmekuja hapa JF