Wanaomtetea Musiba leo walikuwa wapi wakati anatukana watu matusi ya nguoni?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,047
219,059
Nimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba, ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini, hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote?

Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya, basi waendelee kunyamaza. Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine.

Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja.
 
Nimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini , ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba , ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini , hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote ?

Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya , basi waendelee kunyamaza , Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine .

Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja .
Naona eti wamekuwa wazee wa busara.....😅😅😅
 
Umbea ndio raha yako🤣
 
Husikii viongozi wa dini wanampigia simu Membe. I can assure you tukiendelea na hii style ya uongozi yaki JK/Sa100 basi kiongozi kama JPM atakuja tena uwoga wangu ataua kweli maadui wake. Tunahitaji marekebisho makubwa kama Jamii tuendeleze haki, umoja na ukweli vitu vinavyokosekana kwenye vyama vya siasa kwasasa.
 
Nimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini , ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba , ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini , hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote ?

Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya , basi waendelee kunyamaza , Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine .

Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja .
Baada ya haya kuisha itabidi mkuu Maxence Melo naye amshtaki Musiba kwa kumchafua
 
Nimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba, ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini, hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote?

Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya, basi waendelee kunyamaza. Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine.

Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja.
Hakuna kiongozi wa dini, hao nao ni wahuni na matakataka kama msiba
 
Nimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba, ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini, hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote?

Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya, basi waendelee kunyamaza. Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine.

Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja.
Nimewadharau sana hawa makada wawili wa CCM Kadinali Pengo na Askofu Malasusa
 
Nimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba, ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini, hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote?

Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya, basi waendelee kunyamaza. Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine.

Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja.
Hivi Sabaya hana kesi ya madai ya kujibu? Kama kapata upenyo katika kesi ya jinai na hatimaye kuachiwa huru, basi kama bado ana tuhuma za kujikwapulia mali za watu kwa kutumia vibaya madaraka yake na kujimilikisha, ni vyema naye yamkute pia yaliyomkuta Musiba.

"What comes around goes around".
 
Nimeshangaa sana kusikia eti leo kuna watu tena viongozi wa dini ambao wanamtetea Mtu Muhuni aliyekosa adabu Cyprian Musiba, ipo haja ya kuchunguza kama kweli watu hawa ni viongozi halali wa dini, hivi kweli kiongozi wa dini anayejiheshimu anawezaje kutetea huyu kijana mshenzi asiye na ubinadamu wowote?

Kama waliacha Musiba atukane na kudhalilisha watu na viongozi bila kumkanya, basi waendelee kunyamaza. Ni aibu kubwa sana kwao kutetea huyu kijana mjinga aliyemtegemea mwanadamu mwenzake kutukana na kudhalilisha wengine.

Natoa onyo kwa viongozi hao wa dini waache mara moja kutetea ujinga kabla hatujawadharau moja kwa moja.
Kwa malu zitazotaifishwa atakua masikini huyu mwamba
 
Back
Top Bottom