Tuacha mambo ya kimsukule, tuzungumze yaliyo mezani. Mnamlaumu Makamba kwa kutokujua Serikali inavyofanya kazi. Makamba anasimamia Nishati ndio ila hawezi kutekeleza ambayo Baraza la Mawaziri hawajaliafiki wala kulijadili haswa linapokuwa zito kama hili la Umeme. Serikali huongozwa kwa collective responsibility period. Ukimkosoa mmoja ni sawa na kilikosoa baraza na kukibwa zaidi ni kumkosoa Rais.