Wanaomshangilia Makamba sasa hivi baadae watamgeuka na kumuacha peke yake, Magufuli ni kete ya ushindi wa CCM

Tuacha mambo ya kimsukule, tuzungumze yaliyo mezani. Mnamlaumu Makamba kwa kutokujua Serikali inavyofanya kazi. Makamba anasimamia Nishati ndio ila hawezi kutekeleza ambayo Baraza la Mawaziri hawajaliafiki wala kulijadili haswa linapokuwa zito kama hili la Umeme. Serikali huongozwa kwa collective responsibility period. Ukimkosoa mmoja ni sawa na kilikosoa baraza na kukibwa zaidi ni kumkosoa Rais.
 
Wapiga kura wa Tanzania siyo wajinga tena wanaijua pumba na wanaujua mchele.
kaka nchi hii kuna uchaguzi? kwa nini pesa hiyo isiende kujaza maji mtoni na tume iwatangaze wa ccm washindi? sidhani kuna mtanzania makini atajipanga foleni tena kutwa jua kali na njaa uchaguzi ambao ushapagwa itakuwa ni kishekesho cha karne.
 
mkuu umeandika maneno machache lakini yanauzito .kazi za magufuli ndizo zitakazotumika kuinadi ccm 2025 ,nje na hapo hakuna!! lakini pia ccm ikitaka kuingia madarakani kirahisi zaidi January ,asifikiliwe kupewa ridhaa ndani ya chama!!la sivyo akipewa ridhaa January Basi chadema watachukua utawala !!
 
January labda agombee kupitia ACT wazalendo lakini CCM haiwezekani ni zamu ya Wakristo!
 
Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia.

Na ukiwaangalia hawa washangiliaji wengi ni chumia tumbo na wako kimkakati.

Utakapokaribia uchaguzi mkuu ndipo mtakapoiona rangi halisi ya CCM kwa sababu kazi alizofanya hayati Magufuli ndizo zitatumika kuinadi CCM na hapo itakuwa hamna namna kwa January. Na kama akizubaa atakuwa ndiye mbuzi wa kafara.

Wapiga kura wa Tanzania siyo wajinga tena wanaijua pumba na wanaujua mchele.

Maendeleo hayana vyama!
Mama atajua ni kwa nini baba alimkataa mtoto kuwa siyo uzao wake.
 
Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia.

Na ukiwaangalia hawa washangiliaji wengi ni chumia tumbo na wako kimkakati.

Utakapokaribia uchaguzi mkuu ndipo mtakapoiona rangi halisi ya CCM kwa sababu kazi alizofanya hayati Magufuli ndizo zitatumika kuinadi CCM na hapo itakuwa hamna namna kwa January. Na kama akizubaa atakuwa ndiye mbuzi wa kafara.

Wapiga kura wa Tanzania siyo wajinga tena wanaijua pumba na wanaujua mchele.

Maendeleo hayana vyama!
Kete ya ushindi?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ata nyie msiompenda magufuli mshaurini mungu wenu wa jela afuate nyayo za magufulu mtavuna viti vingi vya wabunge pengine ata kuchukua nchi.magufuli ni kama maji 2025

Nyayo za kutumia kundi la watu wasiojulikana, tume ya uchaguzi na vyombo vya dola?
 
Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia.

Na ukiwaangalia hawa washangiliaji wengi ni chumia tumbo na wako kimkakati.

Utakapokaribia uchaguzi mkuu ndipo mtakapoiona rangi halisi ya CCM kwa sababu kazi alizofanya hayati Magufuli ndizo zitatumika kuinadi CCM na hapo itakuwa hamna namna kwa January. Na kama akizubaa atakuwa ndiye mbuzi wa kafara.

Wapiga kura wa Tanzania siyo wajinga tena wanaijua pumba na wanaujua mchele.

Maendeleo hayana vyama!
Huo ndo ukweli maana wakijisifia maendeleo yaliyopo maana yake lazima wamugusie JPM.
 
Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia.

Na ukiwaangalia hawa washangiliaji wengi ni chumia tumbo na wako kimkakati.

Utakapokaribia uchaguzi mkuu ndipo mtakapoiona rangi halisi ya CCM kwa sababu kazi alizofanya hayati Magufuli ndizo zitatumika kuinadi CCM na hapo itakuwa hamna namna kwa January. Na kama akizubaa atakuwa ndiye mbuzi wa kafara.

Wapiga kura wa Tanzania siyo wajinga tena wanaijua pumba na wanaujua mchele.

Maendeleo hayana vyama!
Vipi Mhe. Mwambe ambaye amesema waziwazi kuwa kulikuwa na uwongouwongo ktk kujenga hoja ya kukataa mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hii tuhuma unaonaje bwashe? Aliyekataa huu mradi unamfahamu? Je ni mwongo? Mimi siamini kama ni mwongo pengine hakusema tu ukweli.
 
Nabii Kigogo the Jay Z anasemaje
Ndio mwanaharakati ninayemkubali kwa karne hii.
Hana unafiki
 
Kilichokufa huwa kimekufa tu...

Kukihusisha na vilivyo hai ni KUABUDU SANAMU huko...

Wafu hawawezi kuwa na msaada wowote kwa walio hai...!!
 
Vipi Mhe. Mwambe ambaye amesema waziwazi kuwa kulikuwa na uwongouwongo ktk kujenga hoja ya kukataa mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hii tuhuma unaonaje bwashe? Aliyekataa huu mradi unamfahamu? Je ni mwongo? Mimi siamini kama ni mwongo pengine hakusema tu ukweli.
Hawa akina Mwambe waongo waongo sana.

Unamkumbuka Mwambe wa Chadema!
 
Back
Top Bottom