Wanaompinga na kumtukana Rais mtandaoni hawa hapa

Ni kweli kabisa,lakini sidhani kama serikali ya Marekani haijawajengea vijana wake uwezo wa kujiajiri.
Aisee! Sijaona taufa ambalo watu wake wanahenyeka na kazi kama waamerika kwa Ideology mbovu sana ya capitalism.

Nina uhakika miaka miwili ijayo tutashuhudia kuwepo kwa mfumo mpya wa maisha ya kikazi.

Vyama ambavyo vimenunuliwa na mabepari vina shida sana Europe! Wananchi hawana imani navyo tena!
 
Wewe ni sehemu ya genge la wahuni wachache mnaofaidika na mfumo wa Utawala huu...! Nchi hii ina Watz zaidi ya 50 milioni na usifikiri wote wanampenda Magufuli kwa maovu.unyama.uonevu na hali ngumu ya kimaisha na kisiasa tangu aingie madarakani. Kaa ukijua tu ya kwamba ogopa sana ukikuta maji yametulia kwenye mkondo ukadhani utayavuka au kupgelea kirahisi! Chini ya utulivu huo kule kwene kina kirefu kuna kasi ya kuzamisha Nyambizi.....!!!
Kumbuka pia kuwa huyo atakaye mzamisha Magufuli naye atazamishwa pia. It is so simple.

Mkuu mkileta sheria za misituni nanyi mtajibiwa na sheria hizo hizo za misituni. Mkijifanya kuwa nyie ni wanyama basi kumbukeni kuwa sisi wote tuko kwenye species hiyo hiyo moja.
 
Ina maana Makonda ana vueti halali?
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
 
2407314_images.jpg

Na wengi wao ni makada wa CCM, kangomba wengi ni CCM, wauza unga wengi ni CCM, wafanyabiashara wakwepa kodi wengi ni CCM nk nk.
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    9.4 KB · Views: 8
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Crap!
 
Umewasahau WAFANYAKAZI ambao mwaka wa tano HAWANJAONGEZWA MISHARA WALA KUPANDISHWA MADARAJA.
 
Kama ambavyo taifa dhaifu lilikosa mweleko la USSR lilivyosambaratika ndivyo serikali ya magu nayo inavyopoteza mwelekeo na kusambaratika.
Naona uliyotabiri hayatimii maana serikali inahoongozwa na JPM ndio inazidi kuwa imara.
 
Umewasahau WAFANYAKAZI ambao mwaka wa tano HAWANJAONGEZWA MISHARA WALA KUPANDISHWA MADARAJA.
Wengi wanaamini mtu kupanda mshahara Serikalini ni mpaka itangazwe siku ya Mei Mosi. Duh!
 
Waliobomolewa nyumba, ambao ndugu zao wamepotea, vijana wasio na ajira, maskini, wanaokosa Sukari, wamiliki wa vyombo vya habari, n.k
 
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
2#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom