Wanaompinga na kumtukana Rais mtandaoni hawa hapa

1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Wewe jamaa zimo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbowe ni mwenyekiti wa chama chako na alilamba zero.hao twaweza wanaweza kuwa sawa.

wanaipenda na kuishabikia chadema wengi wanaishi maisha ya taabu sna wanafikiri umaskin wao umeletwa na ccm na sio ujinga wao.

akili za kudeki lami kama zako hata ulipo ambiwa na lisu uolewe ulishangilia pamoja na mkeo
MZEE WA EAGLE HUTAKI MCHEZO LEO !: MATAGA
 
Uzuri wa kizazi cha sasa ni watu walio elimika,kwa darasani Na hata elimu mtaani IPO juu,hivyo kumdanganya MTU kwa elimu ya mwaka 47 ni ngumu yoote yanayo tendeka kila MTU ana yaona.
 
Magufuli atakuwa rais wetu hata maisha yote akitaka. tunampenda na kumlinda sana. lile genge la kina lissu na wenzake wakae chonjo kama wao walivyotangaza vita na rais wetu, nasi tunawatangazia vita ya sisi na wao, nendeni kwa wazungu ama popote mnapojisikia wenda, ila kaeni mkijua mnataka kutuletea matatizo, mzungu ukimkaribisha anakuja akiwa anacheka, ila kuondoka lazima akondoke wewe ukiwa unalia. Lissu usidhani mzungu anakupenda sana wewe ama anaipenda nchi yako, jua wazi kisebesebe kinachokupeleka huko kwenda kushtaki unawafaidisha wazungu na watakunyoosha barabara
Duuh nimeamini binadamu tupo tft ktk kufikir na kutenda
 
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao

Nahisi umesema ukweli mwingi. Ambao wapingaji waliotumwa na chama kushinda humu watakutukana. Uongeze pia na wambeya wasio na ujasiri Wa lolote maishani. Wapo hapa wamejificha.
 
Kuna haja ya kuendelea kuwaeleza mpaka waelewe
 
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Rais Magufuli amefanya maajabu ambayo hayajawahi kufanyika tangu nchi ipate uhuru.
 
Jambo usilolijua kama usiku wa kiza kinene!! Kwa unafiki wa watanzania unawezaona hata vigogo au hata mawaziri ndiyo wanaoongoza kumsema rais humu!
 
Magufuli atakuwa rais wetu hata maisha yote akitaka. tunampenda na kumlinda sana. lile genge la kina lissu na wenzake wakae chonjo kama wao walivyotangaza vita na rais wetu, nasi tunawatangazia vita ya sisi na wao, nendeni kwa wazungu ama popote mnapojisikia wenda, ila kaeni mkijua mnataka kutuletea matatizo, mzungu ukimkaribisha anakuja akiwa anacheka, ila kuondoka lazima akondoke wewe ukiwa unalia. Lissu usidhani mzungu anakupenda sana wewe ama anaipenda nchi yako, jua wazi kisebesebe kinachokupeleka huko kwenda kushtaki unawafaidisha wazungu na watakunyoosha barabara
" Magufuli atakuwa rais wetu maisha akitaka . . . lile genge la kina lissu na wenzake wakae chonjo kama wao walivyotangaza vita na rais wetu, na sisi tunawatangazia vita na wao nendeni kwa wazungu ama popote mnapojisikia wenda . . . "
Ukatili aliofanyiwa Lissu unafahamika. Ni watu wenye mioyo migumu ya kishetani ndio wanathubutu kutamka kuwa Lissu ni mmoja wa genge lililomtangazia vita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio hawajajulikana hadi leo. waliomshambulia ambao. Watanzania wanaona na dunis inaona.

Kama wananchi wanampenda Magufuli kwa dhati bila unafiki pasipo kutaka kujinufaisha kwa mgingi wake, wasimuombee hilo. Akiamini na akanogewa, atakuja kutapata shida na kutolewa madarakani kwa nguvu na aibu.
 
Watumishi wa umma waliokuwa wanachama was PPF na NSSF kabla ya kuhamishiwa PSSSF ambao wao bado wanalia na kikokotoo kinacholipa asilimia 25 tu ya mafao Kwa malipo ya mkupuo. Kilichokuwa kimelalamikiwa na waliokuwa wanachama wa PSPF na LAPF. Wao wakarudishwa kwenye kikokotoo chao kizuri na PPF & NSSF wakaambiwa watumie kikokotoo chao ambacho ndio kilikuwa kinalipa asilimia 25 ya mafao!!
 
Back
Top Bottom