Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,649
- 6,832
Kwangu binafsi, hii ni hotuba bora zaidi kutoka kwa Kikwete ambayo nimewahi kuisikia
bk 7 ,hata jk akiguna lazima upongeze,
Kwangu binafsi, hii ni hotuba bora zaidi kutoka kwa Kikwete ambayo nimewahi kuisikia
Mahetaz limewashuka! hakika najivunia rais wangu pamoja na nchi yangu.
headless you!
Njaa zitakuuwa,
Historia ndio inaipa tanzania nafas kama hiyo,
hata angekuwa kapuya lazima angehutubia tu leo
shindwa na ulegee katika Jina la Yesu!!!!
Ni kweli ameongea vizuri, speech nzuri na audience ilimsifu kwa kumpigia makofi,, hayo yote yalikuwa ni mazuri hasahasa kwa mtu uliepata muda wa kuangalia.......
Lakini sasa speech yake haifuti mabilioni ya uswisi, haifuti mali asili zinazotokomea kila kukicha, haifuti sifa kubwa ua madawa ya kulevya, pia kushindwa kuwawajibisha viongoz mizigo..
yote hayo ni majibu sahihi, na JK amefanya kwa usahihi ndivyo inavyotakiwa afanye. hakuumauma maneno.kwan JK alipewa chance kuongea kuhusu nini?
-jinsi tanzania ilivyomsaidia madiba katika mapambano?
-jinsi tanzania tunavyomchukulia madiba?
-au vitu alivyofanya madiba ambavyo vinabidi vienziwe?
-alitakiwa aongelee uhusiano wa TZ na SA?
Afrika ya Kusini, Africa nzima ikiwakilishwa na Dr Kenneth Kaunda wamempa leo JK stahili yake.
Amepewa heshima kubwa katika nafasi ya waalikwa na familia na serikali ya RSA.
Kwa kweli speech yake yenye maneno mazito yamekonga nyoyo za watu wote waliomsikiliza. Ameiwakisha Tanzania na watanzania vilivyo, ameitangaza Tanzania, amemuenzi MWALIMU, walokuwa hawajui ROLE ya Mwalimu na Tanzania iliyoplay katika harakati za ukombozi wa kusini mwa Afrika, leo wamejua, waliokuwa hawajui Uhusiano wa wa tangu zama zile wa Mandela na Mwalimu na Tanganyika hata wewe mwana JF ukiwa mmoja wao tumefunguka macho. Kwa kweli it was a touching moment to hear our President speaking.
Japo wana JF wengi kwa niaba ya makundi yenu mmezoea kumponda, kumnanga, kama unakosoa serikali.. RUKSA! lakini ujijumuishe na wewe, badala ya kulalama na kutukana, provide solutions ama mikakati.
Nadhani kwa kumuenzi Mandela, tu reconcile na Rais wetu, tumtie moyo amalize awamu yake kwa amani. Hongera na Asante KIKWETE leo umetuinua juu sisi Watanzania na Nchi yako Tanzania.
Natamani nikujibu.........nimeamua kukuignore
Unajua watz ndo maana tunadharaulika sana...watu wanadhabikia utumbo sijui kwa nini..ss jk alichofanya cha ajabu nini...? Hotuba mbovu kabisa imejaa kujidai kwingi wala haijamuenzi mandela...unaongea ooh tulimpa passport so what?
Mm cjaona cha ajabu ktk ile speech. Nyie watoto wa Lumumba c lazima mumsifie anayewalisha.. tena ukizingatia 2015 inakaribia. wanafki tuu nyie. Speech ilikua ya kawaida huo ndo ukwel na msiseme nna chuki nae maana kama ni ivyo ningeandika kua ni mbaya bt nimesema ukwel kua ni ya 'kawaida'. Nyie mnaoona kua ni Superb huo ni mtazamo wenu na kila mtu ana mtazamo wake kwahyo msi4C.
Mnamkubali kwa lipi? alipoichukua nchi 2005 na sasa kiuchumi, utendaji wa serikali, ubadhilivu wa umma na mengineyo mengi mbina yameshuka kwa kasi ya ajabu?
Ungekuwa wewe ndo unaiwakilisha Tz ungungumzia nini ? na unawezje kuuaminisha kwamba ingekuwa the best pech?