Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,319
- 7,390
Mama muhongo naona umekuja kucheza kiduku hapa kumtetea mumeohawezi fukuzwa utendaji wake utamlinda.

Umewaona wajinga kama huyu ndiyo wanalipwa na mengi kumtukana muhongo wajinga sana lakini naungana na mtoa mada kuwa muhongo kafanya kazi kubwa sana.Huo umeme katoa mfukoni mwake!!!!
Ujue nyie hawala zake na mengi mnachekesha sana hata kama muhongo ataondoka tunajua ataondolewa kwa mkumbo lakini yupo safi na mchapa kazi wa kweli katika tanzania hii.Mama muhongo naona umekuja kucheza kiduku hapa kumtetea mumeo
wewe unamtukuza kwa sababu ni mumeo
Wewe unamchukia sababu alikupa talaka.
Ujue nyie hawala zake na mengi mnachekesha sana hata kama muhongo ataondoka tunajua ataondolewa kwa mkumbo lakini yupo safi na mchapa kazi wa kweli katika tanzania hii.
Ukiangalia perfomance ya wizara ya nishati chini ya prof. Muhongo ni dhahiri kafanya kazi kubwa toka ateuliwe na mheshimiwa Kikwete kuiongoza wizara hiyo.
Sasa 36% ya watanzania wanapata umeme cha kushangaza watu wanaleta chuki zao bila sababu ya msingi sijui ndio kuzaliwa mjini kukulia mjini na kutotaka kujua mambo ya kijijini ndiko kunawafanya watu washindwe kutambua miradi mingi ya usambazaji umeme vijijini inavyotekelezwa na mheshimiwa Muhongo.
Kwa kweli Muhongo kafanya kazi kubwa na kumpuuza unahitaji kulipwa au kuwa na matatizo ya akili.
We hujui kusimamia vizuri nako ni kazi ngumu, hivi unawajua wabongo kwa kutopenda kuwajibika!
Mkuu ni kweli ccm haijafanya vizuri toka uhuru lakini wewe ni shahidi kama unapita maeneo mengi ya vijiji utakubaliana na mimi utekeleza wa sera ya kusambaza umeme vijiji haya mambo hayahitaji akili kubwa sana kuyatambu.Yaani kwa muda wote huo CCM imekuwa madarakani (53yrs) ni asilimia 36 tu ya watanzania ndiyo wana huduma ya umeme!!? Yaani hiyo rekodi ya kujivunia (36%)? Yes, inawezekana Muhongo akawa mchapakazi BUT hayo madudu ya ESCROW, anatakiwa akamate njia and no more KIPORO.
Ukiangalia perfomance ya wizara ya nishati chini ya prof. Muhongo ni dhahiri kafanya kazi kubwa toka ateuliwe na mheshimiwa Kikwete kuiongoza wizara hiyo.
Sasa 36% ya watanzania wanapata umeme cha kushangaza watu wanaleta chuki zao bila sababu ya msingi sijui ndio kuzaliwa mjini kukulia mjini na kutotaka kujua mambo ya kijijini ndiko kunawafanya watu washindwe kutambua miradi mingi ya usambazaji umeme vijijini inavyotekelezwa na mheshimiwa Muhongo.
Kwa kweli Muhongo kafanya kazi kubwa na kumpuuza unahitaji kulipwa au kuwa na matatizo ya akili.
Nina msifu kwa usimamizi mzuri mengine yote yanajulikana kuwa ni fedha zetu mbona wengine walishindwa.Msimsifu muhongo, hapakuwa na jinsi isipokuwa kutoa kandarasi na umeme upelekwe vijijini, hakuna u-special wowote hapo, inaelekea mna kiu sana ya kutekelezewa mambo mazuri kiasi kwamba ufahamu unawatoka kujua kuwa hizo ni fedha zenu na yeye ni mwajiriwa wenu.
Ujue nyie hawala zake na mengi mnachekesha sana hata kama muhongo ataondoka tunajua ataondolewa kwa mkumbo lakini yupo safi na mchapa kazi wa kweli katika tanzania hii.
Ujue nyie hawala zake na mengi mnachekesha sana hata kama muhongo ataondoka tunajua ataondolewa kwa mkumbo lakini yupo safi na mchapa kazi wa kweli katika tanzania hii.
Msimsifu muhongo, hapakuwa na jinsi isipokuwa kutoa kandarasi na umeme upelekwe vijijini, hakuna u-special wowote hapo, inaelekea mna kiu sana ya kutekelezewa mambo mazuri kiasi kwamba ufahamu unawatoka kujua kuwa hizo ni fedha zenu na yeye ni mwajiriwa wenu.
Ukiangalia perfomance ya wizara ya nishati chini ya prof. Muhongo ni dhahiri kafanya kazi kubwa toka ateuliwe na mheshimiwa Kikwete kuiongoza wizara hiyo.
Sasa 36% ya watanzania wanapata umeme cha kushangaza watu wanaleta chuki zao bila sababu ya msingi sijui ndio kuzaliwa mjini kukulia mjini na kutotaka kujua mambo ya kijijini ndiko kunawafanya watu washindwe kutambua miradi mingi ya usambazaji umeme vijijini inavyotekelezwa na mheshimiwa Muhongo.
Kwa kweli Muhongo kafanya kazi kubwa na kumpuuza unahitaji kulipwa au kuwa na matatizo ya akili.
ustaarabu wako umeishia hapo.