Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Habarai wana-JF
Mimi ni kijana katika soma soma zangu nilikuwa na shauku kubwa ya kumliki website na blog ila nilianza kumliki blog (THANKXGODBLOG-OFFICIAL BLOG | Your Blog Description) tatizo kubwa ni kwamba me sina matumizi nayo(sina muda wa kupost habari zaid ya copynig n passte) so nadhani ktk jukwaa hili la matangazo madogo naweza kumuachia mtu yeyote yule atakae hitaji pm plz kwa fb pop-up box ntamuwekea fb page yake na jina la site ntambadilishia kama akihitaji.. na kwa wale wanahitaji kuwa na blogs za template za kawaida karibuni.
Angalizo; usipende kuwa na vitu km fashion penda kuwa na kitu chenye tija kwako/biashara yako n.k
Link ya blog hiyo ni THANKXGODBLOG-OFFICIAL BLOG | Your Blog Description
Waitn for ushauri wenu
Nawasilikisha