Na huyo dogo anayeuliza maswali ni polepole.Na shangazi Ni MBOWE? Bila kupepesa macho
Na shangazi Ni MBOWE? Bila kupepesa macho
Na shangazi Ni MBOWE? Bila kupepesa macho
Mtoto anaelewa GDP Per Capita ni nini?Shangazi yangu alienda kutembea Uingereza akakutana na mtoto wa miaka 8 raia wa uko, mtoto akauliza nasikia Africa ni masikini sana?
Shangazi akajibu ndiyo,
Mtoto akauliza wewe unatoka taifa gani? Shangazi natokea Tanzania.
Mtoto akauliza mbona wewe unajua kiingereza? Shangazi akajibu nimesoma, mtoto akauliza kwahiyo uko unakotokea kunashule? Shangazi ndiyo zipo.
Mtoto akauliza na maji? Shangazi yapo.
Mtoto akauliza hospitali? Shangazi akajibu zipo.
Mtoto akauliza na usafiri? Shangazi akajibu upo.
Mtoto akaendelea kuuliza na umeme? Shangazi akajibu upo.
Mtoto akashangaa na kusema sasa ninyi ni masikini kivipi! Shangazi: sisi ni masikini tu!
Yale yale ya Kikwete! Kwa hiyo Shangazi yako anaamini yeye ni masikini? Wa nini?Shangazi yangu alienda kutembea Uingereza akakutana na mtoto wa miaka 8 raia wa uko, mtoto akauliza nasikia Africa ni masikini sana?
Shangazi akajibu ndiyo,
Mtoto akauliza wewe unatoka taifa gani? Shangazi natokea Tanzania.
Mtoto akauliza mbona wewe unajua kiingereza? Shangazi akajibu nimesoma, mtoto akauliza kwahiyo uko unakotokea kunashule? Shangazi ndiyo zipo.
Mtoto akauliza na maji? Shangazi yapo.
Mtoto akauliza hospitali? Shangazi akajibu zipo.
Mtoto akauliza na usafiri? Shangazi akajibu upo.
Mtoto akaendelea kuuliza na umeme? Shangazi akajibu upo.
Mtoto akashangaa na kusema sasa ninyi ni masikini kivipi! Shangazi: sisi ni masikini tu!
ndio sababu anashangaa maana neno masikini lina maana tofauti kwa jinsi unavyokua.
Kwa hiyo mleta mada anataka tuufikirie umasikini kwa akili za kitoto?ndio sababu anashangaa maana neno masikini lina maana tofauti kwa jinsi unavyokua.
Mkuu jitihada zinaendelea za kumtua mama ndoo kichwani kauli mbiu hii siku za hivi karibuni Kama imefifia hivi.ila what I believe Kuna Mambo tungeyaacha Kwanza kuyapa kipaumbele hicho,tukahakikisha the whole country inakuwa na maji safi na salama ingekuwa poa.Picha hii inanikumbusha Jana nilikuwa nakatiza barabara flani huko Pwani nikakuta bwawa lenye maji ambayo sidhani yako safi kihivyo raia ndio wanayatumia kuendeshea Mambo MENGINE.Ni kweli maji ya kutosha yapo wala hatubishi na tunaishukuru sirikali ya CCM kwa kutupa maisha bora,maji safi hadi sebuleni.CCM oyeeeeeeeee kidumu chama cha mapinduzi.View attachment 1467709
Napenda mzitambue jitihada zinazofanyikaKwa hiyo mleta mada anataka tuufikirie umasikini kwa akili za kitoto?
Ni kweli maji ya kutosha yapo wala hatubishi na tunaishukuru sirikali ya CCM kwa kutupa maisha bora,maji safi hadi sebuleni.CCM oyeeeeeeeee kidumu chama cha mapinduzi.View attachment 1467709
Angalau wanasomaNdiyo shule zipoView attachment 1468293
Kwani mwanao akija na ripoti kapata asilimia 40 katika mtihani wake, ukamwambia unahitaji jitihada zaidi kuongeza ufanisi, utakuwa hujatambua jitihada zake?Napenda mzitambue jitihada zinazofanyika