Wanaoandika serikali imefilisika wanajua uchumi?

Wanaoandika serikali imefilisika wanajua uchumi?

Wwote ni social worker nashangaaaa mambo ya uchumi wapi na wapi nawashauri wamwachie Prof Ibrahim Haruni Lipumba ambaye ni gwiji la magwiji wa uchumi
 
Sasa hivi kuna miradi gani mikubwa inayoendelea katika Taifa letu? Tulizoe, wakati wote huku kuna mamia ya kilometa za lami zinajengwa, kule daraja la Kigamboni, kule bomba la gas, kule hospitali ya moyo, kule ujenzi wa daraja, huku chuo kikuu UDOM, huku ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi, n.k. Sasa hivi ni miradi gani mikubwa inayoendelea nchini? Maana inawezekana kuna miradi mikubwa inaendelea kwenye baadhi ya maeneo ya nchi lakini watu hatupewi taarifa!

Yalipokuwa yanafanyika hayo, tuliona ni machache na madogo mno, tulitarajia serikali hii ije na mambo mengi zaidi na makubwa zaidi.
Na waziri wa ujenzi wakati huo alikuwa ni nani?!

Halafu hiyo mikataba ikisainiwa bila kudhibiti ufisadi kwanza utaanza kulia lia!
 
Mbona ameshindwa kuajir na kupandisha watu madaraja? Serikal imefilisika
Haha hah kutoajr ndo kufliska mbona we hujaajr hata house girl na wala hatusemi umefilisika. Kinyume chake serkal Kwan ikiajir utakubali imetajka? . Au ndo mtajifanya hamuon . Maana sukar imeongzka 400 ikiwa haiwaishi mdomoni mkasahau kama umeme umepungziwa service charge zaid ya 5000 kwa mwezi.
 
Mbona ameshindwa kuajir na kupandisha watu madaraja? Serikal imefilisika
Haha hah kutoajr ndo kufliska mbona we hujaajr hata house girl na wala hatusemi umefilisika. Kinyume chake serkal Kwan ikiajir utakubali imetajrka ? . Au ndo mtajifanya hamuon . Maana sukar imeongzka 400 ikiwa haiwaishi mdomoni mkasahau kama umeme umepungziwa service charge zaid ya 5000 kwa mwezi.
 
Eti Kufilisika ni kutoa mshahara uleule. hahaha kweli mitaala ya bongo inahtaji maborsho
Acha kubishia kiuno basi mkuu! Mitaala na hali halisi ni mbingu na ardhi kwa nchi hii. Najua yaliyoandikwa huyapendi na unazo sababu zako. Nakuhakikishia, muda hauna porojo za kuremba. Usije jificha kabatini tu. Bila kubadilika nchi inaenda kulia. Hata hivyo sijawahi ona mwenye nyumba kukubali kwa urahisi kuwa njaa ipo kwenye kizingiti cha nyumba yake. Sihitaji matakwimu yanayoleta puruzai ya moyo na macho kama ilivyo kwaida kuwapumbaza watu. Kalagabaho!
 
NCHI YANGU YA TANZANIA HAITAKAA IFILISIKE MILELE YOTE. ..ANAYE AMINI ATAKULA MATUNDA YAKE NA ASIYEAMINI AENDELEE KUPIGA LAMI. ..
 
Serikali haija filisika ila wananchi ndio wamefilisika kwasababu niwapiga dili
Kufilisiwa kwa mwenye pesa kidogo ni rahisi kuonekana kuliko mwenye nyingi na Yule mwenye access ya mikopo.

Naomba mrejesho wa NHC na yale majengo ya kifahari.
 
Mi nimekuja fasta nikidhani labda kuna hata takwimu zinazoeleza serkal inapesa kumbe ni taarabu tu. Wengine wanaongelea et mishahara. Serikal kulipa mishahara ni majukumu yake sio ombi.
Teh teh teh teh teh teh teh
Watu bhana, kumbe unajua n'a umuhimu wa takwimu !!???
Lete basi takwimu kudhibitisha kwamba Serikali imefilisika
 
Napata shida sana kusoma habari zenye vichwa vya habari serikali imefiliska hivi wanajuwa maana ya serikali kufilisika au ndio zile siasa za kuchafuwana?

Naomba kwanza kabla yakuandika chochote niwajuze tuu kwa ufupi hili taifa litafilisiki labda Mungu ashushe moto ukaushe kila rasilimali ya taifa hili na pia dhahabu na mafuta uko ardhini. Ila kiujumla jumla hivi hilitaifa kamwe halitofilisika.

Labda niwaulize tu hivi hii serikali imeshindwa wapi kulipa madeni yake ndipo tuanze hizi kelele kwenye mitandao na kumfanya huyu Rais hajuwi kile serikali yake inafanya? Semeni nitaifa gani duniani au bank inatudai na serikaki imeshindwa kulipa hilo deni au ni yale maden hewa Mh kayapotezea yanawauma. Tuseme ukweli na huu ukweli utatuweka huru.

Haya embu niambie Dec2016 yupo mfanyakazi ajalipwa mshahara maana ikiwa serikali inalipa mishahara huwezi sema hazina imefilisika tukumbuke Issue ya Ugirik serikali ilishindwa lipa deni lake ikafika mahali hata mishahara sasa kwa hapa Tz mmetumia measure gani kupima kuwa serikali haina pesa? Semeni kweli na Mungu awaponye hili nitaifa tusiandike ujinga humu just kwakuwa tunaham yakuandika leteni facts.

Last je kama taifa hatukopesheki? Kiuhalisia tunakopesheka mara elfu sema hekima inatumika kuchukua mikopo ili tusiwatwike zigo kubwa walipa Kodi.

Jamani Tanzania yangu umemkosa nini Mungu mpaka ukazaa watu wasio na uzalendo na taifa lao? Hii ni aibu kwakweli. Poleni manao ibeza serikali ya Magufuli. Mtaaibika asubuhi kweupe.
Porojo tu, tupe takwimu kuthibitisha serikali haijafirisika si tantarira
 
Sasa hivi kuna miradi gani mikubwa inayoendelea katika Taifa letu? Tulizoe, wakati wote huku kuna mamia ya kilometa za lami zinajengwa, kule daraja la Kigamboni, kule bomba la gas, kule hospitali ya moyo, kule ujenzi wa daraja, huku chuo kikuu UDOM, huku ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi, n.k. Sasa hivi ni miradi gani mikubwa inayoendelea nchini? Maana inawezekana kuna miradi mikubwa inaendelea kwenye baadhi ya maeneo ya nchi lakini watu hatupewi taarifa!

Yalipokuwa yanafanyika hayo, tuliona ni machache na madogo mno, tulitarajia serikali hii ije na mambo mengi zaidi na makubwa zaidi.
Ujenzi wa nyumba ya rais chato na uwanja wa ndege chato sio miradi?
Ila ujenzi wa barabara chato Bukoba na chato Biharamulo hamuoni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kufilisiwa kwa mwenye pesa kidogo ni rahisi kuonekana kuliko mwenye nyingi na Yule mwenye access ya mikopo.

Naomba mrejesho wa NHC na yale majengo ya kifahari.
mimi nilikuwa na mkopo nimemaliza desemba mwakajana kwa hali jinsi ilivyo katu siwezi kuchukua mkopo siwezi kuulipa
 
wananchi waliofilizika sio wote wapiga deal.
Unafanya kazi za ujenzi wa nyumba lakini sasa hakuna kazi za ujenzi .
Haa awamu hii ukilalamika hali ya uchumi ni mbaya unambiwa mpiga dili eti tufyate mkia hata km mambo tunayaona yana kwenda kombo
 
Siyo siri hata kidogo kwamba hii serikali ya Faru John imekubwa na ukata. Watumishi hawajapata nyongeza tangu July 2016, hakuna mtumishi wa umma mpya aliyeajiriwa licha ya kwamba kuna mahitaji makubwa ya watumishi serikalini, 85% ya wanafunzi wenye sifa za kupata mikopo ya elimu ya juu wamenyimwa mikopo, nchi imekumbwa na hali ngumu ya maisha inayowakabili watu wake n.k, n.k, n.k.
Hivi elimu bure inaweza kuwa ndiyo sababu ama matumizi bila ya baraka ya bunge letu tukufu.(ngoja niachie hapo nasikia harufu ya panya)
 
Acha kubishia kiuno basi mkuu! Mitaala na hali halisi ni mbingu na ardhi kwa nchi hii. Najua yaliyoandikwa huyapendi na unazo sababu zako. Nakuhakikishia, muda hauna porojo za kuremba. Usije jificha kabatini tu. Bila kubadilika nchi inaenda kulia. Hata hivyo sijawahi ona mwenye nyumba kukubali kwa urahisi kuwa njaa ipo kwenye kizingiti cha nyumba yake. Sihitaji matakwimu yanayoleta puruzai ya moyo na macho kama ilivyo kwaida kuwapumbaza watu. Kalagabaho!
Acha kulalamika na kutoa matusi weka takwimu za kuonesha nchi imefilisika mshahara uleule si ishara ya Nchi kufliska.
 
Acha kulalamika na kutoa matusi weka takwimu za kuonesha nchi imefilisika mshahara uleule si ishara ya Nchi kufliska.
Acha ugoigoi wa ubongo wewe. Naona huna jipya unarudia yaleyale. Katika nchi hii takwimu hazina uwiano na mambo halisi. Utapotea. Eti mshahara uleule! Jikakamue hivyohivyo upate tuzo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Acha ugoigoi wa ubongo wewe. Naona huna jipya unarudia yaleyale. Katika nchi hii takwimu hazina uwiano na mambo halisi. Utapotea. Eti mshahara uleule! Jikakamue hivyohivyo upate tuzo.
Hamna hoja cku hz mmebaki na matus tu huna takwimu unakurpuka tu et nchi imefilisika kumbe umefilisika pke yako.
 
Kama mambo haya yanatokea sasa, hivi yanaashiria nini?
1/Serikali kula pesa za rambirambi.
2/Serikali kushindwa kuleta Chakula cha msaada kwa watu wanaokufa njaa.
3/Serikali kushindwa kulipa Mafao ya wastaafu wake kwa wakati.
4/Hospitali za serikali kukosa madawa muhimu.
5/Serikali kushindwa kulipa deni la wazabuni wa ndani.
6/Serikali kushindwa kulipa madeni ya malimbikizo ya wafanyakazi.
 
Back
Top Bottom