Napata shida sana kusoma habari zenye vichwa vya habari serikali imefiliska hivi wanajuwa maana ya serikali kufilisika au ndio zile siasa za kuchafuwana?
Naomba kwanza kabla yakuandika chochote niwajuze tuu kwa ufupi hili taifa litafilisiki labda Mungu ashushe moto ukaushe kila rasilimali ya taifa hili na pia dhahabu na mafuta uko ardhini. Ila kiujumla jumla hivi hilitaifa kamwe halitofilisika.
Labda niwaulize tu hivi hii serikali imeshindwa wapi kulipa madeni yake ndipo tuanze hizi kelele kwenye mitandao na kumfanya huyu Rais hajuwi kile serikali yake inafanya? Semeni nitaifa gani duniani au bank inatudai na serikaki imeshindwa kulipa hilo deni au ni yale maden hewa Mh kayapotezea yanawauma. Tuseme ukweli na huu ukweli utatuweka huru.
Haya embu niambie Dec2016 yupo mfanyakazi ajalipwa mshahara maana ikiwa serikali inalipa mishahara huwezi sema hazina imefilisika tukumbuke Issue ya Ugirik serikali ilishindwa lipa deni lake ikafika mahali hata mishahara sasa kwa hapa Tz mmetumia measure gani kupima kuwa serikali haina pesa? Semeni kweli na Mungu awaponye hili nitaifa tusiandike ujinga humu just kwakuwa tunaham yakuandika leteni facts.
Last je kama taifa hatukopesheki? Kiuhalisia tunakopesheka mara elfu sema hekima inatumika kuchukua mikopo ili tusiwatwike zigo kubwa walipa Kodi.
Jamani Tanzania yangu umemkosa nini Mungu mpaka ukazaa watu wasio na uzalendo na taifa lao? Hii ni aibu kwakweli. Poleni manao ibeza serikali ya Magufuli. Mtaaibika asubuhi kweupe.