mbarukumkali
Senior Member
- May 28, 2016
- 126
- 99
Inamaana ww hujui kama hii nchi ina madeni ww unajua deni la Taifa ni Tsh ngapi mpaka sasahiv au yangu huyo pombe wako aingie madarakani kuna ajira ngapi zimetoka serikalini au unajua ni wafanyakazi wangapi wanafanya kazi serikalini kwa taarifa yako serikali hii inategemea kodi kutoka kwa watu binafsi na ndio maana matajiri wakijamba tu Taifa linatetemeka unajifanya unajua uchumi mbona hujatoa takwimu za kiuchumi na kwatasrifa yako uchumi mzuri kwa nchi unatakiwa uendane na kipato cha raia mmojammoja Leo hii unasikia wananchi wamemsimamisha waziri kuelezea kilio chao cha njaa
Ww umekunywa viroba vyako unabwabwaja Mara ooohhh uzalendo unakua uzalendo ww???
Ww umekunywa viroba vyako unabwabwaja Mara ooohhh uzalendo unakua uzalendo ww???