Wanaoandika serikali imefilisika wanajua uchumi?

Wanaoandika serikali imefilisika wanajua uchumi?

hao wachina si wanakuja tu kujenga viwanda vya bidhaa zao mbovu ambazo hazipati soko kwenye nchi za wajanja. sisi wametuona mafala wa kutufanya jalala lao.

duh.! roho mbaya ni roho mbaya tuu hakyanani. yaani kiwanda hata hakijajengwa, we tayari umeshakiona mpaka na products zake umeshajua zina quality gani.? kweli UKAWA kuna tatizo.

haya bana, hebu niambie kesho nitakula nini saa 11 jioni, naona una kipaji cha ajabu.
 
Napata shida sana kusoma habari zenye vichwa vya habari serikali imefiliska hivi wanajuwa maana ya serikali kufilisika au ndio zile siasa za kuchafuwana?

Naomba kwanza kabla yakuandika chochote niwajuze tuu kwa ufupi hili taifa litafilisiki labda Mungu ashushe moto ukaushe kila rasilimali ya taifa hili na pia dhahabu na mafuta uko ardhini. Ila kiujumla jumla hivi hilitaifa kamwe halitofilisika.

Labda niwaulize tu hivi hii serikali imeshindwa wapi kulipa madeni yake ndipo tuanze hizi kelele kwenye mitandao na kumfanya huyu Rais hajuwi kile serikali yake inafanya? Semeni nitaifa gani duniani au bank inatudai na serikaki imeshindwa kulipa hilo deni au ni yale maden hewa Mh kayapotezea yanawauma. Tuseme ukweli na huu ukweli utatuweka huru.

Haya embu niambie Dec2016 yupo mfanyakazi ajalipwa mshahara maana ikiwa serikali inalipa mishahara huwezi sema hazina imefilisika tukumbuke Issue ya Ugirik serikali ilishindwa lipa deni lake ikafika mahali hata mishahara sasa kwa hapa Tz mmetumia measure gani kupima kuwa serikali haina pesa? Semeni kweli na Mungu awaponye hili nitaifa tusiandike ujinga humu just kwakuwa tunaham yakuandika leteni facts.

Last je kama taifa hatukopesheki? Kiuhalisia tunakopesheka mara elfu sema hekima inatumika kuchukua mikopo ili tusiwatwike zigo kubwa walipa Kodi.

Jamani Tanzania yangu umemkosa nini Mungu mpaka ukazaa watu wasio na uzalendo na taifa lao? Hii ni aibu kwakweli. Poleni manao ibeza serikali ya Magufuli. Mtaaibika asubuhi kweupe.


Mkuu kama nchi tajiri mbona wamepeleka benki ya maendeleo afrika kuomba trillion mbili kujazia baheti?
 
Kufeli kafeli hakuna jipya eti nchi imepinda WAP hapo?tuambie bas
 
serikali imeondoa hela zake zote kwenye mabenki binafsi na kuzihamishia benki kuu.
halafu serikali inarudi kwenye hayo hayo mabenki kuomba ikopeshwe.zote hizo ni dalili za kuwa nchi imekuwa apeche alolo.
 
Nimefungua uzi nikajua nitakutana na takwimu zilizoshiba kutoka BOT,kumbe ni propaganda kutoka kwa matahira wa lumumba.
Hivi Taira ni nani? Mimi niliewauliza chadema mmepata wapi taarifa serikali haina pesa au nyie mnao andika vitu hamvojuwi?
 
serikali imeondoa hela zake zote kwenye mabenki binafsi na kuzihamishia benki kuu.
halafu serikali inarudi kwenye hayo hayo mabenki kuomba ikopeshwe.zote hizo ni dalili za kuwa nchi imekuwa apeche alolo.
Hujuwi uchumi kula kanye kalale.
 
Kweli mcina kaka kaja ma kapu LA viwanda ishirini hii Neema iliyoje..viko wapi sasa au ahadi tu kama za awamu zilizopita ambazo hazijatekelezwa. Tafadhali naomba kujua maana Nina ndugu hapa na jamaa wanasaka ajira balaa. Pia nijue ni viwanda vya aina gani kaka. Asante sana kwa majibu yako mujarabu nayasubiria..

na hapo ndipo mnapofeli UKAWA. yaani we unataka hata watu wakikaa mezani kujadili njia za kupata chakula, basi wakimaliza mjadala tuu, we hapo hapo unataka uone chakula tayari mezani.

hata wazazi wako walitongozana kwanza, baada ya muda ndio ukazaliwa. usidhani baba yako alipomuona tu mama yako hapo hapo ulizaliwa. hii haraka haraka ya mafanikio UKAWA mmejifunza wapi.?

ndio maana mliamini mnachukua nchi wakati hata hamkuwa na maandalizi.

UKAWA komaeni kifikra, huwezi ukaweka mpango wa kiwanda leo, halafu eti kesho tayari kiwanda kimeshaanza na kuzalisha na ajira zinatolewa. UKAWA vipi bana.?
 
Ushahidi wa Serikali kufilisika huu hapa, lete uongo mwingine.

Development expenditure struggles


Napata shida sana kusoma habari zenye vichwa vya habari serikali imefiliska hivi wanajuwa maana ya serikali kufilisika au ndio zile siasa za kuchafuwana?

Naomba kwanza kabla yakuandika chochote niwajuze tuu kwa ufupi hili taifa litafilisiki labda Mungu ashushe moto ukaushe kila rasilimali ya taifa hili na pia dhahabu na mafuta uko ardhini. Ila kiujumla jumla hivi hilitaifa kamwe halitofilisika.

Labda niwaulize tu hivi hii serikali imeshindwa wapi kulipa madeni yake ndipo tuanze hizi kelele kwenye mitandao na kumfanya huyu Rais hajuwi kile serikali yake inafanya? Semeni nitaifa gani duniani au bank inatudai na serikaki imeshindwa kulipa hilo deni au ni yale maden hewa Mh kayapotezea yanawauma. Tuseme ukweli na huu ukweli utatuweka huru.

Haya embu niambie Dec2016 yupo mfanyakazi ajalipwa mshahara maana ikiwa serikali inalipa mishahara huwezi sema hazina imefilisika tukumbuke Issue ya Ugirik serikali ilishindwa lipa deni lake ikafika mahali hata mishahara sasa kwa hapa Tz mmetumia measure gani kupima kuwa serikali haina pesa? Semeni kweli na Mungu awaponye hili nitaifa tusiandike ujinga humu just kwakuwa tunaham yakuandika leteni facts.

Last je kama taifa hatukopesheki? Kiuhalisia tunakopesheka mara elfu sema hekima inatumika kuchukua mikopo ili tusiwatwike zigo kubwa walipa Kodi.

Jamani Tanzania yangu umemkosa nini Mungu mpaka ukazaa watu wasio na uzalendo na taifa lao? Hii ni aibu kwakweli. Poleni manao ibeza serikali ya Magufuli. Mtaaibika asubuhi kweupe.
 
Yani, ukipita michango mingine humu JF unabaki kutikisa kichwa tuu, watu wanashindwa kutenganisha serikali, mahakama, polisi au hata serikali za mitaa. Watu wamesha jiaminisha kwamba hii nchi ni kweli iko juu ya mawe, na kila kitu cha nchi hii kinaamuliwa na Rais. Unachirewa picha kwamba karibuni tuu, watu wataanza kutembea bila nguo barabarani.
 
Njoo na takwimu zako kuthibitisha kuwa serikali imefilisika
 
Wewe utakua NI Maguful umeingia humu kutuaminisha haya mambo ya serikal yako.
CCM dawa yenu ipo jikon,Maguful ameshafeli ndan ya hii miaka 5 hii ,any honest human analiona hili ,unatuandikia non sense hapa ,but the truth is demonstrable ,just believe your own eyes .Maguful si tumain tena ,NI gari lililokatika stelling.
Upinzani ni sawa na mtu alie ndani ya pango ambapo anaamini kingo za mapango ni mwisho wa dunia. Kiukweli kabisa kamwe hawezi kuamni ipo dunia nyingine. Potezen muda Magufuli ndio kiwembe chetu kuwamaliza
 
Umetisha nadhan kaukuu ka wilaya utakapata,, kaza kaza mwana mwehu hua hapendi mtu wa kumwambia wewe ni mwehu anapenda mtu anaemwambia yaani wewe ni mzima kabisaaaa wanaokushangaa Kwanzaa ndio wehu kwanza kwani wana kipimo cha akili?? Wapuuze achana nao, haha wewe ni mmoja wa watu wa aina hiyo soon tutasikia habari ya uteuzi,
[HASHTAG]#usinisahau[/HASHTAG] kwenye ufalme wako japo kajero tu
Wewe unafaa kuwa mwenyekiti wa baraza la vichaa(BAVICHA)ngazi ya taifa
 
Wewe unafaa kuwa mwenyekiti wa baraza la vichaa(BAVICHA)ngazi ya taifa
Mi ni mzee wa kutomba mashoga fala wewe, njoo nikugonge kama na wewe ni shoga, teh teh hata kama hujaanza ntakubikiri
 
Hii serikali mojawapo kinacho ifanya ionekane imefilisika inawadhurumu wahanga na imeshindwa kuongeza wafanyakazi mishahara yao tangu wapandishwe daraja,
Imeshindwa kuajiri.
 
Back
Top Bottom