Wanao Pora Fedha na Mali za Marehemu kwenye ajali

Wanao Pora Fedha na Mali za Marehemu kwenye ajali

Umewahi kuibiwa Mali yoyote .?


Pengine hujawai kuibiwa na hujui kadhaa ya kuibiwa Mali.


Aliyesema mwizi akatwe mikono hakukosea


Tia kiberiti wezi wote.
EEnh tia wote na wanaopora abiria kwenye magari,wanaopora mizigo malori yakianguka,wanaochota mafuta malori yakianguka na sio wanaoiba kuku tu au simu
Yaani ikiwezekana watanzania asilimia 80 watiwe kiberiti
 
Sijui Matajiri wanaitwaga mashetani kwa kigezo kipi, ila ushetani wenyewe upo kwa maskini.
 
Sijui ulimsoma mdau ukamuelewa?wakati mwingine tenganisha siasa na uhalisia.

Hali ngumu husababisha kiumbe kukosa utashi wa hekima na busara,sera mbovu za vyama tawala ndiyo husababisha hizo hali ngumu kwa wananchi lazima ulikubali hilo,hapo chini umemaliza kwa mfano dhahiri kabisa namna hali ilivyo ngumu ktk wanaoenda kuchota mafuta humkuti mtoto wa mkuu wa mkoa wilaya ded wala das kwa sababu baba na mama zao wapo kwenye chain ya ulaji ya ccm utakuta ni hao hao maskini waliokosa nyuma wala mbele.
Acheni kutetea upumbavu. Mmekosa utu kabisa. Kwenda kumpora mtu anayepigania uhai wake ndo itaondoa CCM madarakani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom