Wananiuliza DEVIL ni Nani

Mada kama hii ni maalumu kwa watu wenye matatizo. Hii inawasaidia kujua chanzo cha matatizo yao. Acha utani wewe unamjua huyo mtu in person au unafanya mzaha.
I know dogo Haji tena vizuri sana, kwa kweli Simba ilifanya makosa kumuajiri yeye bcs jamaa ni Yanga damu, pale Simba alikuwa anazuga tu na kucheza na fursa iliyopo. Angalia alivyokuwa anawatukana Yanga mpaka wakawa wanamuogopa na kumnyenyekea wakimuona. Unataka kuniambia umesahau yale matusi aliyokuwa anawatukanaga au nayo pia ni njia ya utani?
 

ivi umeelewa ulichokiandika kweli??
 

Akili matope unakataa uwepo wa Mungu ila unakubali uwepo wa roho, unawezaje kusibitisha kama binadamu ana roho?
 

Mkuu dini ni nini?
 

I Sell My Soul To The Devil, Moja Ya Punch Line Za Ngoma Ya Kanye Weast
 
MKUU hutakiwi kujaribu unatakiwa kuamua kufanya. Nitafute Kama unataka kustajabu mambo ya dunia. Njoo ukiwa tayari kabisa...wewe ujui Kitu alafu unabisha....
 
😍
 
😲😲🤣
 
Haya pia ni matango pori.
Nyie wa baba mmoja.
 

Nitaleta hadithi ya lucifer kwa ajili yako mkuu. Next time.
 
hakuna shetani usidanganye kadamnasi! devil,satan lucifer morning star is the same na ukiichambua hyo biblia unakuta huyohhyo mungu wa biblia ndo shetani! yaani pande 2 za sarafu
Majini, wachawi, walozi, limbwata, waganga- hawapo mitaani kwako? au kijijini kwenu? hujawahi kurogwa au ndugu yako kurogwa? au tuseme kuwaona tu? hivi, hata girl friend wako au mkeo pia hajawai kukuroga na karimbwata tu? ili umpende zaidi? km bado

Basi jua wazi! kuwa uko sahihi kwa msemo wako huo! ambao-- sisi tunao jua! hautuhusu kamwe na hatutakuelewa forever!! sawa na kumpigia Mbuzi muziki!! ukitegemea aanze kukata kiuno!......unapoteza muda tu!

Yaani shetani hakutambui na Mungu hakutambui, na kam mtu hakujui utamjua wa nini? utaanzia wapi kwanza? walio wake watamjua tu! kwanza mtaonana wapi? yaani wewe hata punda ana kuzidi sababu yeye anajulikna kwa Sir God!

Mungu wetu hakuhusu!! shetani mwenyewe aliumbwa na Mungu aka hasi! ina maana ana value kukuzidi, alisha kula vinono! huko mbinguni! Hapa Dunia lazima utake usitake uwe pande mbili tu! ya shetani au ya Mungu! baassi
 
Mada nzuri,ila kona kona kibao,nyoosheni mambo.
Hakuna kona hapo mada imenyooka ivi.......... sema tu! watu wengine ni wagumu sana kujua jambo!! akiambiwa Yesu anakuja mawinguni bado atauliza yuko wapi.......
 
Ndiyo hao hao!! humu watakushambulia kinafiki kweli! na ndo sifa kubwa ya kuwa Lucifferian!! lete ubuyu ngoja nikae vizuri, JF raha sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…