Wananiuliza DEVIL ni Nani

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
5,477
2,000
Mada kama hii ni maalumu kwa watu wenye matatizo. Hii inawasaidia kujua chanzo cha matatizo yao. Acha utani wewe unamjua huyo mtu in person au unafanya mzaha.
I know dogo Haji tena vizuri sana, kwa kweli Simba ilifanya makosa kumuajiri yeye bcs jamaa ni Yanga damu, pale Simba alikuwa anazuga tu na kucheza na fursa iliyopo. Angalia alivyokuwa anawatukana Yanga mpaka wakawa wanamuogopa na kumnyenyekea wakimuona. Unataka kuniambia umesahau yale matusi aliyokuwa anawatukanaga au nayo pia ni njia ya utani?
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
999
1,000
bado wewe hapa ndo unaifunga jamii kamba! nimpe mfano wa msanii ambae ameuza roho yake!

naona umetumia huo mstari wa biblia kama uthibitisho wa kua mtu anaweza kuuza roho yake, wakati hata hyo biblia ni fix kama fix zingine!

hakuna shetani usidanganye kadamnasi! devil,satan lucifer morning star is the same na ukiichambua hyo biblia unakuta huyohhyo mungu wa biblia ndo shetani! yaani pande 2 za sarafu

ivi umeelewa ulichokiandika kweli??
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
999
1,000
acha uongo wewe! satan lucifer na devil, ni majina tu ambayo yanatumika kuashiria shetani! in short ni labels tu, na kiuhalisia satan ndo lucifer ambae ndo wana m term kama devil! na lucifer ni morning star, sio kiumbe it is a morning star au tuseme sayari ya venus!?

ujio wa dini umepersonify vitu kutoka katika astrology na kuvipa sifa za viumbe! ila kiuhalisia hakuna shetani, hata mungu hayupo kama yupo nipe ushahidi!

kuhusu hao unaosema wanakua hawana soul! naweza kuafiki kua wanaingia mikataba ya kiroho na demons(esoteric beings) ila sio shetani,!

mwisho ni kua hakuna mtu ambae hana roho! kila mtu ana roho! huwezi ku exist bila roho! wewe hapa you are a physical body, ila u still have an astral body ambayo tunaweza sema ndo roho yenyewe! wengibwetu hatupo connected na astral body, ila haimaanishi kua haipo, na ukiwa connected na astral body ni kua utaweza jua hata future! nmetumia hiyo tafsiri kua connected na astral body kwa urahisi tu ila naweza sema kua enlightened ambao watu wa spiritual watanielewa kwa wepesi zaidi!

ila usitulishe matango pori hayo! na acha story za nyuzi kufutwa unatafuta excuse ya kuficha kua hujui ila unajifanya unajua! otherwise ungekua unajua usingekuja nusunusu!

jioni njema!

Akili matope unakataa uwepo wa Mungu ila unakubali uwepo wa roho, unawezaje kusibitisha kama binadamu ana roho?
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
999
1,000
Biblia kwangu sichukulii kama kitabu cha dini bali ni historia za watu wa kale waliopata kuishi hapa duniani ili tuweze kujifunza kwa yale waliyo yaishi.. Kwamfano soma habari za marko.

“For what shall it profit a man, if he shall gain the whole world, but lose his soul?" -Marko 8:36” roho ni mali inaweza kuuzwa na kununuliwa. Unadanganya watu kwanini. Satan lucifer na devil ni viumbe tofauti lakini kwakuwa watu wengi wanaamini ni kiumbe mmoja basi ndo wanazidi kupotea. Kama leo nimefanikiwa kumchambua devil. Nitaelezea na Satan alafu nitamaliza na lucifer katika mada zangu zijazo.

Kuhusu kuuzwa roho jifumze sana. Watu wengu mnaowaona mashuruhi iwe wasanii na wanasiasa wengi hawana roho walisha uza kitambo. Ndo mana ukimfatilia msaanii ukamoenda utashangaa ukilala unamuota.

Mkuu dini ni nini?
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
999
1,000
bado wewe hapa ndo unaifunga jamii kamba! nimpe mfano wa msanii ambae ameuza roho yake!

naona umetumia huo mstari wa biblia kama uthibitisho wa kua mtu anaweza kuuza roho yake, wakati hata hyo biblia ni fix kama fix zingine!

hakuna shetani usidanganye kadamnasi! devil,satan lucifer morning star is the same na ukiichambua hyo biblia unakuta huyohhyo mungu wa biblia ndo shetani! yaani pande 2 za sarafu

I Sell My Soul To The Devil, Moja Ya Punch Line Za Ngoma Ya Kanye Weast
 
babababababa

Member
Jun 18, 2021
26
45
nabisha kwakua nimejaribu na muda huu tena nliposoma comment yako nmejarbu! au nkanunue hvyo vitu vingne vipya!?

vipi wewe umejaribu!? ndo maana nasema huu ni uongo! hebu muulize mwenye uzi kama amewahi kujaribu yeye mwenyewe! au ameleta nadharia tu!

oyaa jaribuni mlete mirejesho hapa huu ufala hatuutaki hapa! watu kutuchezea akili zetu!
MKUU hutakiwi kujaribu unatakiwa kuamua kufanya. Nitafute Kama unataka kustajabu mambo ya dunia. Njoo ukiwa tayari kabisa...wewe ujui Kitu alafu unabisha....
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
9,470
2,000
Ukiamua kutega bega ni juu yako na ukikataa kutega bega shauri yako. Kupanga ni kuchagua tusilazimishane kufa Na kuishi. Ni bora tugawane mbao. Tiba ya ugonjwa ni uamuzi wa mtu binafsi.

Kuna watu wanachanganya juu ya satan, lucifer na Devil. Hivi ni viumbe 3 tofauti na havifanani katika utekelezaji wa kazi zao. Kila kimoja wapo hapo kina faida na hasara zake kwa wanaojua kuvitumia.

Devil kwa maana halisi wazungu wanasema “ the devil lives amongst us”. Tafsiri ya devil kwa kiswahili manake ni Mwovu. Waovu tunaishi nao miongoni mwetu. Nitaeleza mbinu chache za kuweza kukufanya umjue Devil au mwovu wa karibu yako. Hii itakusaidia kubadilisha maisha yako wewe hapo.

Kwa kawaida Binadamu kamili ameumbwa na vitu 3 ambavyo ni mwili, nafsi na roho. Nimesema Binadamu kamili kwani kuna binadamu ambao sio kamili kwani wao wanavitu 2 kati ya hivyo vi 3. Binadamu asiye kamili ana mwili na nafsi tuu basi ila roho hana. Najua watu watashangaa sana lakini utaelewa tu.

Miongoni mwa watu ulishawahi kuskia au kuona mtu kapandisha majini au mashetani au labda mtu ni mchawi anaweza kuhama kutoka ulimwengu wa damu na nyama na kwenda ulimwengu wa kiroho. Ki msingi mtu mwenye huu uwezo wa kufanya miujiza hiyo ni Binadamu ambaye hajakamilika. Kitaalamu wanaitwa organic portals au Soulless Beings. Huyu mtu asiye kuwa na roho anaweza kuwa baba yako, mama, kaka, dada, mke wako hata watoto wako.

Watu hawa kama wewe sio mchunguzi sana ukiishi nao huwezi kuwajua na kama ikitokea akawa mke wako au mume wako atakusumbua sana. Na kama akiwa ni mzazi wako atakuchukia bila sababu. Na kama wewe ni Binadamu mwenye vitu vitatu utajikuta hupendwi na hata kama wewe ni mzuri kiasi gani hupati mwanamke au mwanaume wa kiwa nae hata utongoze vipi. Na kama ukilazimisha mapenzi utakiona cha mtema kuni.

Sifa yao kubwa ni wasaliti sana. Wanatujua ila wao hatuwajui. Wao wanafahamiana on spoti yani akimuona mwenzake anajua huyu kama mimi ata akitongozwa akatai. Anatoa bure ila wewe atakutesa sana.

Sasa hawa Binadamu ambao hawajakamilika wenye mwili na nafsi tuu tunaishi nao huku mitaani na kila mahali wapo. Namanisha kila mahali anaweza kiwa hata mkuu wa nchi. Sema ni vigumu kuwajua labda kama ulisha fundishwa namna ya kuwatambua. Watu hawa wanatumika kama kiunganishi cha ulimwengu wa damu na nyama na ulimwengu wa kiroho. Hivyo ili majini au wachawi na viumbe wengine waweze kupata hisia za kibinadamu lazima wawaingilie viumbe hawa na kukaa ndani yao.

Pale ambapo kiumbe kutoka ulimwengu wa roho kikimvaa huyu mtu ambaye hajakamilika jina lake kinabadilika ndio anakuwa Devil au Mwovu kwa lugha adhimu ya kiswahili.

Hawa watu ndio tupo nao kwenye vita ya kiroho au spiritual warfare. Wanafanya mashmbulizi yao kupitia addiction za vitu kama pombe, bangi, ngono na madawa mengine ya kulevya. Hawa ni spying agents.

Siwezi kuweka mengi hapa kwani uzi wangu utafutwa kama mingine inavyo futwa. Ushawahi kujiuliza kuhusu yule rafiki yako/zako ambao hata kama huna hela utalewa au kama bangi utavuta au kama ni mwanamke watakununulia?

Ushawahi kusema naacha pombe bangi au umalaya ghafla umelala unaota unagombana na mtu au mtu anakushawishi ndotoni usiache hizo anasa za uraibu na kukupa maneno ya kashfa kwamba wewe huwezi kuacha ulevi au bangi au umalaya?

Ushawahi kusikia kwenye biblia kuwa kipi kitamnufaisha mwanadamu kuupata ulimwengu wote kwa kupoteza nafsi yake. Au ulisha wahi kuskia msanii flani wa ulaya sell his soul au kauza nafsi. Kinachofanywa pale yule mtu anageuzwa kuwa Mlango wa majini kupita kuja duniani.

Siwezi taja njia za kuwagundua ila nitaweka moja tuu kama unaakili utajua ni nani devil karibu yako. Ushawahi kuwa na mtu ambaye mnapanga mipango flani mnakubaliana kabisa alafu baadae anabadilika na kuruka kila kitu. Iwe mlijadili kuhusi fedha au kazi au upo kwenye uhusiano na mtu mwongo anayebadilika kila saa na hana Msimamo. Jibu ni kwamba ni mara chache sana anakuwa ni yeye kwani unaweza kuwa unaongea na X kwa wakati huo na kupanga mipango yenu Badae ukija kumkumbusha anakuwa sio X tena bali ni Y kiumbe kingine.

DUNIA INA TISHA SANA. Ni bora mungu ametufumba macho tusione vilivyo tuzunguka na tunavyo ishi navyo. IGNORANCE IS BLISS
😍
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
9,470
2,000
bado wewe hapa ndo unaifunga jamii kamba! nimpe mfano wa msanii ambae ameuza roho yake!

naona umetumia huo mstari wa biblia kama uthibitisho wa kua mtu anaweza kuuza roho yake, wakati hata hyo biblia ni fix kama fix zingine!

hakuna shetani usidanganye kadamnasi! devil,satan lucifer morning star is the same na ukiichambua hyo biblia unakuta huyohhyo mungu wa biblia ndo shetani! yaani pande 2 za sarafu
😲😲🤣
 
Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
4,072
2,000
acha uongo wewe! satan lucifer na devil, ni majina tu ambayo yanatumika kuashiria shetani! in short ni labels tu, na kiuhalisia satan ndo lucifer ambae ndo wana m term kama devil! na lucifer ni morning star, sio kiumbe it is a morning star au tuseme sayari ya venus!?

ujio wa dini umepersonify vitu kutoka katika astrology na kuvipa sifa za viumbe! ila kiuhalisia hakuna shetani, hata mungu hayupo kama yupo nipe ushahidi!

kuhusu hao unaosema wanakua hawana soul! naweza kuafiki kua wanaingia mikataba ya kiroho na demons(esoteric beings) ila sio shetani,!

mwisho ni kua hakuna mtu ambae hana roho! kila mtu ana roho! huwezi ku exist bila roho! wewe hapa you are a physical body, ila u still have an astral body ambayo tunaweza sema ndo roho yenyewe! wengibwetu hatupo connected na astral body, ila haimaanishi kua haipo, na ukiwa connected na astral body ni kua utaweza jua hata future! nmetumia hiyo tafsiri kua connected na astral body kwa urahisi tu ila naweza sema kua enlightened ambao watu wa spiritual watanielewa kwa wepesi zaidi!

ila usitulishe matango pori hayo! na acha story za nyuzi kufutwa unatafuta excuse ya kuficha kua hujui ila unajifanya unajua! otherwise ungekua unajua usingekuja nusunusu!

jioni njema!
Haya pia ni matango pori.
Nyie wa baba mmoja.
 
badison

JF-Expert Member
May 29, 2015
513

Nitaleta hadithi ya lucifer kwa ajili yako mkuu. Next time.
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,846
2,000
hakuna shetani usidanganye kadamnasi! devil,satan lucifer morning star is the same na ukiichambua hyo biblia unakuta huyohhyo mungu wa biblia ndo shetani! yaani pande 2 za sarafu
Majini, wachawi, walozi, limbwata, waganga- hawapo mitaani kwako? au kijijini kwenu? hujawahi kurogwa au ndugu yako kurogwa? au tuseme kuwaona tu? hivi, hata girl friend wako au mkeo pia hajawai kukuroga na karimbwata tu? ili umpende zaidi? km bado

Basi jua wazi! kuwa uko sahihi kwa msemo wako huo! ambao-- sisi tunao jua! hautuhusu kamwe na hatutakuelewa forever!! sawa na kumpigia Mbuzi muziki!! ukitegemea aanze kukata kiuno!......unapoteza muda tu!

Yaani shetani hakutambui na Mungu hakutambui, na kam mtu hakujui utamjua wa nini? utaanzia wapi kwanza? walio wake watamjua tu! kwanza mtaonana wapi? yaani wewe hata punda ana kuzidi sababu yeye anajulikna kwa Sir God!

Mungu wetu hakuhusu!! shetani mwenyewe aliumbwa na Mungu aka hasi! ina maana ana value kukuzidi, alisha kula vinono! huko mbinguni! Hapa Dunia lazima utake usitake uwe pande mbili tu! ya shetani au ya Mungu! baassi
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,846
2,000
For your information uliposema kuhusu mambo ya lower mental plane nilijua wazi wewe ni just a follower. Hayo mafundisho ni ya theosophical society kama ulikuwa hujui. Ni kwa ajili watu level ya chini. Mwanzilishi wa hayo mambo ya lower plain unayozungumzia ni annie besant na helena blavastky hao wote wapo chini ya lucifer publinging co. Ulisoma nadharia ya Isis Unveiled ukajua basi na wewe unajua mambo.
Ndiyo hao hao!! humu watakushambulia kinafiki kweli! na ndo sifa kubwa ya kuwa Lucifferian!! lete ubuyu ngoja nikae vizuri, JF raha sana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom