Wananiuliza DEVIL ni Nani

Wananiuliza DEVIL ni Nani

Devil anaishi wapi?
Amesema Lusifer ni jina la Malaika Kiongozi kabla hajamwasi Bosi wake.
Devil ni jina lilitokana na sifa ya inayowakilisha uovu Evil baada ya kuasi.
Satan ni jina alilolipata Lusifer baada ya Kuasi.
Ndio maana leo kuna Satanic Church na Lusiferan Church lakini kahuka Devil Church.
Kwakuwa hata Satan au Licifer hataki kujitangaza kuwa ni mwovu.
Ni mwema ktk waumini wake.
 
Washirikina wote wameuza Roho zao kwa Satan Lusifer ambaye ndiye Devil yaani mkuu wa uovu wa asili.
Unapoingia katika ulimwengu wa Satan Lusifer ili uwe mshirikina kwa kupata faida, unaarufu, kujinda, utafiti nk.
Ni lazima upate ruhusa ya Satan mwenyewe.
Na ni lazima muandikishane mkataba wa kupatana ili usaidiwe hitaji lako.
Mkataba huo unaenda na kuiweka roho yako juu ya mamlaka yake ili iende anavyo taka yeye na mwisho wa siku ukifa iwe mali yake.
Yaani ni kumpa Lusifer mamlaka ta kukumiliki ukiwa na mwili na hata ukifa roho yako iwe mali yake.
 
Amesema Lusifer ni jina la Malaika Kiongozi kabla hajamwasi Bosi wake.
Devil ni jina lilitokana na sifa ya inayowakilisha uovu Evil baada ya kuasi.
Satan ni jina alilolipata Lusifer baada ya Kuasi.
Ndio maana leo kuna Satanic Church na Lusiferan Church lakini kahuka Devil Church.
Kwakuwa hata Satan au Licifer hataki kujitangaza kuwa ni mwovu.
Ni mwema ktk waumini wake.

Lusifer hakuwahi kuwa malaika kwakuwa chini ya universal law of nature lucifer asili yake ni negative energy na malaika ni asili yao positive energy malaika hawana uwezo wa kuqsi kwani hawana tamaa. Ni uongo wa dini na mafundisho ya kuaminisha watu lucifer alikuwa malaika. Soma nimeandika mada ya historia ya lucifer kwanza ule ni ukoo. Lucifer ni jamii ya viumbe wengi sio mmoja.
 
Ukiamua kutega bega ni juu yako na ukikataa kutega bega shauri yako. Kupanga ni kuchagua tusilazimishane kufa Na kuishi. Ni bora tugawane mbao. Tiba ya ugonjwa ni uamuzi wa mtu binafsi.

Kuna watu wanachanganya juu ya satan, lucifer na Devil. Hivi ni viumbe 3 tofauti na havifanani katika utekelezaji wa kazi zao. Kila kimoja wapo hapo kina faida na hasara zake kwa wanaojua kuvitumia.

Devil kwa maana halisi wazungu wanasema “ the devil lives amongst us”. Tafsiri ya devil kwa kiswahili manake ni Mwovu. Waovu tunaishi nao miongoni mwetu. Nitaeleza mbinu chache za kuweza kukufanya umjue Devil au mwovu wa karibu yako. Hii itakusaidia kubadilisha maisha yako wewe hapo.

Kwa kawaida Binadamu kamili ameumbwa na vitu 3 ambavyo ni mwili, nafsi na roho. Nimesema Binadamu kamili kwani kuna binadamu ambao sio kamili kwani wao wanavitu 2 kati ya hivyo vi 3. Binadamu asiye kamili ana mwili na nafsi tuu basi ila roho hana. Najua watu watashangaa sana lakini utaelewa tu.

Miongoni mwa watu ulishawahi kuskia au kuona mtu kapandisha majini au mashetani au labda mtu ni mchawi anaweza kuhama kutoka ulimwengu wa damu na nyama na kwenda ulimwengu wa kiroho. Ki msingi mtu mwenye huu uwezo wa kufanya miujiza hiyo ni Binadamu ambaye hajakamilika. Kitaalamu wanaitwa organic portals au Soulless Beings. Huyu mtu asiye kuwa na roho anaweza kuwa baba yako, mama, kaka, dada, mke wako hata watoto wako.

Watu hawa kama wewe sio mchunguzi sana ukiishi nao huwezi kuwajua na kama ikitokea akawa mke wako au mume wako atakusumbua sana. Na kama akiwa ni mzazi wako atakuchukia bila sababu. Na kama wewe ni Binadamu mwenye vitu vitatu utajikuta hupendwi na hata kama wewe ni mzuri kiasi gani hupati mwanamke au mwanaume wa kiwa nae hata utongoze vipi. Na kama ukilazimisha mapenzi utakiona cha mtema kuni.

Sifa yao kubwa ni wasaliti sana. Wanatujua ila wao hatuwajui. Wao wanafahamiana on spoti yani akimuona mwenzake anajua huyu kama mimi ata akitongozwa akatai. Anatoa bure ila wewe atakutesa sana.

Sasa hawa Binadamu ambao hawajakamilika wenye mwili na nafsi tuu tunaishi nao huku mitaani na kila mahali wapo. Namanisha kila mahali anaweza kiwa hata mkuu wa nchi. Sema ni vigumu kuwajua labda kama ulisha fundishwa namna ya kuwatambua. Watu hawa wanatumika kama kiunganishi cha ulimwengu wa damu na nyama na ulimwengu wa kiroho. Hivyo ili majini au wachawi na viumbe wengine waweze kupata hisia za kibinadamu lazima wawaingilie viumbe hawa na kukaa ndani yao.

Pale ambapo kiumbe kutoka ulimwengu wa roho kikimvaa huyu mtu ambaye hajakamilika jina lake kinabadilika ndio anakuwa Devil au Mwovu kwa lugha adhimu ya kiswahili.

Hawa watu ndio tupo nao kwenye vita ya kiroho au spiritual warfare. Wanafanya mashmbulizi yao kupitia addiction za vitu kama pombe, bangi, ngono na madawa mengine ya kulevya. Hawa ni spying agents.

Siwezi kuweka mengi hapa kwani uzi wangu utafutwa kama mingine inavyo futwa. Ushawahi kujiuliza kuhusu yule rafiki yako/zako ambao hata kama huna hela utalewa au kama bangi utavuta au kama ni mwanamke watakununulia?

Ushawahi kusema naacha pombe bangi au umalaya ghafla umelala unaota unagombana na mtu au mtu anakushawishi ndotoni usiache hizo anasa za uraibu na kukupa maneno ya kashfa kwamba wewe huwezi kuacha ulevi au bangi au umalaya?

Ushawahi kusikia kwenye biblia kuwa kipi kitamnufaisha mwanadamu kuupata ulimwengu wote kwa kupoteza nafsi yake. Au ulisha wahi kuskia msanii flani wa ulaya sell his soul au kauza nafsi. Kinachofanywa pale yule mtu anageuzwa kuwa Mlango wa majini kupita kuja duniani.

Siwezi taja njia za kuwagundua ila nitaweka moja tuu kama unaakili utajua ni nani devil karibu yako. Ushawahi kuwa na mtu ambaye mnapanga mipango flani mnakubaliana kabisa alafu baadae anabadilika na kuruka kila kitu. Iwe mlijadili kuhusi fedha au kazi au upo kwenye uhusiano na mtu mwongo anayebadilika kila saa na hana Msimamo. Jibu ni kwamba ni mara chache sana anakuwa ni yeye kwani unaweza kuwa unaongea na X kwa wakati huo na kupanga mipango yenu Badae ukija kumkumbusha anakuwa sio X tena bali ni Y kiumbe kingine.

DUNIA INA TISHA SANA. Ni bora mungu ametufumba macho tusione vilivyo tuzunguka na tunavyo ishi navyo. IGNORANCE IS BLISS
Umepotea kweli kweli kibaya zaidi unapotosha na wengine . Hayo mambo sio simple kihivyo
 
Biblia kwangu sichukulii kama kitabu cha dini bali ni historia za watu wa kale waliopata kuishi hapa duniani ili tuweze kujifunza kwa yale waliyo yaishi.. Kwamfano soma habari za marko.

“For what shall it profit a man, if he shall gain the whole world, but lose his soul?" -Marko 8:36” roho ni mali inaweza kuuzwa na kununuliwa. Unadanganya watu kwanini. Satan lucifer na devil ni viumbe tofauti lakini kwakuwa watu wengi wanaamini ni kiumbe mmoja basi ndo wanazidi kupotea. Kama leo nimefanikiwa kumchambua devil. Nitaelezea na Satan alafu nitamaliza na lucifer katika mada zangu zijazo.

Kuhusu kuuzwa roho jifumze sana. Watu wengu mnaowaona mashuruhi iwe wasanii na wanasiasa wengi hawana roho walisha uza kitambo. Ndo mana ukimfatilia msaanii ukamoenda utashangaa ukilala unamuota.
Ko ukimuota ndiyo kwamba amekutembelea au?!
 
Lusifer hakuwahi kuwa malaika kwakuwa chini ya universal law of nature lucifer asili yake ni negative energy na malaika ni asili yao positive energy malaika hawana uwezo wa kuqsi kwani hawana tamaa. Ni uongo wa dini na mafundisho ya kuaminisha watu lucifer alikuwa malaika. Soma nimeandika mada ya historia ya lucifer kwanza ule ni ukoo. Lucifer ni jamii ya viumbe wengi sio mmoja.
Ko wale %33 waliomuunga mkono ni malaika au ni viumbe kutoka ukoo wake?!
 
Ko wale %33 waliomuunga mkono ni malaika au ni viumbe kutoka ukoo wake?!

Spiritual realm ilikuwa inaongozwa na 24 yahwean ambao 12 ni positive na 12 ni negative ili kuweka usawa ambao hawa yahweh baadhi ya watu wanaona ni mungu au jina la mungu. Walioasi ni katika ukoo wao pamoja na jamii nyingine kama Rizqiyans pamoja na asilimia kubwa ya Cherubeem.
 
True kabisa umenena hata madikteta wote hawana nafsi wao ni kuunganisho cha duniani na kuzimu. Makahaba, vibaka, wauaji hawa wote hawana nafsi thus ufanya matendo maovu, wakiwa kama spraying agents
 
Hakika mkila matunda ya mti huu mtakufa , mti unaozungumza ni mti wa ujuzi wa kuona mambo yasiyoonekana. Yaani mlango wa sita wa fahamu ulifungwa baada ya kula mti wa ujuzi.
Mtu anazamisha chupa ukeni mtu hana mshipa wa aibu mtu anaporomosha matusi sio yeye bali ni devil's ndani yake.
 
Kuyaelewa haya mfano mfalme zumarid anatamka wazi nguvu iliyondani mwake ndio utenda kazi. Nguvu iliyo ndani mwake ni roho ya yezeebul
 
Hakika mkila matunda ya mti huu mtakufa , mti unaozungumza ni mti wa ujuzi wa kuona mambo yasiyoonekana. Yaani mlango wa sita wa fahamu ulifungwa baada ya kula mti wa ujuzi.
Mtu anazamisha chupa ukeni mtu hana mshipa wa aibu mtu anaporomosha matusi sio yeye bali ni devil's ndani yake.
Chupa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom