mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,607
- 4,902
I know dogo Haji tena vizuri sana, kwa kweli Simba ilifanya makosa kumuajiri yeye bcs jamaa ni Yanga damu, pale Simba alikuwa anazuga tu na kucheza na fursa iliyopo. Angalia alivyokuwa anawatukana Yanga mpaka wakawa wanamuogopa na kumnyenyekea wakimuona. Unataka kuniambia umesahau yale matusi aliyokuwa anawatukanaga au nayo pia ni njia ya utani?Mada kama hii ni maalumu kwa watu wenye matatizo. Hii inawasaidia kujua chanzo cha matatizo yao. Acha utani wewe unamjua huyo mtu in person au unafanya mzaha.