Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
bora umemuita....
kasema unazungumza kifasihi etiii
bora umemuita....
kasema unazungumza kifasihi etiii
niko na ma mashida mengi tu baby ake mtonyo unaonipa per day hautoshi kabisaa
ntakuwa mwenye kushukuru sanaNitafute msaidizi?
haliwi mtu hapa mtoto wa mjini mwenyewe Muhi 2 hospital ndo nilikototolewa looh