Hongera!!
Hao makaka wenye maumbo unayotaka wanakuja!
Kwel Popoo
tena aliyetaka kuwa mume kwa kasinde ndo panamfaa mimi alinionea
@7 5mm mke huyuuuu atakifaa
Mbona sikuoni kule kwenye uzi wakubwa la maadui.
Nimeamua kubadili life yangu na hapa mtaa mpya nilikohamia washanipa jina wananiita popo! mweeeh kisa naondoka alfajiri narudi saa kumi usiku.
Is it just me, or does this thread make no sense at all?
Haupo peke yako jirani....
duuh hongera kwa kutembelewa na mijihela. mie hapa hata mchana sijui kama mkono utaenda kinywani. dunia haina usawa kabisa
Atamfaa mnooo