Wananiita popo, Kasinde

Wananiita popo, Kasinde

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Habari zenu mabibi na mabwana,

Yaani hapa nilipo nnausingizi ila niko na redbull pembeni ndani ya dakika kadhaa nitakuwa poa. Hivi kipindi kati niliandamwa sana na mizuka na majanga sasa nikaona isiwe shida.

Nimeamua kubadili life yangu na hapa mtaa mpya nilikohamia washanipa jina wananiita popo! mweeeh kisa naondoka alfajiri narudi saa kumi usiku.

Nyumba niliyohamia ni kampound ambayo ndani inanyumba 10 na kuna mlinzi wa kufungua geti so mie saa kumi naingia getini mataa full light naona majirani wananichungulia tuu kwenye madirisha.

Mie bana siwamind wala nini hakuna anayenilisha wala kunilipia kodi, maana natumia pesa yangu na hivi pesa zimenitembelea aaahh nimeamua kula ujana, wacha waniite popo lakini mie nakula ujana.

Napenda vijana wembamba, warefu wanene hapana, napenda nyanya mshumaa napata urahisi wa kuikata na kadhalika na kadhalika.

Sasa jana bana wakati narudi kutoka kwenye kula ujana nikakutana na kundi la watu wengi wengine hadi wametanda barabarani nikawasha full ili wanipishe waaapiii, ile nalikaribia kundi daaah si wakapotea kidogo nikanyage break halafu huwa nakuwa pekeyangu kwenye gari, sijui kitu gani kama kikanisukuma nikajikuta nimekanyaga mafuta mengii nikaondoka kwa nguvuu huku nyuma nilisikia msonyo huo yaani mrefuu sikupata hata nguvu za kugeuka nyuma kuangalia wala kusimama break ya kwanza ilikuwa getini.

Kila nikiwaza tukio la jana napata hofu ila siwezi kuacha kula ujana nasikia raha, I feel more young and happy.

Hapa hakuna kuzeeka hata iweje na mjini siondoki ng'oo looh!

Good day all and enjoy ur ujana ila kama umeshazeeka pole

Kasinde always.
 
Majanga ciku moja moja ulikuta watu wanafanya ya kwako.. Ila mbwembwe za mamba hazimzuii mwenye meli kupita ziwani..jilie tu bata zako kwa raha zako
 
Habari zenu mabibi na mabwana,

Yaani hapa nilipo nnausingizi ila niko na redbull pembeni ndani ya dakika kadhaa ntakuwa poa. Hivi kipindi kati niliandamwa sana na mizuka na majanga sasa nikaona isiwe shida. Nimeamua kubadili life yangu na hapa mtaa mpya nilikohamia washanipa jina wananiita popo!!!!.... mweeeh kisa naondoka alfajiri narudi saa kumi usiku. Nyumba niliyohamia ni kampound ambayo ndani inanyumba 10 na kuna mlinzi wa kufungua geti so mie saa kumi naingia getini mataa full light naona majirani wananichungulia tuu kwenye madirisha.
Mie bana siwamind wala nini hakuna anayenilisha wala kunilipia kodi, maana natumia pesa yangu na hivi pesa zimenitembelea aaahh nimeamua kula ujana, wacha waniite popo lakini mie nakula ujana. Napenda vijana wembamba, warefu wanene hapana, napenda nyanya mshumaa napata urahisi wa kuikata na kdhalika na kadhalika. Sasa jana bana wakati narudi kutoka kwenye kula ujana nikakutana na kundi la watu wengi wengine hadi wametanda barabarani nikawasha full ili wanipishe waaapiii, ile nalikaribia kundi daaah si wakapotea kidogo nikanyage break halafu huwa nakuwa pekeyangu kwenye gari, sijui kitu gani kama kikanisukuma nikajikuta nimekanyaga mafuta mengii nikaondoka kwa nguvuu huku nyuma nilisikia msonyo huo yaani mrefuu sikupata hata nguvu za kugeuka nyuma kuangalia wala kusimama break ya kwanza ilikuwa getini. Kila nikiwaza tukio la jana napata hofu ila siwezi kuacha kula ujana nasikia raha, I feel more young and happy.
Hapa hakuna kuzeeka hata iweje na mjini siondoki ng'oo looh!!!!


Good day all and enjoy ur ujana ila kama umeshazeeka poleeee!!!!

Kasinde always.

Kwa hizo sentensi mbili without a shadow of doubt ni kwamba uzee ushakupigia hodi na hutaki kukubaliana na matokeo!!But ni vema kujipa moyo sometimes.
Good day too.
 
Hongera!!
Hao makaka wenye maumbo unayotaka wanakuja!
 
ile unashtuka kumbe ilikuwa ndoto
 
Sikunyingine ukiona ivyo then niusiku wamanane wewe gonga tu hao sio watu ni mashetani.Baba yangu alishawai kukutana na mtu barabarani kapiaga honi mtu apishea wapi ilipita speed akamgonga kugeuka nyuma kuangalia hakuona mtu wala damu
 
Haya tumekusikia baada ya hayo yote ukapime UKIMWI na hukumu ya Mungu inakungoja.

"....hakuna jipya chini ya jua......"
 
Atleast this time no crush.................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom