Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,577
- 46,730
Wengine ni wapitaji tu, mahusiano tumewaachia nyie mkuuNi kwel sina pesa , ila nasisitiza tufokasi na pisi kali , mnategea sana bwashee
Wengine ni wapitaji tu, mahusiano tumewaachia nyie mkuuNi kwel sina pesa , ila nasisitiza tufokasi na pisi kali , mnategea sana bwashee
Sisi tusio na pesa mnatuonea mwisho wa siku mnazaa mabinti wanaitwa mwamba wanaanza kuhonga vijana wetu🤣🤣Wengine ni wapitaji tu, mahusiano tumewaachia nyie mkuu
Kuna namna tu unaweza seti ubongo wako viendaneReply yako na post hata haviendani
🤣🤣🤣🤣Kataa ndoa haijalishi ni pisi kali au butu!
Kuna namna tu unaweza seti ubon
Kama ulivyoseti ubongo wako ukaja kutema huu ushuzi hapaKuna namna tu unaweza seti ubongo wako viendane
Et wapare nao wanamashape aiyeeeeYeye amedescribe tabia za pisi kali ambazo zina kera wanaume....
Sasa kama mtoto atakuwa pisi kali ila awe na malezi mazuri namaanisha ashiriki kwenye kazi za nyumbani na kuacha kushinda kutwa kucha kwenye camera na ku dance dance huko ticktock badala yake atumie muda kujipatia maarifa (kusoma) na kuwaza kujitegemea badala ya kuwaza kuwa OMBAOMBA inamaana atakuwa amejitenga na hao pisi kali wanaokimbiwa...
Hata hivyo mashape huridhiwa, hivyo kama kwenu au mkeo na familia yake hawana hizo genes za mashape jua tu kuwa, sio rahisi uzae pisi kali.... Hizo genes zinapatikana kwa wingi machame, Upareni, Uhayani nk
Tulia wewe ni maskini huna hojaKama ul
Kama ulivyoseti ubongo wako ukaja kutema huu ushuzi hapa
Sasa wataolewa na na ni? Bro hatufanani kwa sura, kazi, peas, ukwasi, huyo unayemuona pis Kali, kwa wengine ni wakawaida tu, cha muhimu tafuta wa saizi yakoOya wanangu, sikilizeni hii gospel straight kutoka street za roho zilizochoka. Bro, usioe pisi kali bana! Yaani narudia loud and clear – DON’T WIFE A BADDIE! Hao ni wa ku-pass around tu kama blunt ya ghetto, si wa kuweka ndani kama wife material.
Hii ni warning ya mtaa – pisi kali ni zile demu za kuchoma IG na TikTok, kila saa selfies, filters, na mashavu ya dollar signs. Bro, ukioa huyo utalia damu. Leo mpo honeymoon, kesho mpo divorce court – na bado utaacha assets zako zote kwa hiyo slay queen. She’ll drain your soul, your wallet, and your dreams – no cap!
Wanangu hizi demu ni for vibes tu, not for life. Ni za kukatiana weekend pale Mlimani City au kwa hookah spot, unampeleka The Slipway then unarudi home peke yako. Akiwa mrembo sana, shukuru Mungu... but don’t be stupid bro – never fall in love na packaging. Most of them ni product ya Photoshop na heartbreak za ex wao.
Mtafute dem wa kawaida, anayeweza kupika maharage bila pressure, anayejua mpangilio wa nyumba sio TikTok trends. Ukitaka maisha ya amani, wife the calm not the chaos. Pisi kali ni fire, but fire inakuchoma – unataka moto jikoni siyo bedroom bro!
In short – STAY SHARP, STAY REAL.
Usioe pisi kali. Chepukia tu. Alafu tembea. Peace out!
#UsioePisiKali
#StreetWisdom
#GhettoGospel
#RealTalkFromTheHood
Tulia wewe ni maskini
Sawa tajiri wa JF unaeshinda kutwa kwenye nyuzi za mapenzi, mtoto wa single mother unaeishi kwa dada yako muuza mbususu🤣Tulia wewe ni maskini huna hoja
ChaiSasa wataolewa na na ni? Bro hatufanani kwa sura, kazi, peas, ukwasi, huyo unayemuona pis Kali, kwa wengine ni wakawaida tu, cha muhimu tafuta wa saizi yako
Hahahaha na kwa dada sitoki wewe kiaziSawa tajiri wa JF unaeshinda kutwa kwenye nyuzi za mapenzi, mtoto wa single mother unaeishi kwa dada yako muuza mbususu🤣
Mleta mada hajielewiThis thread is unhinged [emoji849]
Let say mtoto wako wa kike anakuja kua pisi Kali hii imekaaje utapenda achezewe?
This Kenyan boy [emoji51]
For sure!Swali zuri , kuna namna tuna person conflict na pisi kali , kisa tu hatuna pesa ,huo ugonjwa hata mimi ninao , ila kiukweli kila mwanaume anatamani kumiliki chombo sema ndio hivyo tu.
Kabisa na ndivyo ilivyo.For sure!
Sema tu watu wanajifanya sungura sizitaki mbichi hizi.
1. Oa pisi inayoendana na ww kimuonekano.
Namaanisha uzur wa mkeo usizidi sana Kiwango jinsi mwanaume ulivyo.
Kuna wanaume sura ngumu alaf unajitutumua kuoa pisi kali kisa una hela .
Bro hela huisha na kitakachofuata ni kufanyiwa visa ili mtakakiane na mgawane mali.
2. Kama hali yako papatu papatu, na age imesogea na raman hazisomi, OA mwanamke wa kawaida tu.
NB: Ila bana mke anatakiwa awe mzur, inafurahisha sana kuamka asubuh pemben kuna mrembo hata kama hajanawa uso ila unaona uko na pisi.
Sasa unaishije na mtu anaamka asubuh uso umevimba kama fenesi, dah!
Hakuna asiyependa vizuri bwanaKabisa na ndivyo ilivyo.
Wewe kweli dunia huijui!!!! Yaani kweli wewe ni mwanaume unathubutu kufanya conclusion ya namna hii? Eti unasema1. Oa pisi inayoendana na ww kimuonekano.
Namaanisha uzur wa mkeo usizidi sana Kiwango jinsi mwanaume ulivyo.
Kuna wanaume sura ngumu alaf unajitutumua kuoa pisi kali kisa una hela .
Bro hela huisha na kitakachofuata ni kufanyiwa visa ili mtakakiane na mgawane mali.
2. Kama hali yako papatu papatu, na age imesogea na raman hazisomi, OA mwanamke wa kawaida tu.
NB: Ila bana mke anatakiwa awe mzur, inafurahisha sana kuamka asubuh pemben kuna mrembo hata kama hajanawa uso ila unaona uko na pisi.
Sasa unaishije na mtu anaamka asubuh uso umevimba kama fenesi, dah!
😂😂😂😂 unapata mahasira ya kiwaki tu