Wanangu! Usioe PISI KALI – Utakufa Maskini na Moyo Kufeli!

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
519
Reaction score
1,463
Oya wanangu, sikilizeni hii gospel straight kutoka street za roho zilizochoka. Bro, usioe pisi kali bana! Yaani narudia loud and clear – DON’T WIFE A BADDIE! Hao ni wa ku-pass around tu kama blunt ya ghetto, si wa kuweka ndani kama wife material.

Hii ni warning ya mtaa – pisi kali ni zile demu za kuchoma IG na TikTok, kila saa selfies, filters, na mashavu ya dollar signs. Bro, ukioa huyo utalia damu. Leo mpo honeymoon, kesho mpo divorce court – na bado utaacha assets zako zote kwa hiyo slay queen. She’ll drain your soul, your wallet, and your dreams – no cap!

Wanangu hizi demu ni for vibes tu, not for life. Ni za kukatiana weekend pale Mlimani City au kwa hookah spot, unampeleka The Slipway then unarudi home peke yako. Akiwa mrembo sana, shukuru Mungu... but don’t be stupid bro – never fall in love na packaging. Most of them ni product ya Photoshop na heartbreak za ex wao.

Mtafute dem wa kawaida, anayeweza kupika maharage bila pressure, anayejua mpangilio wa nyumba sio TikTok trends. Ukitaka maisha ya amani, wife the calm not the chaos. Pisi kali ni fire, but fire inakuchoma – unataka moto jikoni siyo bedroom bro!

In short – STAY SHARP, STAY REAL.
Usioe pisi kali. Chepukia tu. Alafu tembea. Peace out!

#UsioePisiKali
#StreetWisdom
#GhettoGospel
#RealTalkFromTheHood
 
1. Oa pisi inayoendana na ww kimuonekano.

Namaanisha uzur wa mkeo usizidi sana Kiwango jinsi mwanaume ulivyo.

Kuna wanaume sura ngumu alaf unajitutumua kuoa pisi kali kisa una hela .

Bro hela huisha na kitakachofuata ni kufanyiwa visa ili mtakakiane na mgawane mali.

2. Kama hali yako papatu papatu, na age imesogea na raman hazisomi, OA mwanamke wa kawaida tu.

NB: Ila bana mke anatakiwa awe mzur, inafurahisha sana kuamka asubuh pemben kuna mrembo hata kama hajanawa uso ila unaona uko na pisi.
Sasa unaishije na mtu anaamka asubuh uso umevimba kama fenesi, dah!
😂😂😂😂 unapata mahasira ya kiwaki tu
 
Oya wanangu, sikilizeni hii gospel straight kutoka street za roho zilizochoka. Bro, usioe pisi kali bana! Yaani narudia loud and clear – DON’T WIFE A BADDIE! Hao ni wa ku-pass around tu kama blunt ya ghetto, si wa kuweka ndani kama wife material.

Hii ni warning ya mtaa – pisi kali ni zile demu za kuchoma IG na TikTok, kila saa selfies, filters, na mashavu ya dollar signs. Bro, ukioa huyo utalia damu. Leo mpo honeymoon, kesho mpo divorce court – na bado utaacha assets zako zote kwa hiyo slay queen. She’ll drain your soul, your wallet, and your dreams – no cap!

Wanangu hizi demu ni for vibes tu, not for life. Ni za kukatiana weekend pale Mlimani City au kwa hookah spot, unampeleka The Slipway then unarudi home peke yako. Akiwa mrembo sana, shukuru Mungu... but don’t be stupid bro – never fall in love na packaging. Most of them ni product ya Photoshop na heartbreak za ex wao.

Mtafute dem wa kawaida, anayeweza kupika maharage bila pressure, anayejua mpangilio wa nyumba sio TikTok trends. Ukitaka maisha ya amani, wife the calm not the chaos. Pisi kali ni fire, but fire inakuchoma – unataka moto jikoni siyo bedroom bro!

In short – STAY SHARP, STAY REAL.
Usioe pisi kali. Chepukia tu. Alafu tembea. Peace out!

#UsioePisiKali
#StreetWisdom
#GhettoGospel
#RealTalkFromTheHood
Salute sana
 
Swali zuri , kuna namna tuna person conflict na pisi kali , kisa tu hatuna pesa ,huo ugonjwa hata mimi ninao , ila kiukweli kila mwanaume anatamani kumiliki chombo sema ndio hivyo tu.
Kuna watu wengine akiwa na maisha yakawaida anaoa wakufanana naye ktk hali ya wakati huo, lakini siku akifanikiwa maisha mazuri anatisha yule eti sio type yangu😂, najiulizaga kwanini usimtengeneze huyo ili aonekane pisi kali?
Mnatuchanganya Sana jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom