Ukweli mchungu, Wanandoa wengi wameachana ila wanaishi nyumba moja

Last Night

Member
Jun 19, 2021
20
65
Kwa macho ya kawaida utaona mke na mme wana furaha nje wanavyotembea na utasema hii ndio ndoa ya kuigwa ila usilolijua sawa na usiku wa giza.

Wanandoa wengi wameachana ila wanaishi nyumba moja humo ndani wamegawana vyumba ila wanaogopa kutalikiana kwa sababu ya mali watagawanaje.
Wanawake wanavumilia kwa sababu wanaona wataweza vipi kuanza maisha mapya.

Wanaume wanaogopa talaka kwa sababu mali zitagawanywa .

Ni ukweli usiopingika kuwa ndoa nyingi ni nzuri kwa nje ila ndani ni moto unaowaka .

Waliopo kwenye ndoa lazima wabishe ila ukweli ndio huo.
 
Love is not a feeling, love is a commitment ukilijua hilo umeipatia ndoa na mahusiano
 
Wasichana wamekuwa majeuri
Mitandao imeharibu maadaili ,wakiangalia motivation za ndo ka clip cha sec 30 wanajiona Tyson - huu wimbo " sijaali nasema sijaaali eti kupretend tabia naipenda tabia yangu " washakula Red card wengi na vipondo ktupitia hiyo nyimbo ya kipuuzi.
Ila nipo mbioni 🤣 kukamilisha marathon
 
Wasichana wamekuwa majeuri
Mitandao imeharibu maadaili ,wakiangalia motivation za ndo ka clip cha sec 30 wanajiona Tyson - huu wimbo " sijaali nasema sijaaali eti kupretend tabia naipenda tabia yangu " washakula Red card kupitia hiyo nyimbo ya kipuuzi.
Ila nipo mbioni 🤣 kukamilisha marathon
😂😂
 
Wasichana wamekuwa majeuri
Mitandao imeharibu maadaili ,wakiangalia motivation za ndo ka clip cha sec 30 wanajiona Tyson - huu wimbo " sijaali nasema sijaaali eti kupretend tabia naipenda tabia yangu " washakula Red card wengi na vipondo ktupitia hiyo nyimbo ya kipuuzi.
Ila nipo mbioni 🤣 kukamilisha marathon
Shida ni kuwa wanaume wanajiona wao ni perfect. Na nyinyi mukijichunguza mutajiona muna makosa kibao ambayo munatakiwa muyafanyie kazi ili kuifanya ndoa kuwa ya amani.
 
Hii taarifa Haina ukweli wowote ipuuzeni mpaka hapo msemaji wa wanandoa atakapotolea ufafanuzi.
 
I
Kuishi na mwanamke ndani ni ngumu sana,

Na kama umempendea makalio au rangi hapo ndo kabisaa.

Binafsi niko mbioni kuoa lakini ni ngumu kumeza.
ila kuishi na mwanaume ndo sio kazi? Because nyinyi ni perfect? Na hii mentality unadhani utakaa kwenye ndoa yenye amani??! Kwanini ujione wewe msafi mwenzio ndo mzigo?
 
Sijui hizi zinazoitwa tafiti huwa waleta uzi wanazipatia wapi.Nashindwa kuelewa.Hivi ni akili kweli kuishi na mwanamke/mwanamume usompenda halafu uendelee kuigiza kwamba unampenda?.Huu ni udhaifu wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom