Wanandoa wengi hawasemi kiini cha migogoro

Wanandoa wengi hawasemi kiini cha migogoro

Nilimsiki mdau mmoja wa masuala ya mila na tamaduni akisema,
NDANI YA MWEZI MMOJA KUNA SIKU 12 ZA KILA MWENYE MAHUSIANO KUMUONA MWENZAKE NI KERO JAPO SIKU HIZO HAZIFUATANI.

Sasa kwa vile hatujui basi tunapokua katika siku hizo huwa ikitokea ugomvi ni rahisi kuachana na siku izo zikipita tunaanza ku miss iana tena.

Zamani mkigombana kabla ya kusuluhishwa mnaambiw jisikilizieni kama mwezi hivi hali ikiwa hivihivi tutak tujuetatizo, na watu walikua hawarudi maana wanapatana wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo siku 12 wangeziweka wazi maana ingerahisisha watu kuweka tu distance ili ugomvi upite mbali.
Lakini nimepata kitu btw.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunuka mdomo na papuchi inaweza kuwa tatizo pia.
 
Back
Top Bottom