Wanandoa wengi hawasemi kiini cha migogoro

Wanandoa wengi hawasemi kiini cha migogoro

Ndoa zinamambo ni kwavile tu kuolewa/kuoa kunaleta heshima flani kwa muhusika....unless otherwise haolewi mtu hapaa nikudonoa mwanzo mwishoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah !!!!!!!!!!!dunia imesisha mkuu...siku hizi mambo ya giza na kuombana tigo imekuwa too much...siyo kwa wanawake wala wanaume ......kweli dunia inaenda kasi mnooooooooooooooo
Aah...ostaz alikuja jicho limemuiva amemaindi balaa. Watu wamekubuhu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimsiki mdau mmoja wa masuala ya mila na tamaduni akisema,
NDANI YA MWEZI MMOJA KUNA SIKU 12 ZA KILA MWENYE MAHUSIANO KUMUONA MWENZAKE NI KERO JAPO SIKU HIZO HAZIFUATANI.

Sasa kwa vile hatujui basi tunapokua katika siku hizo huwa ikitokea ugomvi ni rahisi kuachana na siku izo zikipita tunaanza ku miss iana tena.

Zamani mkigombana kabla ya kusuluhishwa mnaambiw jisikilizieni kama mwezi hivi hali ikiwa hivihivi tutak tujuetatizo, na watu walikua hawarudi maana wanapatana wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom