BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,777
- 6,269
Kwa uno Hilo jamaa lazima apagaweHuyu dada da? Nipo huku kirumba story yake ni mbaya sana huyu dada alikuwa kaolewa na mume wake mwingine wakaachana akaolewa na huyu kaka anafanya kazi geita mgodini huyu kaka alimpenda sana huyu bint amemjengea bonge la nyumba Ana nyumba 3 na gari mbili kanunuliwa na huyu bwana lakin kumbe bint hampendi huyu kaka wa geita alikuja kwa ajili ya pesa tu lakin anampenda mume aliyemuacha nasikia alikuwa anafanya visa ili waachane lakin mume anagoma so ni kawaida yake kukatazwa kwenda sehemu lakin anaenda tu ili mwanaume amuache sasa jmosi mwanaume yupo mgodin akamwambia anaenda mpirani mwanaume akamwambia hakuna kwenda mdada akaenda tu mwanaume akapanda ndege akaja mwanza akaenda home mdada akaenda mpirani alivyotoka akaunga kwa diamond akiwa na mume wake wa zamani akarudi nyumbani saa 11 alfajiri nyumbani anagonga mlango akafunguliwa na kupigwa risasi 7 na mme wake na kufa huyu bint ni mwana yanga na ni mnyiramba zamani alikuwa muhudumu pale villa. Dada Ana story zake ni ngumu sana. C&P tutasikia mengiView attachment 2245705
Namcheki tu,nikikaribia kustaafu MUNGU akinijaalia uhai natafuta sababu namtimua,kwanza Waha wachawi sana,mama mamaeeee zao[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2]Mambo hata magumu sana,nilioa mke wa kwanza akafariki,wa pili tukazinguana tukaachana,alinunua plot yake akiwa kwangu,nikanunua yangu ngoma ikawa draw,alinikuta na nyumba,tukaja zinguana na kuachana anadai tuuze nyumba tugawane Kuna jasho lake wakati kiwanja chale sijamuuliza chochote,nikamwambia nenda mahakamani,nikakumalize huko huko,mpaka Leo kimya anadai namtishia uchawi.
Mkwara tu mpaka Leo kimyaaa,nimeona mwingine Muha,naw simsomi ingawa nimepata name watoto wawili.
One day,watoto wamegombana,akatoa sentensi hiyo mpaka Leo namcheki tu,namnukuu,kwani katika Dunia ya Leo,maisha baba Hana thamani hata kidogo.
Namcheki tu,nikikaribia kustaafu MUNGU akinijaalia uhai natafuta sababu namtimua,kwanza Waha wachawi sana,mama mamaeeee zao
Hii story ukiisoma ni ya upande mmoja kwa baba hatujui upande wa mama ukoje , lakini Kiukweli wababa wengi wanazingua sana ,mm nimeshawahi kuona baadhi ya wababa tena wengi tu wakipata mafao ,mirathi au kihela chochote anaenda kula bata bar na vibinti vidogo na marafiki wake,hajali familia akiishiwa ndio anarudi nyumbani ,NANI ANAFAIDIKA NA NDOA?
Ana umri wa miaka 68. Mstaafu aliyestaafu. Alifanya kazi maisha yake yote kulea watoto wake. Alijinyima raha ya maisha kulipa karo ghali ya shule na gharama za maisha kwa watoto wake nje ya nchi. Sasa wako vizuri huko Uropa na Amerika. Mkewe, 60, amehama ili kuishi na watoto wake.
Yuko peke yake nchini Kenya. Watoto wake hawakumuita kwa shida. Sasa inabidi aanze maisha tena kama bachelor. Anapambana na shinikizo la damu na magonjwa mengine ya uzee. Je, angeishi peke yake hadi lini? Huu ndio ukweli kwa wanaume wengi wa tabaka la wafanyakazi wenye mke mmoja. Uzee wao kwa kawaida ni wapweke na katika hali nyingi, huzuni. Jaribu kadri unavyoweza, wanawake wanapenda watoto wao zaidi kuliko waume zao, haijalishi mwanaume ni mzuri kiasi gani. Kadiri anavyozidi kuwa mkubwa, ndivyo matumizi yanavyopungua kwake. Niambie basi, wanaume wanafaidika nini na ndoa? Wanajitolea sana lakini wanapata kutambuliwa kidogo kwa kazi ngumu. Mwanamke huvuna faida zote kwani watoto mara nyingi huwa karibu na kumpenda zaidi anapozeeka
View attachment 2681887
Sent using Jamii Forums mobile app
Naendelea kukupa muda[emoji56]...labda ndoa yako...
Imeandikwa; “ Enyi binti Sayuni msiyachokoze mapenzi hadi yatakapoona yenyewe kufaa”[emoji23]Imeandikwa; “ Enyi binti Sayuni msiyachokoze mapenzi hadi yatakapoona yenyewe kufaa”
Msijione wajanja ku-force ndoa mtakuja kulipa gharama [emoji108]
OyeeeKATAA NDOA OYEEE.
[emoji1672][emoji1672][emoji1672][emoji1672][emoji1672][emoji817][emoji817][emoji817]
Mambo hata magumu sana,nilioa mke wa kwanza akafariki,wa pili tukazinguana tukaachana,alinunua plot yake akiwa kwangu,nikanunua yangu ngoma ikawa draw,alinikuta na nyumba,tukaja zinguana na kuachana anadai tuuze nyumba tugawane Kuna jasho lake wakati kiwanja chale sijamuuliza chochote,nikamwambia nenda mahakamani,nikakumalize huko huko,mpaka Leo kimya anadai namtishia uchawi.
Mkwara tu mpaka Leo kimyaaa,nimeona mwingine Muha,naw simsomi ingawa nimepata name watoto wawili.
One day,watoto wamegombana,akatoa sentensi hiyo mpaka Leo namcheki tu,namnukuu,kwani katika Dunia ya Leo,maisha baba Hana thamani hata kidogo.
Namcheki tu,nikikaribia kustaafu MUNGU akinijaalia uhai natafuta sababu namtimua,kwanza Waha wachawi sana,mama mamaeeee zao
Watani zangu hao..[emoji1544][emoji1550][emoji1550]Kuna kabila fulani kama mwanaume una mali, ujiandae kufutika katika uso wa dunia. Mwanamke anafurahia mali na watoto wake akiwa huru.