Wanandoa: Wanawake mnafanyaje kumzoea mwanaume aliye serious?

Wanandoa: Wanawake mnafanyaje kumzoea mwanaume aliye serious?

kuanzia u gf,uchumba mpaka miaka mitatu ya ndoa hujui umfanyie nini mume wako?!! subiri wanandoa waje!

Waliwezaje kuoana kama hawakuwa wamezoeana.....?....hainiingii akilini hii......
 
Je wewe ni mzuri? Usijekuwa reception ni mbovu alafu unataka mzoeaane

Weka picha yako kwanza
 
Yani sisi tulikua na baba mkali mno!! Mkali hadi usoni, tulivyokua tukawa tunajiuliza walituzaaje? Muda wote mkali tu hadi mama mwenyewe anamuogopa sana.
Na tumezaliwa mabinti wengi kwetu,basi tukajifunza HUWEZI KUWA NA NDOA NZURI KWA KUA NA MUME AMBAYE SI RAFIKI.

Utatamani ujane haraka.
Sijui wenye hao waume wa hivyo inakuaje!!!!
Siwapi pole maana waliyataka.

ha ha eti waliyataka
 
Unakuta baba akiingia sebuleni kila mtoto na njia yake, familia nyingine ni balaa tupu!!
 
Pole sana, inaonekana unatamani ndoa yako iwe design fulani na furaha lakini mambo sio.

Jaribu kuanza kutoka nae na ukiwa huko mwambie leo tunacheza kidalipo, au rede au kibaba na kimamama. Mind yake itaanza kufunguka na kuanza kuona bashasha.

Ukirudi home nunua hata karata, cheza nae mkiwa na watoto au mdada wa kazi. Mtajenga mahusiano mazuri sana kati yako na kila mtu aliyekwenye familia yako. Pia itawasaidia watoto kumzoea baba na yeye kuwa karibu nao zaidi.

Mh!?????...kibaba kidalipoo rede?????...
 
3 yrs,hujamzoea ukianza atajua kuna jambo ambalo si zuri unataka kulitenda.
 
Mmmh yaan ila inahitaji moyo imagine mtu katoka job sura ya mbuzi...unamwambia pole na kazi mume wangu...atajibu asante mmeshindaje...nimechika sana fanya hich na hichi anakupa maagizo anaingia zake kuoga anaanza kusoma emails na n.k utaanzaje kuntania na ushaambiwa nimechoka sana afu nipo busy sana na kazi...

Saa ingine unamwambia ukweli unavyojiskia juu yake, unavyota awe ukiwa nae sio et uanze kumtania sijui kujichekelesha mbele yake....unaweza fanya yote na asikuelewe unataka nn apo mwambie ukweli kwa lugha laini...
 
Mpikie chakula cha kisasa (siyo common food) !! ataregeza mikunjo yake..!! Wanaume wengi ni mtumbo yao firts!!

Yes....Yes!! Hata wenzetu wanasema: "The best way to a man's heart is through his stomach" Surely, hii ndio sababu mojawapo ya baadhi ya waume kuchepuka.
 
Yes....Yes!! Hata wenzetu wanasema: "The best way to a man's heart is through his stomach" Surely, hii ndio sababu mojawapo ya baadhi ya waume kuchepuka.
mtoto mpole
Umeona hiyo ?!!
Chakula chakula chakula (siyo lazima cha kidhungu au kihindi) Muhimu timming na place yakumlisha !!
 
Last edited by a moderator:
Yani sisi tulikua na baba mkali mno!! Mkali hadi usoni, tulivyokua tukawa tunajiuliza walituzaaje? Muda wote mkali tu hadi mama mwenyewe anamuogopa sana.
Na tumezaliwa mabinti wengi kwetu,basi tukajifunza HUWEZI KUWA NA NDOA NZURI KWA KUA NA MUME AMBAYE SI RAFIKI.

Utatamani ujane haraka.
Sijui wenye hao waume wa hivyo inakuaje!!!!
Siwapi pole maana waliyataka.

Sio kuyataka mwaya....wanaume wanabadilikaga sana hasa baada ya kuoa...
 
Sio kuyataka mwaya....wanaume wanabadilikaga sana hasa baada ya kuoa...

Yani mwanzo walikua marafiki halafu ghafla kabadilika kawa bandidu?
Wengi kutaka ndoa ilimradi ndoa ndio maana yanawakuta. Unaishi na mume kama bwana jela?
 
Tafuta MZARAMO ndo wanaowaza NGONO 24/7!Tarime hatuna muda huo.Mwanaume unachekacheka maisha haya yamekufurahisha nini?
 
Inawezekana kufanya naye kazi ofisi moja nayo inachangia kiasi fulani, kuhusu michepuko wala usijisumbue kujihalalishia kwamba hana, sisi wanaume bwana tuone hivi hivi kwa michepuko hadi vidali po na kombolela vinachezwa ila nyumbani sasa mtu ndo anajidai amiri jeshi mkuu, full uso wa mbuzi:disapointed:.

😀😀😀 amiri jeshi mkuu...
 
mtekenye,mrushie mito chumbani,mkumbatie.muda mrefu,zidisha kudeka,mwambie akubebe,lishaneni msosi,ogeni wote,mfute maji akitoka kuoga,nk
 
Mimi Niko serious sana siku nne kwa wiki ili asinizoee sana na the rest namtania sana mpaka sms za kutukanana ila nabadilika ghafla ninapotaka kuonyesha mimi ni mwanaume!!!! Natania jamani
 
Kwanza tibu hilo tatizo la kupenda simu.....kazi ya kumuingiza kwenye utani itakuwa rahisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom