Wanandoa: Wanawake mnafanyaje kumzoea mwanaume aliye serious?

Wanandoa: Wanawake mnafanyaje kumzoea mwanaume aliye serious?

Ijapokuwa mjadala umeuzuia kwa ajili ya Wanawake pekee lakini nimeona kuna mambo muhimu ya kujifunza kutoka kwingineko.

Kama mumeo alikuwa 'serious' toka wakati wa uchumba, basi kumbadili awe 'romantic' ni ndoto(Hapa baadhi ya Wadada wanakosea wanapohisi kuwa wakishaolewa wanaweza kumbadili tabia mwanaume).

Kama alibadilika baada ya ndoa basi ujuwe mojawapo kati ya haya yametokea.
  • Baada ya kukuoa amegundua wewe si wa hadhi yake lakini hana jinsi.
  • Unambana sana ('control freak') hivyo kumwondolea uhuru.
  • Unamnyima pumzi ('choking') kwa kufanya naye kazi sehemu moja, hivyo badili kazi- msiwe ofisi moja.
  • Ameshaona mwanamke mwingine sehemu ambaye anahisi atampa furaha ('brighten his world') kwa hiyo anapiga jaramba kukutafutia sababu(kwa kujifanya 'serious' na 'busy').

Kitu cha kushangaza ni kuwa mwanamume hata awe 'serious' kiasi gani lakini kuna mwanamke 'somewhere' ambaye wakikutana 'u-serious' utaisha na hata 'kidali po' na 'ready' watacheza..
Na ukitaka kuhakikisha hili,chunguza wanawake wa 'taste' zake na umkaribishe nyumbani kwako akae kama wiki usipoona amekuwa 'romantic' ghafla..
Kwa hiyo ili uweze kumbadili inabidi kubadili jinsi unavyoyaona mambo..
 
Utani wa kijingajinga ndio huwa sitaki kabisa. Mtu uko busy unawaza jinsi ya kunyoosha maisha ya familia mwingine anakuletea mambo ya futuhi.
 
Unakuta baba akiingia sebuleni kila mtoto na njia yake, familia nyingine ni balaa tupu!!
Ndio hao wababa wanaojiita serious. Ndoa kama adhabu!
Mi kuna rafiki yangu tangu hajaolewa alikua anamuogopa huyu mwanaume vibaya mno, nikashangaa kakubali kuolewa nae.
Janaume likali kama moto, hawana urafiki kabisa. Analalamika tunamuuliza kwani ulikua na haraka gani?
Naowahurumia ni wale watoto tu maana wao ni wahanga.
 
Akirudi kazini akukute uchi plan A,plan B mpe mtindo hajawahi kupewa lol
 
mtekenye,mrushie mito chumbani,mkumbatie.muda mrefu,zidisha kudeka,mwambie akubebe,lishaneni msosi,ogeni wote,mfute maji akitoka kuoga,nk

He he ehe kuna siku nilikua namlisha akajibu hataki mapenzi ya tamthilia....so ikawa mwisho
 
miaka 3 ya ndoa??? hapa unakuwa umechelewa inabidi mtu umzoeze huo
utundu/vichekesho etc mkiwa wachumba
kwa sasa atakushangaa mpaka atahisi kuna jambo.
anyway jaribu kuondoa aibu fanya kila unachozan ni kizur

mara aingiapo ndan mabusu ya kutosha,
akikaa sebren kama hakuna watu mkalie yaan akupakate,
unaweza anza kumvua koti etc mbembeleze aende kuoga,
mwandae akiingia kuoga nenda kamwandalie vitu vinavyomkumbusha kijijin
unaweza mchoma viazi vitam etc siku iyo unawasha jiko la mkaa unaandaa
bado akiwa job,

hakikisha unatenga mezan kabla hajatoka bafuni,
wahi chukua towel msubiri mlangoni ahaaaaaaaa jiongeze,
unaweza badili sauti kwa mda,
msaidie kumvalisha kama hamta.... then hakikisha maneno yako kila wakati

ni,
pole na kazi baba, how waz work? bla bla kibao, hata kama limeimba kama
tumbua.
basi mwombe aende mezan then si mbaya mkilishana
endelea kujichekesha kama umekula samuli mbichi, si mbaya ahaaaaaaaa
nakuona,

jaman zaman nilipendaga ahaaaaa enzi izo bibi ananifundisha
kuchoma viazi na nyama jaman, nilipokuwa mkubwa, naanda, nafunga kwenye bahasha vinapelekwa na mtu ofisin,ahaaaaaaaaaa
dah siku hiz nilivo gume gume! Ahaaaaaaaaaa
mdude gan nimfanyie! ahaaaaaa zilipendwa jaribu haya tuone.
Aaahhh tabu zote hizo za nini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom