Wanandoa: Wanawake mnafanyaje kumzoea mwanaume aliye serious?

Wanandoa: Wanawake mnafanyaje kumzoea mwanaume aliye serious?

Plan B, yeye awe kauzu zaidi yake, akijua mida ya kurudi imefika ajinunishe na kujiliza, akimuuliza kwanini unalia amwambie amechoka sana na yupo bize, afanye hilo zoezi siku 3 aone kama hajajichekesha.

Heee!! mwenzangu huyo mume au baba mzazi? hata baba zetu tunacheka nao hadi nyongo inatoka. mmmhh!!!!!!! hicho ni kiburi sasa naona.

Kabisa ni kiburi afu na ule ubaba yaan kwamba mm ndo baba mwenye nyumbaaaa hahahaha
 
Natumai hii ishu ni yako mwenyewe.Anza pale ambapo ladba mnakunywa kilevi, zuga umelewa na anza kumfanyia vituko.NOTE: Ukiwa na mume ambaye hujawahi mjambia mbele yake hata siku moja, basi hiyo sio couple, bali ni mapritenda tu.

Hahahaha kweli kabisa naanzaje kujamba kwa mfano yaan ntaona aibu milele hahahaha.....bahati mbaya kilevi situmii chochoootee...
 
Pole sana, inaonekana unatamani ndoa yako iwe design fulani na furaha lakini mambo sio.

Jaribu kuanza kutoka nae na ukiwa huko mwambie leo tunacheza kidalipo, au rede au kibaba na kimamama. Mind yake itaanza kufunguka na kuanza kuona bashasha.

Ukirudi home nunua hata karata, cheza nae mkiwa na watoto au mdada wa kazi. Mtajenga mahusiano mazuri sana kati yako na kila mtu aliyekwenye familia yako. Pia itawasaidia watoto kumzoea baba na yeye kuwa karibu nao zaidi.

Kwa karne tuliyonayo ya science & tech, kuna wanaume wako more than serious wanakosa hata muda wa kula chakula, iwe muda wa kucheza karata!? Cha kufanya hapo dadaangu, mshauri anunue japo laptop ili hayo ayafanyayo pekeake kwenye simu muyafanye kwa pamoja kwenye computer!
 
Kwa karne tuliyonayo ya science & tech, kuna wanaume wako more than serious wanakosa hata muda wa kula chakula, iwe muda wa kucheza karata!? Cha kufanya hapo dadaangu, mshauri anunue japo laptop ili hayo ayafanyayo pekeake kwenye simu muyafanye kwa pamoja kwenye computer! Jaribu kupenda anachopendelea!
 
kuanzia u gf,uchumba mpaka miaka mitatu ya ndoa hujui umfanyie nini mume wako?!! subiri wanandoa waje!

alidhani labda angekuja kubadilika wakioana

wanaume qengine ukimuangalia tu anakunja sura nitabu sana kuwa na mtu wa namna hiyo
 
miaka 3 ya ndoa??? hapa unakuwa umechelewa inabidi mtu umzoeze huo
utundu/vichekesho etc mkiwa wachumba
kwa sasa atakushangaa mpaka atahisi kuna jambo.
anyway jaribu kuondoa aibu fanya kila unachozan ni kizur

mara aingiapo ndan mabusu ya kutosha,
akikaa sebren kama hakuna watu mkalie yaan akupakate,
unaweza anza kumvua koti etc mbembeleze aende kuoga,
mwandae akiingia kuoga nenda kamwandalie vitu vinavyomkumbusha kijijin
unaweza mchoma viazi vitam etc siku iyo unawasha jiko la mkaa unaandaa
bado akiwa job,

hakikisha unatenga mezan kabla hajatoka bafuni,
wahi chukua towel msubiri mlangoni ahaaaaaaaa jiongeze,
unaweza badili sauti kwa mda,
msaidie kumvalisha kama hamta.... then hakikisha maneno yako kila wakati

ni,
pole na kazi baba, how waz work? bla bla kibao, hata kama limeimba kama
tumbua.
basi mwombe aende mezan then si mbaya mkilishana
endelea kujichekesha kama umekula samuli mbichi, si mbaya ahaaaaaaaa
nakuona,

jaman zaman nilipendaga ahaaaaa enzi izo bibi ananifundisha
kuchoma viazi na nyama jaman, nilipokuwa mkubwa, naanda, nafunga kwenye bahasha vinapelekwa na mtu ofisin,ahaaaaaaaaaa
dah siku hiz nilivo gume gume! Ahaaaaaaaaaa
mdude gan nimfanyie! ahaaaaaa zilipendwa jaribu haya tuone.

shost uko vyema ngoja niiibe utundu
 
Kwa karne tuliyonayo ya science & tech, kuna wanaume wako more than serious wanakosa hata muda wa kula chakula, iwe muda wa kucheza karata!? Cha kufanya hapo dadaangu, mshauri anunue japo laptop ili hayo ayafanyayo pekeake kwenye simu muyafanye kwa pamoja kwenye computer!

Mengi anayafanyia kwenye laptop na ni ya kazi naona kabisa na hata ukiwa umekaa nae anafanya mambo yake atakutoa tu kisilensa mfano atakuambia kaangalie watoto dada sio wakumuamini sana hivooo
 
Kwa hiyo hata ofisini huwa uko nae? ofisini kwake umemwekea cctv?

Hana ningejua sana na we are working ofisi 1...so najua vingi ila mchepuko hana...duh na kama anao basi dunia imeishaaaa maaana 24hrs 7days kama tupo wote tu...maana mmmh mchepuko nakataa
 
Kabisa ni kiburi afu na ule ubaba yaan kwamba mm ndo baba mwenye nyumbaaaa hahahaha

Vumilia tu my haina jinsi, ila mimi angekuwa analala kwenye shuka lililolowa machozi hadi angeomba poo, kama unajua sio malaya na hana matatizo mengine, tumia chozi lako kama silaha ili ajue wewe ni rafiki yake sio mama ake.
 
kumbe ndo maaana eeeh

HUWAJUI WANAUME VIZURI

asilimia 99.9?????? labda kwenye tamthilia

Hahahaha jaman wanaume waaminifu wapo esp wale wenye hofu na Mungu...huyu mseminari wangu aisee duuuh hana ila kama anaye basi aisee hiki kizazi choooote kimeshaozaaaaa...kwa jinsi nimjuavyo...
 
miaka 3 ya ndoa??? hapa unakuwa umechelewa inabidi mtu umzoeze huo
utundu/vichekesho etc mkiwa wachumba
kwa sasa atakushangaa mpaka atahisi kuna jambo.
anyway jaribu kuondoa aibu fanya kila unachozan ni kizur

mara aingiapo ndan mabusu ya kutosha,
akikaa sebren kama hakuna watu mkalie yaan akupakate,
unaweza anza kumvua koti etc mbembeleze aende kuoga,
mwandae akiingia kuoga nenda kamwandalie vitu vinavyomkumbusha kijijin
unaweza mchoma viazi vitam etc siku iyo unawasha jiko la mkaa unaandaa
bado akiwa job,

hakikisha unatenga mezan kabla hajatoka bafuni,
wahi chukua towel msubiri mlangoni ahaaaaaaaa jiongeze,
unaweza badili sauti kwa mda,
msaidie kumvalisha kama hamta.... then hakikisha maneno yako kila wakati

ni,
pole na kazi baba, how waz work? bla bla kibao, hata kama limeimba kama
tumbua.
basi mwombe aende mezan then si mbaya mkilishana
endelea kujichekesha kama umekula samuli mbichi, si mbaya ahaaaaaaaa
nakuona,

jaman zaman nilipendaga ahaaaaa enzi izo bibi ananifundisha
kuchoma viazi na nyama jaman, nilipokuwa mkubwa, naanda, nafunga kwenye bahasha vinapelekwa na mtu ofisin,ahaaaaaaaaaa
dah siku hiz nilivo gume gume! Ahaaaaaaaaaa
mdude gan nimfanyie! ahaaaaaa zilipendwa jaribu haya tuone.
Eeeeeeeh kwa kizazi kipi?
Hiki cha smart phones, mitandao ya jamii?
Kama wa hivyo yupo nioneshe mimi nimuoe , natafuta mke wa hivyo mkuu.
 
Hana ningejua sana na we are working ofisi 1...so najua vingi ila mchepuko hana...duh na kama anao basi dunia imeishaaaa maaana 24hrs 7days kama tupo wote tu...maana mmmh mchepuko nakataa

Inawezekana kufanya naye kazi ofisi moja nayo inachangia kiasi fulani, kuhusu michepuko wala usijisumbue kujihalalishia kwamba hana, sisi wanaume bwana tuone hivi hivi kwa michepuko hadi vidali po na kombolela vinachezwa ila nyumbani sasa mtu ndo anajidai amiri jeshi mkuu, full uso wa mbuzi:disapointed:.
 
duu! u-serious had kwenye mapenzi? mlitongozanaje kwanza???? au mlikutanishwa tu kanisan/msikitin siku ya harus?
 
kwanini ulikubali kuolewa nae?
unatusumbua,ulilikoroga tangu enzi za uchumba,huyo samaki ashakauka,
 
Hahaha chakula cha kisasa kama kipi? Maana utakuta ukipika hich anakuambia dona na mnafu....ndiz nyama...samaki...ukipika mikorogo ya kizungu haliiii.....
Usijali ntakutumia ladha na delisiesso wapendazo maRijali !! with a conseling za Romansia!! alafu uApply!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom