Wanandoa: Wanawake mnafanyaje kumzoea mwanaume aliye serious?

Wanandoa: Wanawake mnafanyaje kumzoea mwanaume aliye serious?

mpotezee kabisaaa ataanza kuja mwenyewe ni ngum ila piga moyo konde.pia kama utashindwa mpe fact anzisha mada za kijinga ata akinyamaza endelea kuongea imani itamjia tu
 
Yani sisi tulikua na baba mkali mno!! Mkali hadi usoni, tulivyokua tukawa tunajiuliza walituzaaje? Muda wote mkali tu hadi mama mwenyewe anamuogopa sana.
Na tumezaliwa mabinti wengi kwetu,basi tukajifunza HUWEZI KUWA NA NDOA NZURI KWA KUA NA MUME AMBAYE SI RAFIKI.

Utatamani ujane haraka.
Sijui wenye hao waume wa hivyo inakuaje!!!!
Siwapi pole maana waliyataka.
 
shost
uko vyema ngoja niiibe utundu

ahaaaa wewe chezea mchepuko rami ntakao ukamata atakoma. maana atakuwa
ananikuta getin nimepiga magoti hapo ndan nishaandaa filigisi ahaaaaaaa
 
Eeeeeeeh kwa kizazi kipi?
Hiki cha smart phones, mitandao ya jamii?
Kama wa hivyo yupo nioneshe mimi nimuoe , natafuta mke wa hivyo mkuu.

mke mwenyewe ndo mm ila una hera? usitake huduma nikafubaa uchokoleti wangu ukafifia ahaaaaaaa
 
Yani sisi tulikua na baba mkali mno!! Mkali hadi usoni, tulivyokua tukawa tunajiuliza walituzaaje? Muda wote mkali tu hadi mama mwenyewe anamuogopa sana.
Na tumezaliwa mabinti wengi kwetu,basi tukajifunza HUWEZI KUWA NA NDOA NZURI KWA KUA NA MUME AMBAYE SI RAFIKI.

Utatamani ujane haraka.
Sijui wenye hao waume wa hivyo inakuaje!!!!
Siwapi pole maana waliyataka.

Hata hujapishana na mie sana lakini mama alikua anachangamsha nyumba alifanya ukali upungue,,mwanamke ajitahdi kujitoa ufahamu ukiwa na mume kama huyo ili nyumba ichangamke
 
mm kumbe nikija kuoa mke anaweza kunikimbia
 
Mmmh yaan ila inahitaji moyo imagine mtu katoka job sura ya mbuzi...unamwambia pole na kazi mume wangu...atajibu asante mmeshindaje...nimechika sana fanya hich na hichi anakupa maagizo anaingia zake kuoga anaanza kusoma emails na n.k utaanzaje kuntania na ushaambiwa nimechoka sana afu nipo busy sana na kazi...

sasa hao ndio wenyewe hakuna kucheka cheka ilimradi hamlali njaa
 
Yani sisi tulikua na baba mkali mno!! Mkali hadi usoni, tulivyokua tukawa tunajiuliza walituzaaje? Muda wote mkali tu hadi mama mwenyewe anamuogopa sana.
Na tumezaliwa mabinti wengi kwetu,basi tukajifunza HUWEZI KUWA NA NDOA NZURI KWA KUA NA MUME AMBAYE SI RAFIKI.

Utatamani ujane haraka.
Sijui wenye hao waume wa hivyo inakuaje!!!!
Siwapi pole maana waliyataka.

TATIZO kipind hcho kulikuwa kunakuchaguliana mume au mke.. kwahyo wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawajazoena hawana true love ni bas tu kwakuwa umri umefika na matakwa ya wazaz wao waliowaunganisha! thats why unakuta wamama wa ndoa z zaman hawez kupiga story n mzee hata kwa dakik 2..full uwoga..
 
Jamani mbn kny hii siredi naskia km kaharufu ka Gires komba..! 😀😀😀😀
 
Yani sisi tulikua na baba mkali mno!! Mkali hadi usoni, tulivyokua tukawa tunajiuliza walituzaaje? Muda wote mkali tu hadi mama mwenyewe anamuogopa sana.
Na tumezaliwa mabinti wengi kwetu,basi tukajifunza HUWEZI KUWA NA NDOA NZURI KWA KUA NA MUME AMBAYE SI RAFIKI.

Utatamani ujane haraka.
Sijui wenye hao waume wa hivyo inakuaje!!!!
Siwapi pole maana waliyataka.

Hata mama yako aliyataka
 
Mbona wengine sie ni wakali, serious, dry answers na matani twataniwa kama kawaida
 
Tatizo mnaolewa na mibaba mijitu mizima.Ataanzaje kufanya utani na katoto kake? ni aibu kwake.Nimeishi sehemu yani mdada mdooogo ameolewa na zeee,amezaa katoto kamoja.Yani nilikuwa namwogopa yule mke wa mzee mpaka alinichukia na alinambia.Akawa anataka nimrushie nyimbo za diamond nikamwambia sina.Huyo mume wake akiondoka ndo anapata uhuru!!!! sasa kwa hali hiyo utamzoea na kutaniana kwl? Raha muwe mna age inayoelekeana bwana hadi unachanganyikiwa akiwa mbali hata kwa siku tatu.
 
Ungeweka limitation kwa waliooa tu. Mume serious kwenye ndoa kwani kaambiwa uwanja wa vita huo? Ushauri kwa wanaume wenzangu hasa mliooa muwe wakarimu na wacheshi kwa wake zenu, kama mnashindwa shauri yenu mtachapiwa kwa sababu za kizembe kama hizo.

Sio mwanaume unarudi nyumbani kama una watoto hadi wanakukimbia mana Hitler umerudi, sio vema mke akikuona anatamani bora ungeendelea kuwa kazini kisa hucheki ukiwa nyumbani, na wengi wanadhani eti wakicheka watawafanya wake zao kuwadharau... hii ni fikara hasi sana.

TUBADILIKE HASA MLIOOA. Dada pole inaonesha yamekusibu hadi umeamua kuyasema. Jaribu kujua nini anapenda mkiwa mnapiga stori na kama kumtania umtanie kwenye vitu vya kadamnasi hiyohiyo... taratibu mdogomdogo polepole ndio mwendo mwisho wa siku kitaeleweka tu.

Kuna watu kweli hawajui mapenzi.U-serious mpaka kwa mkeo tena muda wote.Hawa ndo huwa wanachapiwa kiulaini kabisa.
 
Natumai hii ishu ni yako mwenyewe.Anza pale ambapo ladba mnakunywa kilevi, zuga umelewa na anza kumfanyia vituko.NOTE: Ukiwa na mume ambaye hujawahi mjambia mbele yake hata siku moja, basi hiyo sio couple, bali ni mapritenda tu.

Ha ha ha shikamoo JF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom