Wanandoa: Wanawake mnafanyaje kumzoea mwanaume aliye serious?

Wanandoa: Wanawake mnafanyaje kumzoea mwanaume aliye serious?

Unaanza taratibu kumtania huku unaangalia upepo, ukiona anakasirika hapo unaandaa plan B ila akikubali basi ndio unaliendeleza.

Mmmh yaan ila inahitaji moyo imagine mtu katoka job sura ya mbuzi...unamwambia pole na kazi mume wangu...atajibu asante mmeshindaje...nimechika sana fanya hich na hichi anakupa maagizo anaingia zake kuoga anaanza kusoma emails na n.k utaanzaje kuntania na ushaambiwa nimechoka sana afu nipo busy sana na kazi...
 
Ungeweka limitation kwa waliooa tu. Mume serious kwenye ndoa kwani kaambiwa uwanja wa vita huo? Ushauri kwa wanaume wenzangu hasa mliooa muwe wakarimu na wacheshi kwa wake zenu, kama mnashindwa shauri yenu mtachapiwa kwa sababu za kizembe kama hizo. Sio mwanaume unarudi nyumbani kama una watoto hadi wanakukimbia mana Hitler umerudi, sio vema mke akikuona anatamani bora ungeendelea kuwa kazini kisa hucheki ukiwa nyumbani, na wengi wanadhani eti wakicheka watawafanya wake zao kuwadharau... hii ni fikara hasi sana. TUBADILIKE HASA MLIOOA. Dada pole inaonesha yamekusibu hadi umeamua kuyasema. Jaribu kujua nini anapenda mkiwa mnapiga stori na kama kumtania umtanie kwenye vitu vya kadamnasi hiyohiyo... taratibu mdogomdogo polepole ndio mwendo mwisho wa siku kitaeleweka tu.

Well said
 
Hivi mfano una mume unampenda sana,unamuheshimu mno lakini kama unamuogopa flan hivi je wadada mnafanyaje kuiondoa hii hali yaani umzoee mumeo uwe free nae sana.

Unajisikia kumtania kila wakati mnafanyaje labda mind you una mume ambae ni serious kidogo ana majibu dry saa nyingine mnafanyaje jaman yaani umfanye mume akirudi umbusu umsumbue sumbue hivo such kind of romantic love.

Mume mwenyewe ndio serious kidogo simu yupo addicted nayo unamfanyeje fanyeje, imagine ndio 3years ya ndoa yenu, wewe mdada unataka uibadilishe iwe in romantic way unafanyaje? Wakaka mnapenda kufanywaje ili angalau uwe romantic.

Ukiona mwanaume anakuwa serious kihivyo ujue kwamba haumo kwenye nafsi yake.
 
Mmmh yaan ila inahitaji moyo imagine mtu katoka job sura ya mbuzi...unamwambia pole na kazi mume wangu...atajibu asante mmeshindaje...nimechika sana fanya hich na hichi anakupa maagizo anaingia zake kuoga anaanza kusoma emails na n.k utaanzaje kuntania na ushaambiwa nimechoka sana afu nipo busy sana na kazi...

dada samahani una mume au boss? haha akifika nyumbani maemail yake huko huko ... ila ukweli unama ila nasema huyo anamchepuko kabambe
 
Mmmh yaan ila inahitaji moyo imagine mtu katoka job sura ya mbuzi...unamwambia pole na kazi mume wangu...atajibu asante mmeshindaje...nimechika sana fanya hich na hichi anakupa maagizo anaingia zake kuoga anaanza kusoma emails na n.k utaanzaje kuntania na ushaambiwa nimechoka sana afu nipo busy sana na kazi...

kwangu angecheka tu namfuata bafuni hukohuko halafu tutajua nini kitafuata.
 
Kwahiyo mambo yetu ya nyumbani umeamua kuja kuyaleta huku na bado nitakuchunia kama nimekula sumu.
 
yawezekana na wewe ulipoanza nae mahusiano ulijificha ukawa unakuwa serious kama yeye,sasa unapoanza kuwa romantic anadhani umepata maujanja kwingine,cha kufanya mtafute siku muende maeneo ambayo watu wanajiachia,then unamwambia mumeo na mimi natamani tuwe kama wale unaonaje tukijaribu, sema kujaribu sio kufanya vile,ili akuone wewe na yeye wote mnajifunza.saa nyingine wanaume ni kama watoto jifanye nawe mtoto.akikubali mjatibu,ndo unaingiza maujuzi zaidi mwishowe anazoea na anapenda
 
mtanie pole pole,mchekeshe chekeshe ila huyo kazidi hadi kwa mke...
 
Tufanye kama plan A imegoma tupe plan B

Plan B, yeye awe kauzu zaidi yake, akijua mida ya kurudi imefika ajinunishe na kujiliza, akimuuliza kwanini unalia amwambie amechoka sana na yupo bize, afanye hilo zoezi siku 3 aone kama hajajichekesha.

Mmmh yaan ila inahitaji moyo imagine mtu katoka job sura ya mbuzi...unamwambia pole na kazi mume wangu...atajibu asante mmeshindaje...nimechika sana fanya hich na hichi anakupa maagizo anaingia zake kuoga anaanza kusoma emails na n.k utaanzaje kuntania na ushaambiwa nimechoka sana afu nipo busy sana na kazi...

Heee!! mwenzangu huyo mume au baba mzazi? hata baba zetu tunacheka nao hadi nyongo inatoka. mmmhh!!!!!!! hicho ni kiburi sasa naona.
 
Yani hili nalo ni la kujadili humu?mbona liko wazi kabisa kuwa huyo mumeo ana mchepuko mwingine,ndo maana hataki mazoea na wewe.
 
miaka 3 ya ndoa??? hapa unakuwa umechelewa inabidi mtu umzoeze huo
utundu/vichekesho etc mkiwa wachumba
kwa sasa atakushangaa mpaka atahisi kuna jambo.
anyway jaribu kuondoa aibu fanya kila unachozan ni kizur

mara aingiapo ndan mabusu ya kutosha,
akikaa sebren kama hakuna watu mkalie yaan akupakate,
unaweza anza kumvua koti etc mbembeleze aende kuoga,
mwandae akiingia kuoga nenda kamwandalie vitu vinavyomkumbusha kijijin
unaweza mchoma viazi vitam etc siku iyo unawasha jiko la mkaa unaandaa
bado akiwa job,

hakikisha unatenga mezan kabla hajatoka bafuni,
wahi chukua towel msubiri mlangoni ahaaaaaaaa jiongeze,
unaweza badili sauti kwa mda,
msaidie kumvalisha kama hamta.... then hakikisha maneno yako kila wakati

ni,
pole na kazi baba, how waz work? bla bla kibao, hata kama limeimba kama
tumbua.
basi mwombe aende mezan then si mbaya mkilishana
endelea kujichekesha kama umekula samuli mbichi, si mbaya ahaaaaaaaa
nakuona,

jaman zaman nilipendaga ahaaaaa enzi izo bibi ananifundisha
kuchoma viazi na nyama jaman, nilipokuwa mkubwa, naanda, nafunga kwenye bahasha vinapelekwa na mtu ofisin,ahaaaaaaaaaa
dah siku hiz nilivo gume gume! Ahaaaaaaaaaa
mdude gan nimfanyie! ahaaaaaa zilipendwa jaribu haya tuone.

hakianani umenipatia kama nini yani me wa staili hiyo yako ndio natafuta nitafanyeje kumpata jamaniiiiiii
 
Yani hili nalo ni la kujadili humu?mbona liko wazi kabisa kuwa huyo mumeo ana mchepuko mwingine,ndo maana hataki mazoea na wewe.

Mchepuko hana aiseee asilimia 99.9 hana mchepuko...
 
Hivi mfano una mume unampenda sana,unamuheshimu mno lakini kama unamuogopa flan hivi je wadada mnafanyaje kuiondoa hii hali yaani umzoee mumeo uwe free nae sana.Unajisikia kumtania kila wakati mnafanyaje labda mind you una mume ambae ni serious kidogo ana majibu dry saa nyingine mnafanyaje jaman yaani umfanye mume akirudi umbusu umsumbue sumbue hivo such kind of romantic love.Mume mwenyewe ndio serious kidogo simu yupo addicted nayo unamfanyeje fanyeje, imagine ndio 3years ya ndoa yenu, wewe mdada unataka uibadilishe iwe in romantic way unafanyaje? Wakaka mnapenda kufanywaje ili angalau uwe romantic.
Natumai hii ishu ni yako mwenyewe.Anza pale ambapo ladba mnakunywa kilevi, zuga umelewa na anza kumfanyia vituko.NOTE: Ukiwa na mume ambaye hujawahi mjambia mbele yake hata siku moja, basi hiyo sio couple, bali ni mapritenda tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom