chuganian
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,067
- 1,112
eheheUnaenda wapi kuja hapa
Mi sijaoa ujue na fursa ndo hii hapa
Uje tuyapange![]()
jibu kwanza swali la mleta mada
eheheUnaenda wapi kuja hapa
Mi sijaoa ujue na fursa ndo hii hapa
Uje tuyapange![]()
sijui ndo maana huwa najiuliza hilo swaliUnafanyaga mara ngap?!
Usiku unataka kugegeda, mtoto kaamuka analia usiku kucha, kugegeda sana kabla watoto awajawa na miaka 3 na kuendelea. Baada ya apo mapenzi hayanaga raha tena katika ndoa. Unamuacha mke unaenda kutafuta kiburudisho pembenihyo hainaga ratiba bwana inategemeana na vibes zenu nyie km nyie baadae mtajikontrol tu watoto wakizaliwa..
Nilishajibu hujaona?ehehe
jibu kwanza swali la mleta mada
Kwakweli ikipungua hapo ni dhambi.Dah..... Isipungue mara 4 Kwa siku.....pungufu yake....hautabaki salama..... kuchapiwa kunahusu![]()
![]()
hapo sasa....mwanamke hana uhuru juu ya mwili wake bali mumewe vivyo hivyo mwanaume hana uhuru juu ya mwili wake isipokuwa mkewe pia MSINYIMANEhaihusuuu... nashangaa watu wanabaniana mavituz na wakati ni wanandoa kabisa
Wakizaliwa watoto, ukidaiwa hela na fundi anayejenga nyumba yako, ukidaiwa ada za watoto shule, wadogo zako wakidaiwa ada chuo, shemeji zako nao wakidaiwa ada za shule ama chuo, na mama mkwe akija anahitaji nauli ya kurudi Ngara urudi hapa uje utusimulie kama bado unagegeda kila saa kama unavyosema!Nina miaka 27 natarajia kuoa tar 2 julai mwaka huu, lkn kwa mazoea nilokua sa ivi siwez pitisha siku 2 bila kugegeda..yaan hata yeye mke mtarajiwa asipokua karbu hua nalazmika kutafta mchepuko ili kulituliza dushe
Ninachojiuliza nitatakiwa ni'sex mara ngapi kwa wiki na migegedo mingapi kwa kila cku ilopendezwa?
Naomben ushaur va'ndg vapendwa!
Hakika sitazeeka.Na Dr. E Hyela
*WANAWAKE WANAOJAMIIANA ANGALAU MARA NNE KWA WIKI HUONEKANA VIJANA KWA MIAKA 7 AU 12 ZAIDI KWA SABABU KUJAMIIANA KUNAONGEZA HORMONE YA OESTROGEN AMBAYO HUZIFANYA NYWELE ZA WANAWAKE KUWA NZURI NA PIA NGOZI YENYE KUNG'AA HIVYO BASI WANAUME MNASHAURIWA KUHAKIKISHA KUWA WANAWAKE HAWAZEEKI KWA KUWAPA MAMBO MOTO MOTO NA WANAWAKE MSIBANE SANA MTAZEEKA BURE* copy & paste
Hivi unabembelezwaje kwamfano!!How it will be like! Ataomba kwa kumbembeleza kama zamani nilazima nitoe mzigo au naweza kataa na Mimi naomba au ndo mwendo wa auto
Wacha wee alafu nasikia wanyeramba kwa kupigana miti hamjambohuu ndio ukweli sidhani kam kuna limit...mkipata mihemko tu hamna budi kujipa raha si kila mmoja aliondoka kwao akafata hiyo kitu kwani kwa wazazi hakukuwa na vyakula au mavazi...
mtakapojisikia tu basi kwa raha zenu tabu ya kujibanabana inahusuu
ahaha eti kiafyaNilishajibu hujaona?
Nitarudia kwaajili yako mara 4 kwa week ni njema sana kiafya
Hapo sawa ee
tena wanasisitiza kuwa wamekuwa mwili mmoja.... ila bado watu hawaelewi tuuhapo sasa....mwanamke hana uhuru juu ya mwili wake bali mumewe vivyo hivyo mwanaume hana uhuru juu ya mwili wake isipokuwa mkewe pia MSINYIMANE
hayo maneno ya biblia kabisa
Ni kweli kwa doz hizo hutazeekaHakika sitazeeka.
Kumbe mzigo unapakuliwa namna hiinokia83
Tusitishane, hailegei.Ni kweli kwa doz hizo hutazeeka
Lakin papuchi inakuwa imelegea sana
Nini
Mi ni daktar wa kujitegemeaahaha eti kiafya
docta ndo kakuambia au