Wanandoa wagegedane mara ngapi kwa wiki?

Wanandoa wagegedane mara ngapi kwa wiki?

kindly click here to read

kama unamaanisha wiki yenye siku saba basi si chini ya mara 21 yaani 1x3/7
Spoiler!!! ukisafiri wiki unamuacha wife na alosto kinyama lazima atafute chalii wa kuituliza
 
wew c bure unaishi kwenu au huna majukumu bado
samahani wew ni wa daslam unakula vumbi la kicongo soon tutakusaidia uyo mkeo endelea kula vumbi
 
Nina miaka 27 natarajia kuoa tar 2 julai mwaka huu, lkn kwa mazoea nilokua sa ivi siwez pitisha siku 2 bila kugegeda..yaan hata yeye mke mtarajiwa asipokua karbu hua nalazmika kutafta mchepuko ili kulituliza dushe

Ninachojiuliza nitatakiwa ni'sex mara ngapi kwa wiki na migegedo mingapi kwa kila cku ilopendezwa?

Naomben ushaur va'ndg vapendwa!

Mara 7 yaani kila siku..si mmehalalalishwa kanisani kulala uchi milele na kuchangia shuka!???na mashahidi wa kutosha..We gonganeni tu ikibidi muicopy ratiba ya british airways au hata ya precision ndo mfuatishe
 
Kama huyo mtarajiwa tiyari umesha muanza nadhani ikifika siku ya arusi huenda ukalala ukumbini kwani huna hamu naye. Lakini, kama hujawahi kumchovya, nakuambia mnaweza kulala njaa kwani hutaruhusu itoke humo. Kwani unafikiri wabunifu wa fungate walitaka nini??
Ila kama kuanzia uchumba hadi ndoa kila mkikutana ni kitandani ndio mnamalizia hiyo siku ya fungate ya nini?? Hiyo siku mmepewa tu leseni ya kuliendesha gari lako.
Wenye hamu ya kweli ni kila saa. Zamani kidogo ilikuwa ni marufuku kupiga hodi kwa wanandoa wapya. Kama ulitaka kitu kwao uliwavizia wakitoka kwenda chooni unamuwahi mmoja unamweleza haja yako haraka na kuondoka. Unawaachia faragha yao. Nimalizie hivi; Ni marufuku kulala na pichu au kusema nimechoka
Swadakta
 
Nina miaka 27 natarajia kuoa tar 2 julai mwaka huu, lkn kwa mazoea nilokua sa ivi siwez pitisha siku 2 bila kugegeda..yaan hata yeye mke mtarajiwa asipokua karbu hua nalazmika kutafta mchepuko ili kulituliza dushe

Ninachojiuliza nitatakiwa ni'sex mara ngapi kwa wiki na migegedo mingapi kwa kila cku ilopendezwa?

Naomben ushaur va'ndg vapendwa!

Ndoa mpya utafanya kila siku na kwambia haswa kama uyo mkeo mlikua hamuishi pamoja mlikua mkiibiana tu... Nina miaka 12 sasa kwenye ndoa na ninauwezo wa kufanya hata Mara 5 kwa wiki depends na mood wakati mwingine naweza maliza wiki lakini sijawahi kaa wiki 2labda jiwe mmoja kasafiri
 
huu ndio ukweli sidhani kam kuna limit...mkipata mihemko tu hamna budi kujipa raha si kila mmoja aliondoka kwao akafata hiyo kitu kwani kwa wazazi hakukuwa na vyakula au mavazi...

mtakapojisikia tu basi kwa raha zenu tabu ya kujibanabana inahusuu
haihusuuu... nashangaa watu wanabaniana mavituz na wakati ni wanandoa kabisa
 
Back
Top Bottom