Wanandoa wagegedane mara ngapi kwa wiki?

Kama huyo mtarajiwa tiyari umesha muanza nadhani ikifika siku ya arusi huenda ukalala ukumbini kwani huna hamu naye. Lakini, kama hujawahi kumchovya, nakuambia mnaweza kulala njaa kwani hutaruhusu itoke humo. Kwani unafikiri wabunifu wa fungate walitaka nini??
Ila kama kuanzia uchumba hadi ndoa kila mkikutana ni kitandani ndio mnamalizia hiyo siku ya fungate ya nini?? Hiyo siku mmepewa tu leseni ya kuliendesha gari lako.
Wenye hamu ya kweli ni kila saa. Zamani kidogo ilikuwa ni marufuku kupiga hodi kwa wanandoa wapya. Kama ulitaka kitu kwao uliwavizia wakitoka kwenda chooni unamuwahi mmoja unamweleza haja yako haraka na kuondoka. Unawaachia faragha yao. Nimalizie hivi; Ni marufuku kulala na pichu au kusema nimechoka
Thanx mwanandoa mzoefu
 
Ibada Mara tatu kw wiki ila Mara nyingine ibada ya dharua inaweza jitokeza.ni vizuri kuwa na ratiba ili maandalizi yawepo mwende sambamba ktk ibada.
 
Ibada Mara tatu kw wiki ila Mara nyingine ibada ya dharua inaweza jitokeza.ni vizuri kuwa na ratiba ili maandalizi yawepo mwende sambamba ktk ibada.

Hao ni wale ambao weshazoeana wala hawana ham na mwenziye. Ambao hawajazoeana huna haja ya maandalizi mkuu. Akikuona tu, tiyari utelezi ushajitokezea. Sasa unamwandaa nini? Weye mwenyewe kipichu kishalowa.
Unamwandaa kwa kuwa, hamu inakuishia raundi ya kwanza tu. Mpya hata 12 tunafikishaga
 
Back
Top Bottom