Wanandoa mkipendana sana madhara yake mnapeana Mimba kila siku

Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.

Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila wanapendanaaa hadi wanapendana tena.

Changamoto Sasa looh wanazaa Hao. Napenda sana watoto ila maisha haya jamani Kuna mtu anazaa watoto sita??.

Kila siku Wana mimba yaani .Leo.nimemzoom Ana mimba tena nikashtuka .Kuna watu hawaogopiiii
Unawivu aisee mbona ndio maisha mazuri hayo
 
Kwa hiyo umeona uje uniseme huku? Sio poa aise sasa ulitaka tusizae wakati Mungu ametutuma kuijaza dunia. Na kwa taarifa yako Mimba unayoiona ni mapacha 6!
 
Kama hajaomba msaada kwa watu acha waishi wanavyopenda.
 
Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.

Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila wanapendanaaa hadi wanapendana tena.

Changamoto Sasa looh wanazaa Hao. Napenda sana watoto ila maisha haya jamani Kuna mtu anazaa watoto sita??.

Kila siku Wana mimba yaani .Leo.nimemzoom Ana mimba tena nikashtuka .Kuna watu hawaogopiiii
Umeanza umbeya.
 
Sema mkuu hukutakiwa kumsema vibaya rafiki yako, design kama unamuonea wivu jinsi anavyopendwa.
 
Mimi Ni a dada yangu wao kinyume na Hawa watu wako,kila siku wao Ni Ugomvi mzito Hadi vikao vya ndugu na wachungaji,kila siku bibie kurudi nyumbani Ni kutwa kutukanana,Cha ajabu kila siku ana mimba!!huwa najiulizia sipati jibu Hawa wanafanyaga saa ngapi Hadi mimba?Wana kichanga Cha miezi minne Cha tano.
 
Itakuwa hao wanaosuluhisha ugomvi ndio wanamtia mimba dada yako
 
Dah! kama nawaona hao wakifunga mlango tu wanalowesha utambi😅😅 mkipendana raha sana baba akichelewa kuomba basi mama anaomba haraka sana wanajikuta mpaka wanasahau kalenda🤤🤤
 
Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.

Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila wanapendanaaa hadi wanapendana tena.

Changamoto Sasa looh wanazaa Hao. Napenda sana watoto ila maisha haya jamani Kuna mtu anazaa watoto sita??.

Kila siku Wana mimba yaani .Leo.nimemzoom Ana mimba tena nikashtuka .Kuna watu hawaogopiiii
Hao yawezekana ujanani walijitunza sana. Sasa wanafidia

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Miss Natafuta njoo tupendane nimepata vihela vya urithi

Back
Top Bottom